Nguvu ya Kukaa kimya

Nguvu ya Kukaa kimya

Habari zenu wakuu??

Hapo nyuma nilikutana na Changa Moto nyingi

ambazo ninaimani zilikuwa ni changa Moto rahisi Sana kwa mtu ambaye alikuwa akiziskia na kuziona zilipo kuwa zikini kumba but was tight

Nili dhalilika,nikadharaulika, nikasemwa,nikasemekana,

kunawakati niliambiwa maneno nawatu walio kuwa karibu na jamaa zangu kwamba jamaa zako wali kuzungumzia hivi na vile skuamini.

Nilishangaa hata frani? Ni wa kunizungumzia hivi?

Nilipiga magoti kwa mungu wangu huku nikiwa nime patwa na hasira na uchungu mkubwa na hisia za kuhisi nime salitiwa na watu nilio waamini

naweza kusema ulikuwa niwakati ambao ningefanya vitu ambayo havikufaa kufanyika mbele ya jamii inayo nizunguka kwani daima hasira hazijengi Basi Moyo wangu uliniambia kaa kimya hakika nilikaa kimya.

Nili endelea kukaakimya huku nikiendelea kuyatatua magumu Yale yaliyo kuwa yanani kabiri nikiwa peke yangu kwenye mazingira magumu ambayo hayakuwa rahisi kuya vumilia.

Kwani wale nilio wategemea kuwa upande wangu woote walini kataa badara ya kunisaidia wakawa nikikwazo kwa wale wenye Nia ya kutaka kunisaidia juu ya magumu yangu

Naweza kusema badara ya kunisaidia kazi yao kubwa ilikuwa nikuwazuia wale waliotaka kunisaidia wasini saidie

Sjui kwanini? Sjui nili wakosea nini? Na sijui niliwai kuwafanyia ubaya gani hakika sjui.

Nakumbuka kunammoja alijaribu kusema hivi baada ya kumpigia na kumwomba msaada...

Ndugu yangu hayo matatizo pambana nayo mwenyewe ""

nikamkatisha kwa kusema sijakupigia ili unitoe kwenye level hii na kunifikisha kwenye level ile Ila nimekupigia Kama ndugu yangu Tena binamu yangu uende sehemu frani na kwamtu frani akupe kiasi frani uniletee hapa nitajua ntatokaje hapa

akaenda akaleta Kisha akatamka maneno haya huku akiogopa kuniangalia machoni akipotezea kwa kuangalia huku na Kyle akasema.

Killing wewe Ni ndugu yangu najua Ila Hii kesi mtu pekee wa kui solve niwewe mwenyewe shika kiasi chako hichi akaendelea kuongea maneno mengi huku akinipa kile kiasi..

Akani kabidhi kwa Siri kile kiasi na kuondoka zake

Nika mshukuru huku hakiri yangu ikiniambia inatosha kwa hiki alicho kifanya/kusaidia

Mungu mwema nilipigana nikapambana nakadri nilivyo kata tamaa nikapata tumaini jipya/hakiri mpya

mwisho wa siku Nikawa free""
wakuu sjawai kuamini kuhusu kitu kinacho itwa karma

Yule mtu ambaye ndiye chanzo Cha tatizo au kuharibikiwa kwangu anaishi maisha magumu baraa

Wale wote ambao alishilikiana nao kunifikisha pale kwenye Hari ile wote choka mbaya

Yule binamu kapata tatizo Ana daiwa pesa ndefu alikuja hapa mjini kwangu akafikia hoterini pesa ikamwishia akanitafuta nikakutana nae hatimaye leo yupo kwangu

na kwasababu hakuja na nguo Wala begi Basi tunaenda wote dukani namnunulia nguo nampa pesa ya matumizi asije hisi na mnyanyasa

natangulia home kwani Mimi sio mpenzi wa night crubs/ bar either grocery akinywa anarudi nyumbani

Moaka Sasa nimemyaftia kazi ataanza jumatatu na kwenye Deni lake nime mlipia nusu ya Deni lake huku kwake au kwa mke wake anatuma pesa ya matumizi kupitia mgongo wangu

Kiukweli Sina kinyongo nae hata kidogo lakini kilicho nifanya Nika post Hii kitu Ni baada ya yeye kutamka maneno haya...

Ndugu yangu killing sikutegemea Kama wewe leo ungekuwa msaada wangu,sikutegemea Kama leo ungenisaidia kiasi hiki, hasa nikifikiria jinsi nilivyo kutosa kwenye tatizo lako kipindi Cha nyuma,

Nilikutamkia maneno mengi ambayo haya kuku faa kwa kipindi kile kigumu

lakini hauku wai kunijibu, ulikaa kimya daima na ulipambana ukayashinda

Akaendelea kusema...

Kinacho niuma zaidi nikwanini wewe tuu nilikukosea na niwewe tuu unanisaidia kwanini sio wale nilio kuwa nakunywa nao naishi nao?

Nika tabasam.

nikamtazama.

nika mwambia...

ukimya nizaidi ya jibu..

na kunakitu kinaitwa karma unakijua? Akanijibu hapana

Nikamwambia karibu jf
Hongera mkuu kwa kulipa ubaya kwa wema.
 
Kukaa kimya siyo kurudia Kule ulikotoka,unapopitia Hali ngumu katika maisha Kuna watu watakuwa maadui zako kukukatisha tamaa,Sasa unapotoboa hawo hawo maadui wanabadilika na kujidai marafiki,kumbe ndiyo wanakuja kuzamisha jahazi, Mungu ameshakuonyesha dalili tangu mwanzo kwamba baadhi ya watu Fulani siyo watu wazuri,Sasa wewe jifanye malaika.
 
Kukaa kimya siyo kurudia Kule ulikotoka,unapopitia Hali ngumu katika maisha Kuna watu watakuwa maadui zako kukukatisha tamaa,Sasa unapotoboa hawo hawo maadui wanabadilika na kujidai marafiki,kumbe ndiyo wanakuja kuzamisha jahazi, Mungu ameshakuonyesha dalili tangu mwanzo kwamba baadhi ya watu Fulani siyo watu wazuri,Sasa wewe jifanye malaika.
Sometimes 🙏🙏
 
Kukaa kimya siyo kurudia Kule ulikotoka,unapopitia Hali ngumu katika maisha Kuna watu watakuwa maadui zako kukukatisha tamaa,Sasa unapotoboa hawo hawo maadui wanabadilika na kujidai marafiki,kumbe ndiyo wanakuja kuzamisha jahazi, Mungu ameshakuonyesha dalili tangu mwanzo kwamba baadhi ya watu Fulani siyo watu wazuri,Sasa wewe jifanye malaika.
Nikweli mkuu lakini Kuto wa saidia wanao hitaji msaada nikuji fungia njia zetu zenye ridhiki zetu za baadae

Kuna wakati mungu hupitisha ridhiki zetu kupitia maadui zetu

na hatuwezi kuzi chukua Kama tutakuwa hatuna uhusiano mzuri nao Kama adui zetu

Kingine mkuu kwenye Maisha yako usiruhusu adui yako ajue una muwazia nini nikosa kubwa sana
 
Back
Top Bottom