Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji87]
 
Kuna ubaya Gani mtu kujishika sehemu zake kwa starehe zake binafsi?, Kati ya madhara ya Punyeto na uzinzi yepi yana Unafuu?
Kuliko mtu kuhatarisha Afya yake na future yake kwenye uzinzi, mi naona Bora kujishika aisee.. it's fun and less expensive!!
Basi endelea mtoto akililia wembe mpe!
 
Kwahiyo brother unashauri wapiga nyeto waendelee au sio?
 
Asante mkuu kwa swali zuri, Mimi Ni mfuasi wa Imani yangu lakini Kuna mambo ambayo kibinaadam najua Ni Taratibu tulizojiwekea sisi binadamu kutokana na Imani zetu na tamaduni. Nilianza kujiuliza swala la kuwepo kwa mambo ambayo baadhi yako na ukakasi kuhusu tendo la ndoa Kuanzia oral sex,anal sex, na sex zingine nyingi nikawqza sababu ya uwepo wake nikaanza kutafiti binafsi na kwa baadhi ya articles nilichoona Ni kua yote haya yalikua na lengo la kujipa Raha tu. Kua Ni kosa au sio kosa minaona tulishapotoka kwaiyo kwasasa Kila mtu Anafanya vile anaona sawa alimradi tu aona kinampa furaha unafanya tu.
 
Naam yaweza kua nimepotoka kweli Ila naomba unijie na haya ndio Mana nasema ujuaji wetu sisi Wanadaam ndio Chanzo Cha haya yote. Pia ukiniletea ushahidi wa wanyama wengine walioumbwa na Mungu hapa wanao practice punyeto, wanaofanya anal sex, na wanaofanya sex kipindi ambacho sio Cha joto kwaajili ya reproduction ndio nitakuja Kuanzia hapo. Asante.

2. Ndio Mana Kuna wanyama wengine pia ambao hawazi, hiyo sio exemption ya kua huwez ishi bila sex.
 
[emoji28][emoji28] Hivi sex Ni chakula kwamba mtu hawezi ishi bila sex? Mungu muumbaji wa vyote alitengeneza system katika miili yetu ambayo inafanya kazi automatically pale mtu mume anapozidiwa na utamu wake ndio Mana kukawa na ndoto nyevu.
 
[emoji28][emoji28] Hivi sex Ni chakula kwamba mtu hawezi ishi bila sex? Mungu muumbaji wa vyote alitengeneza system katika miili yetu ambayo inafanya kazi automatically pale mtu mume anapozidiwa na utamu wake ndio Mana kukawa na ndoto nyevu.

Wapi na nani ameandika mwanadamu hawezi kuishi bila sex? Unajaribu kutwist mambo kwa sababu gani, hakuna aliyesema mwanadamu hawezi kuishi bila sex bali tumesema sex ni takwa la kibinadamu, unaelewa maana yake?

Tuelimishe, ndoto nyevu ni sawa na ndio ubinadamu lakini punyeto sio sawa how?
 
Nilivyokuuliza unayaongea haya “from the mouth of which river” nilimaanisha vyanzo vyako vya maarifa ni vipi au reference yako ni wapi, hii itatupa frame work ya mjadala wetu tuache kujadili kama walevi wa mnazi huyu anarefer huku, huyu ana refer kule katika vyanzo vinavyopinga, mjadala hautaisha.
Pili, hujajibu swali langu hata moja zaidi umeniongezea maswali, uungwana ni vitendo ngoja mimi nikujibu kama ifuatavyo na nikutake uende ukasome tena na tena kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya maarifa ili uondoke kwenye narrow thinking ya kwamba SEX SAVES REPRODUCTION PURPOSE ONLY ukirefer kuhusu wanyama, kwamba wanafanya only kwenye heat kwanza si kweli na sijajua hayo umeyatolea wapi, si kweli sababu wataalamu wanapingana na wewe, au basi utuambie wewe ni mtaalamu mpya na utupe machapisho yako hata katika summary tu.

Well, kwasababu hatuwezi kumuuliza mnyama kama anapata pleasure wakati wasex, watafiti wametumia njia tofauti za kitafiti kulithibitisha hilo kwa kustudy tabia za wanyama na kuzifananisha na zile za Mwanadamu awapo kwenye sex. Study zimefanywa kwa wanyama mbalimbali mfano, primates mbalimbali (hapa walimtumia Bonobo) pia cats, dolphin etc

moja, wameeleza juu ya wanyama kupata orgasm kwa kutafsiri vitendo vinavyotokea wakati wa sex kama vile kuvimba/kutuna kwa misuli (kwa madume) vocalization na change of facial expression, tabia ambazo hata binafamu huzionesha anapopata orgasm, and we all know that orgasm huambatana na pleasure.

Pili, Wanyama wameonekana wakifanya sex “out of the breeding season” mfano wakati wa preginacy, nikuulize ndugu mjumbe sex wakati wa mimba ina save which purpose kama sio starehe tu, is it also for procreation?

Pia, tafiti zimewabamba wanyama wakifanya sex between mature na immature individuals, sio hivyo tu pia sex between both immature individuals, ingekuwa huku kwenye ubinadamu tungesema underage hehe, hii haiwezi kuwa for reproduction.

Sijazungumzia na sijataka kuzungumzia tafiti zilizofanywa juu ya Wanyama kufanya oral sex, same sex, group sex kwasababu sijawahi kuwa interested kujifunza kuhusu hili. Itoshe tu kusema let us dig-in tujifunze tena na tena sababu wenzetu wamefanyia tafiti za kutosha na wametoa machapisho kadha wa kadha.
 
@Nyenyere Mbona patam hapo mkuu lkn ukisahau kinitag ndugu yang baada ya kuchukuliwa na police ilikuwaje huko mbeleni
Leo naendelea mkuu, nilitoka kidogo kikazi
 
Mungu habadiliki, ni Yeye yule jana leo na hata milele. Ukiona mahubiri ya kujemea dhambi ni ya kinafiki, basi you don't have God. Jaribu kuwatoa watoto wako kwenye ngono kisa unajidanganya ni mahitaji ya binadamu. Ni heri ungejiuliza kwa jina dunia ya sasa imewaka tamaa za hovyo kiasi hiki kuliko ilivyokuwa hapo awali. Kusema ni mahubiri ya kinafiki, ni kumwota Mungu mnafiki!!
 

Inawezekana kabisa, wapo WENGI TU wanaishi bila punyeto. Naweza kukuambia neno moja, nitaweka mada soon kuhusu origin ya haya mambo. Kuanzia hapo tutajadili vema, ila INAWEZEKANA KABISA KUACHA AMA KUISHI BILA KUFANYA HAYO, tena mwili ukiwa huru kabisa na kuyahesabu mambo yote kuwa ni upuuzi. Sisemi kuishi kwa kujitesa kwa hamu, no, ni kwamba hamu yote inatoweka kabisa. Tatizo watu wanaoishi kwa EXPERIENCE ZAO kuliko kuitazama kweli. Kwa hiyo hapa tunapambana na EXPERIENCE VS TRUTH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…