Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Na kuzini au uasherati, je si dhambi?
 
Mkuu kama nimekuelewa kidogo.
Lakini nimeona umekazia suala la kwamba Sex ni kwa ajili ya Kuzaliana tuu na siyo kwa ajili ya kujifurahisha

Sasa Mkuu hili jambo umelitoa wapi?.
Ni imani ipi inayosema kwamba Tendo la ndoa ni kwa ajili ya Kujaza dunia pekee?
Na je MTU akifanya kwa ajili ya kujifurahisha ni Kosa?
 
@Euroleague hebu tuwekee hiyo timetable yako hapa tuikague ndugu tunaweza kujushauri Jambo
Tangu 2010 nilitoka katika mfumo wa kizamani wakipiga puli kila siku asubuhi au jioni (utumwa) nilisoma articles mbalimbali za ushauri nikaanza program ya mazoezi kwanza. Hivyo maisha yangu mm tangu 2010 lazma nifanye mazoezi kwa siku tatu mfulululizo alafu ya nne napumzika ndio napiga kimoja narelax siku yatano naamkia zoezi tena. Japo kunamda nasahau nakuja kupiga siku nyingine nafidia. Tambua lengo la puli ni kupunguza hisia kali za mihemko mwilini mwako. Hivyo kwanza jitambue wewe kama wewe je inakuchukua mda gani kuhisi hamu ya kimwili. Kunasehemu nilisoma kati ya siku 3 hadi 7 mwanaume ambaye hayupo bize sana
@Euroleague hebu tuwekee hiyo timetable yako hapa tuikague ndugu tunaweza kujushauri Jambo
Hahaha. Timetable yangu vijana wataona ngumu ila wagawanye kupitia hii. Kwa mtu aliyeoa au ambaye yupo na mwenza wake wanaishi pamoja inakadiriwa anatakiwa apige show siku 102 kwa mwaka kama afya zao zinaruhusu na wanapata mda mzuri. Mm nilitambaa na hii nikaweka Siku 365/102= 3.578days. Nikajishauri kila baada ya siku 3 nitaamsha popo. Japo siku zitapungua 102 kwa mwaka maana kunasiku nitakua bize napotezea au mizuka sina kitu ambacho sio kibaya kiutaalam.
 
Hakika unaishi katika dunia yako ya Kipekee kabisa mkuu nimeona hilo
 
Hahahaa
 
Kwa kuangalia na kutamani nitakua nimezini na wengi sana rohoni ....lakini kwanini natamani tu from no where?
 
Mtumishi katika viumbe wote Mungu alimuongezea vitu binadamu kama upendeleo tofauti na kiumbe mwingine yoyote. Ogopa kitu kinaitwa ufahamu kitu ambacho Mungu alitujaza wanadamu. Leo hii mbwa wanamiezi yao ya joto (heat) hapo ikifika lazma dume atapanda tu. Je unajua kati ya mwanamke na mwanaume Mungu alimpa hisia zaidi nani.? Je mwanamke kwa mwezi mmoja anapata mihemko siku ngapi.? Je kila siku unayomgonga mwanamke yupo kwenye mihemko heat ambayo inampa hamu ya tendo au ni sisi wanaume tu tunaburudisha nafsi zetu tu asubuhi ilhali wake zetu hisia hazipo kabisa.
 
Asante kwa elimu mkuu, haya tunaomba elimu sasa ili kuweza kuacha.
 
Hahahaha labda server ziligongana problably alikua anatumika kwenye feelings za muhuni mwenye high concentration kukuzidi wewe na ndio maana kwako image ilikua inakuja kisha ina disappear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni nini hasa malengo ya hii Thread yako?
Hayo uloandika yametokana na Mwongozo wa Biblia?
 
Huyo bondia ni muongo tu, anaendeleza propaganda za mashetani.
 

Umechokoza hoja ya maana sana, hoja ambayo ilitaka kusababisha wanaume wanitoe roho humu kwenye mada moja ya bikra, kama unakumbuka kuna kipindi bikra ilikuwa ni mada inayotrend sana humu, ulikuwa ni upepo nashukuru umepita.

Mi niliuliza msichana ambaye hajaolewa kwasababu za life style ya sasa, shule na kadhalika aishi vipi bila kufanya mapenzi ili amtunzie bikra uyo mumewe, tuchukulie mfano chuoni huwa tunakuwa na miaka atleast 19-26, huu ni umri wa mtu mzima,hivi kweli mtu wa umri huu hana nye.ge? Na kama anazo afanye nini?

Siku tukigundua kufanya mapenzi au punyeto ni takwa la kibinadamu tutapunguza mahubiri ya kinafiki, alot of people wako kwenye denial.
 

Wewe ni binti kiziwi kweli??
 
Nasikitika umepotoka na sijui unayaongea haya from the mouth of which river!? Ukiweza kuthibitisha ni kwa namna gani SEX IS FOR REPRODUCTION only tutakuwa na cha kujadili, utuambie STAREHE inayoambatana na SEX ilitoka wapi na kwanini ipo hapo ilipo, na Je unafikiri kila mtu anataka kufanya reproduction huku duniani?

Je unafahamu si kila mtu ana uwezo wa kufanya reproduction lakini ana uwezo wa kufanya sex.

Je unaweza kuthibitisha kuwa wanyama hawapati starehe wakati wa kusex? Ukiweza kujibu hayo tunaweza kufanya mjadala, na ukiweza kujibu kwa usahihi (factual) hakutakuwa na mjadala sababu utakuwa umeshajiondoa katika hicho unachofikiria ni sahihi.
 

seems like wewe binti kiziwi unaonekana, unapenda sana haya mambo kweli? Si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…