Nguvu ya Mitandao ya Kijamii: Posti za miaka 6 iliyopita zamnyang'anya followers, zamkwamisha kushiriki Miss South Africa 2020 miss Bianca Schoombee

Nguvu ya Mitandao ya Kijamii: Posti za miaka 6 iliyopita zamnyang'anya followers, zamkwamisha kushiriki Miss South Africa 2020 miss Bianca Schoombee

Daaah! Ile post niliyoandika mwaka juzi kuhusu kuwa member wa CHAPUTA ngoja nikaifute kabsa . maana naweza kuwa pastor afu fala flani akaja akamwanga ugali wangu hivi hivi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi tu, dunia kadri ya inavyokwenda inazidi ujinga na wajinga.

Sasa kama ni mbaguzi si wake mwenyewe, una mahusiano gani na kazi yake? tena Zaidi mambo ya miaka kadhaa nyuma huko
 
Ni upuuzi tu, dunia kadri ya inavyokwenda inazidi ujinga na wajinga.

Sasa kama ni mbaguzi si wake mwenyewe, una mahusiano gani na kazi yake? tena Zaidi mambo ya miaka kadhaa nyuma huko
Nina uhakika kama ingekuwa mtu mweusi ameonyesha kubagua watu weupe wala asingefanywa chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umedelete vipi? Wapi? Hapa jf?
Ni nguvu ya wajinga. Watu hubadilika, u can’t judge someone kwa kitu alichokifanya utotoni, that’s plain stupid. Unataka uniambie kuna binadamu ambaye toka anazaliwa hajawahi fanya kitu cha kijinga hata kimoja? We grow, we learn, we become better or worse than we were yesterday. Maisha ndivyo yalivyo. Huu upuuzi ndicho kitu kilinifanya nikadelete sns zote nikaanza upya
 
Ni upuuzi tu, dunia kadri ya inavyokwenda inazidi ujinga na wajinga.

Sasa kama ni mbaguzi si wake mwenyewe, una mahusiano gani na kazi yake? tena Zaidi mambo ya miaka kadhaa nyuma huko
Sasa kama ubaguzi ni wake kwanini asijibague mwenyewe?!
 
Mtu mweusi akiwa kwa weupe mzungu akimbagua inakuwa kesi kubwa, Ila huyo mweusi akimbagua mzungu haina shida

Mtu mweupe akiwa kwa weusi, weusi wakimbagua inakuwa sio shida,, Ila mweupe akimbagua mweusi inakuwa balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

watu weusi ni watu ovyo kabisa. wao wenyewe haweshi kubaguana lakini wao kubaguliwa dunia nzima habari itapata
 
Mtu mweusi akiwa kwa weupe mzungu akimbagua inakuwa kesi kubwa, Ila huyo mweusi akimbagua mzungu haina shida

Mtu mweupe akiwa kwa weusi, weusi wakimbagua inakuwa sio shida,, Ila mweupe akimbagua mweusi inakuwa balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha ni jinsi gani hujui dunia inavyoenda, pole sana.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mrembo Bianca schoombee ambaye alikuwa kipenzi Cha wanasouth Africa wengi aondolewa kwenye shindano la kuwania miss South Africa baada ya wadau kufufua baadhi ya tweet zake alizopost muda mrefu za kibaguzi kiasi ambacho kimepelekea kuchukiwa kutoka kuwa kipenzi Cha wengi na kutishiwa uhai wake na pia kutishiwa kubakwa.wengi walitabiri mrembo huyo ndio atakuwa miss South Africa lakini yeye binafsi ilikuwa pia Ni ndoto yake ya kuwa miss South Africa lakini ndoto hiyo imeingia mchanga.
bianca5-640x779.jpg
Bianca-Miss-SA-e1589990545455-780x470.jpg

Hapo chini ndio tweet ya kibaguzi aliyopost kipindi kirefu kidogo yenye kauli ya kibaguzi iliyochangia watu kuwa na hasira nae na ndio chanzo Cha kuondolewa kwenye umiss
CollageMaker_20200522_105356783_wm.jpg

Ile kauli ya usicheze na technology itakuumbua ndio inadhihirisha hapa.
 
Attachments

  • CollageMaker_20200522_105356783_wm.jpg
    CollageMaker_20200522_105356783_wm.jpg
    62.9 KB · Views: 1
Ingekua bongo followers wangefika laki moja maana siye kwa kupenda ujinga saluute
 
Back
Top Bottom