Nguvu ya Kukaa kimya

Hongera mkuu kwa kulipa ubaya kwa wema.
 
Kukaa kimya siyo kurudia Kule ulikotoka,unapopitia Hali ngumu katika maisha Kuna watu watakuwa maadui zako kukukatisha tamaa,Sasa unapotoboa hawo hawo maadui wanabadilika na kujidai marafiki,kumbe ndiyo wanakuja kuzamisha jahazi, Mungu ameshakuonyesha dalili tangu mwanzo kwamba baadhi ya watu Fulani siyo watu wazuri,Sasa wewe jifanye malaika.
 
Sometimes πŸ™πŸ™
 
Nikweli mkuu lakini Kuto wa saidia wanao hitaji msaada nikuji fungia njia zetu zenye ridhiki zetu za baadae

Kuna wakati mungu hupitisha ridhiki zetu kupitia maadui zetu

na hatuwezi kuzi chukua Kama tutakuwa hatuna uhusiano mzuri nao Kama adui zetu

Kingine mkuu kwenye Maisha yako usiruhusu adui yako ajue una muwazia nini nikosa kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…