Nguvu ya muda

Nguvu ya muda

Massawejr

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
19
Reaction score
23
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa.

1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi ndio wakati sahihi wa kupata

2. Ukiangalia saa hizo kila moja inasema muda wake baasi tujifunze ya kuwa hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho na kupata ni muda wowote.

Hujawahi wala hujachelewa kufanya jambo unaloliwaza. Weka nia fanya maana wakati ni sasa na haijalishi umepitia mangapi wala watu wanasema nini, kuwa na bididd, heshima na nidhamu pia usisahau Mungu kwa imani yako.
 
Maneno ya maana kabisa.....
 
Back
Top Bottom