Naam yaweza kua nimepotoka kweli Ila naomba unijie na haya ndio Mana nasema ujuaji wetu sisi Wanadaam ndio Chanzo Cha haya yote. Pia ukiniletea ushahidi wa wanyama wengine walioumbwa na Mungu hapa wanao practice punyeto, wanaofanya anal sex, na wanaofanya sex kipindi ambacho sio Cha joto kwaajili ya reproduction ndio nitakuja Kuanzia hapo. Asante.
2. Ndio Mana Kuna wanyama wengine pia ambao hawazi, hiyo sio exemption ya kua huwez ishi bila sex.
Nilivyokuuliza unayaongea haya “from the mouth of which river” nilimaanisha vyanzo vyako vya maarifa ni vipi au reference yako ni wapi, hii itatupa frame work ya mjadala wetu tuache kujadili kama walevi wa mnazi huyu anarefer huku, huyu ana refer kule katika vyanzo vinavyopinga, mjadala hautaisha.
Pili, hujajibu swali langu hata moja zaidi umeniongezea maswali, uungwana ni vitendo ngoja mimi nikujibu kama ifuatavyo na nikutake uende ukasome tena na tena kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya maarifa ili uondoke kwenye narrow thinking ya kwamba SEX SAVES REPRODUCTION PURPOSE ONLY ukirefer kuhusu wanyama, kwamba wanafanya only kwenye heat kwanza si kweli na sijajua hayo umeyatolea wapi, si kweli sababu wataalamu wanapingana na wewe, au basi utuambie wewe ni mtaalamu mpya na utupe machapisho yako hata katika summary tu.
Well, kwasababu hatuwezi kumuuliza mnyama kama anapata pleasure wakati wasex, watafiti wametumia njia tofauti za kitafiti kulithibitisha hilo kwa kustudy tabia za wanyama na kuzifananisha na zile za Mwanadamu awapo kwenye sex. Study zimefanywa kwa wanyama mbalimbali mfano, primates mbalimbali (hapa walimtumia Bonobo) pia cats, dolphin etc
moja, wameeleza juu ya wanyama kupata orgasm kwa kutafsiri vitendo vinavyotokea wakati wa sex kama vile kuvimba/kutuna kwa misuli (kwa madume) vocalization na change of facial expression, tabia ambazo hata binafamu huzionesha anapopata orgasm, and we all know that orgasm huambatana na pleasure.
Pili, Wanyama wameonekana wakifanya sex “out of the breeding season” mfano wakati wa preginacy, nikuulize ndugu mjumbe sex wakati wa mimba ina save which purpose kama sio starehe tu, is it also for procreation?
Pia, tafiti zimewabamba wanyama wakifanya sex between mature na immature individuals, sio hivyo tu pia sex between both immature individuals, ingekuwa huku kwenye ubinadamu tungesema underage hehe, hii haiwezi kuwa for reproduction.
Sijazungumzia na sijataka kuzungumzia tafiti zilizofanywa juu ya Wanyama kufanya oral sex, same sex, group sex kwasababu sijawahi kuwa interested kujifunza kuhusu hili. Itoshe tu kusema let us dig-in tujifunze tena na tena sababu wenzetu wamefanyia tafiti za kutosha na wametoa machapisho kadha wa kadha.