Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

Am
Hao wanyonge siku zote, miaka yote 6 wameshindwa kujiondoa unyonge baada ya kupata mtetezi ???
Hao wanyonge . Kama kweli wap na aliwapigania.aliwakuta wapo kwenye haki gani kiuchumi, wapo wapi na aliwacha wapo kwenye haki gani mpaka anakufa
 
#KataaUnyonge #KataaKuwaMnyonge

Unyonge ni ujinga, unyonge ni dharau, unyonge ni umasikini wa mawazo
 
Nikikumbuka enzi za kikwete mishahara Morogoro tarehe 22, iringa tarehe 24, kinondoni tarehe 28, temeke tarehe 27, Jwtz tarehe 21.
Mambo yalikuwa vurugu tupu. Sasa hivi wote siku moja
Yalikua ni mambo ya tekinolojia tu lakini kulipa kwa wakati mmoja ilianza kipindi Cha mwisho mwisho wa Jk kwa JPM kulikuja kuboresha tu
 
Ww jamaaa bna kwahiyo unataka Rais apendwe na Watu wote? Hio haipo huyo investigative journalist unaelewa alifanya nini kuhatarisha amani ya nchi.? Mama yake ni mtu mmoja je Taifa emu tulia utafakari sio kukurupuka tu
 
Ww jamaaa bna kwahiyo unataka Rais apendwe na Watu wote? Hio haipo huyo investigative journalist unaelewa alifanya nini kuhatarisha amani ya nchi.? Mama yake ni mtu mmoja je Taifa emu tulia utafakari sio kukurupuka tu
Na tukiwa tunakubaliana Kwa kila kitu, tunakuwa Taifa lililodumaa!!
 
Naona askari magereza wabutimba unafurahi sana kuondoka kwa mzee.
 
Wanawake hawajawahi kutuangusha katika nafasi kama hizi aisee, pia huwa ni watu makini.
Nafasi kama hizi zipi hasa? Mie nilidhani hii ni mara ya kwanza tunapata mwanamke kushika nafasi ya urais Tanzania. nitakuwa nimelala fofofo kwa muda, tuko mwaka gani jamani?
 
Ww jamaaa bna kwahiyo unataka Rais apendwe na Watu wote? Hio haipo huyo investigative journalist unaelewa alifanya nini kuhatarisha amani ya nchi.? Mama yake ni mtu mmoja je Taifa emu tulia utafakari sio kukurupuka tu
Hakuna unachojuwa, soma upite tu au nenda kampikie mumeo. Tumemshinda DIKTETA mwongo na mwizi
 
Naona askari magereza wabutimba unafurahi sana kuondoka kwa mzee.
Nimefurahi sana. Amtuachie Tanzania yetu tujenge upendo, amani na umoja. Alitaka kuharibu nchi iwe na chuki kama ya wahutu na watusi.
 
Hivi mnataka matajiri wasiwepo ili iwe nini? Ondoeni hizi fikra za kijinga mlizopandikiziwa.
 
Matajiri wakipata nguvu wanyonge wataajiriwa na kusaidiwa
Mfano manji akirudi tena kuwekeza
 
Kwanza Tukatae dhana ya Unyonge...Hata sasa Neno unyonge sio zuri Mungu hakutuumba kwa madaraja ndio mana wote tunakufa uwe Tajiri au Masikini.

Na wote tunasukumwa huko chini ya ardhi..La Pili suala la Machinga Ni tatizo kubwa Sana na ni bomu ambalo mkiliendekeza kwa style ile litawamaliza..Machinga akiachiwa barabara zote akae hiyo ni akili kweli?? mji kama arusha wa kitalii au Moshi au Dar wanajipanga kila eneo hatuwezi kwenda kwa style hiyo.

machinga lazima wawekewe maeneo sio barabarani Hapana.
 
Mungu ni mkuu Sana, Asante Mungu kutuletea Joshua wa kutufikisha ktk Safari yetu kuelekea Tz yenye usawa

Hapa kazi Tu...
 
Kwa sasa sina Mashaka tena, kwani hawa watu kumbe ni mapacha bhana!!
 
Baada ya kuipumzisha silaha ya maangamizi ya Mafisadi na wahujumu serikali yani JPM2020
sasa tumeingiza vitani silaha namba SHS-5 ambayo imeshaanza kuonesha machachari yake kwa kumfyeka incharge mzembe wa TPA. Mwanzo mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…