Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Hata hapa JF ukiwa unasoma nyuzi zamani unaweza kukutana na comment uliyoandika kwa mkono wako ukaishia kuona aibu mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah! Ile post niliyoandika mwaka juzi kuhusu kuwa member wa CHAPUTA ngoja nikaifute kabsa . maana naweza kuwa pastor afu fala flani akaja akamwanga ugali wangu hivi hivi.
Schupidi shi izposti zake za miaka 6 iliyopita zilizoashiria ubaguzi wa rangi na matusi ya waziwazi kufukuliwa na kusambazwa mitandaoni.
Nina uhakika kama ingekuwa mtu mweusi ameonyesha kubagua watu weupe wala asingefanywa chochoteNi upuuzi tu, dunia kadri ya inavyokwenda inazidi ujinga na wajinga.
Sasa kama ni mbaguzi si wake mwenyewe, una mahusiano gani na kazi yake? tena Zaidi mambo ya miaka kadhaa nyuma huko
Huyo mtu mweusi anakua kwa watu weupe au kwa watu weusi?Nina uhakika kama ingekuwa mtu mweusi ameonyesha kubagua watu weupe wala asingefanywa chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mweusi akiwa kwa weupe mzungu akimbagua inakuwa kesi kubwa, Ila huyo mweusi akimbagua mzungu haina shidaHuyo mtu mweusi anakua kwa watu weupe au kwa watu weusi?
Ni nguvu ya wajinga. Watu hubadilika, u can’t judge someone kwa kitu alichokifanya utotoni, that’s plain stupid. Unataka uniambie kuna binadamu ambaye toka anazaliwa hajawahi fanya kitu cha kijinga hata kimoja? We grow, we learn, we become better or worse than we were yesterday. Maisha ndivyo yalivyo. Huu upuuzi ndicho kitu kilinifanya nikadelete sns zote nikaanza upya
Sasa kama ubaguzi ni wake kwanini asijibague mwenyewe?!Ni upuuzi tu, dunia kadri ya inavyokwenda inazidi ujinga na wajinga.
Sasa kama ni mbaguzi si wake mwenyewe, una mahusiano gani na kazi yake? tena Zaidi mambo ya miaka kadhaa nyuma huko
Mtu mweusi akiwa kwa weupe mzungu akimbagua inakuwa kesi kubwa, Ila huyo mweusi akimbagua mzungu haina shida
Mtu mweupe akiwa kwa weusi, weusi wakimbagua inakuwa sio shida,, Ila mweupe akimbagua mweusi inakuwa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha ni jinsi gani hujui dunia inavyoenda, pole sana.Mtu mweusi akiwa kwa weupe mzungu akimbagua inakuwa kesi kubwa, Ila huyo mweusi akimbagua mzungu haina shida
Mtu mweupe akiwa kwa weusi, weusi wakimbagua inakuwa sio shida,, Ila mweupe akimbagua mweusi inakuwa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
basi nijuzeInaonesha ni jinsi gani hujui dunia inavyoenda, pole sana.
Kwa wenzetu lknUnaweza ukafanya ujinga mdogo ukakukomoa.