Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho


Mimi umeniona nina siasa wewe huna si ndio? Tufanye huna siasa na umeleta facts hapa sio? 😀Mkuu una drama, kwamba wewe ndiye uliyenishtua kuhusu hili, umeshindwa hata kuelewa Kwenye comment ya kwanza jana kwanini nilikutaka ututhibitishie kuwa wanyama wanafanya sex only for reproduction unadhani nilikuuliza nikiwa sijawahi kusoma chochote Kuhusu hiki tunachokiongea hapa. Mbona unakuwa mzito sana kugrasp concept behind maswali

Basi tufanye umezikataa hizo articles za watafiti tuletee vithibitisho basi, unanituma kijijiji kwetu kwani mimi ni mtaalamu wa kuchunguza tabia za wanyama? Lakini pia unavijua vyanzo vya maarifa? Tuletee vithibitisho angalau vilivyofanywa na watafiti wa huko kijijini kwenu.

Btw, mpaka sasa hujajibu swali hata moja na hujathibitisha madai yako.

Umekazana kusema ni utashi wa binadamu kufanya punyeto, na aina zingine za sex, lakini hujibu kuwa hiyo pleasure inatoka wapi na ilikuwaje ikawepo hapo, kimsingi nilidhani unasema hakuna pleasure Kama ipo basi tueleze imekujaje wakati sex isnot for pleasure ni kwaajili ya reproduction, sijui kama unajua unachokikataa na kukikubali ni kitu gani.

And its very narrow of you kudhani wanyama ni ngombe, mbuzi, sijui na nini nini mnaofuga huko kijijini kwenu.
 
Kwahiyo ulileta mada ili usipingwe sio haya! Unataka tuchukulie mawazo yako positive wakati ya wenzio huyachukulii positive! Dunia ina vituko sana hii.
 
Kwahiyo ulileta mada ili usipingwe sio haya! Unataka tuchukulie mawazo yako positive wakati ya wenzio huyachukulii positive! Dunia ina vituko sana hii.
Kupinga kwa kukejeli kwamba sikuwako zama za kale!! Toa hoja sio kebehi
 
Ni kheri ukamalizia ushuhuda wako kwanza
ushuhuda wako ni wa thamani sana

Pia usiogope wala kuwahurumia wanaokupinga
ukombozi si wa kila mtu
Nimekusoma mkuu
 
Bado hamjanishawishi kwa hizo stori, Masterbation imeokoa wengi Sana.. madhara ya Master Ni mepesi Sana kuliko Madhara ya zinaa, labda tushauriane kuviacha vyote na Ni kitu ambacho kiuhalisia hakiwezekani..
Sio kila mtu atapata kitu, wengine wamepigwa roba za mbao. Kwa hiyo ukidhani umeokolewa na puli endelea tu, maadam inakupa faida kubwa. Wanaotazama kesho yao wanajua nini maana ya tahadhari kabla ya hadhari
 


******************

Nikiwa polisi walikagua nyaraka zangu kisha wa Kanisa nami hapo kituoni, hawakuniambia neno lolote. Kama nusu saa baadaye akaja mtumishi mmoja wa chuoni, wakaniambia niondoke naye. Basi ndani ya gari huyu mtumishi akawa ananipa faraja, "don't worry, we'll sort this out!" Basi baada ya kufika chuo, nilithlia mpaka jtatu, huyo mtumishi akaja darasani akauliza, ni nani rafiki wa karibu wa huyu? Wakajitokeza wazungu watatu ambao ni mabest zangu, basi akakamatwa mmoja (anaitwa Rigby) akaambiwa, huyu jamaa utaondoka naye Alhamisi (ilikuwa long weekend), "make sure he gets laid." Kama hatalala na mwanamke basi nitakushughulikia. Duh!! Basi bana long weekend ikaja, Rigby alikuwa anatokea Lincoln City, tukaenda kwao. But kifupi hawa jamaa wana utamaduni wa kualikana kwenye pubs (baa) wanakesha wakinywa kama vikundi vya wanaume na wanawake. Basi tukiwa huko akaja binti mmoja bonge hivi, akakaa nami. Moyo ukawa unaenda mbio tu, naogopa kojacho mbele. Basi kulikuwa na muziki wa karaoke unaendelea (Waingereza wana tabia wanapopiga karaoke basi mtu anakuwa anaimba kufuatisha wimbo). Nikashangaa ghafla jina langu linatajwq na DJ kwamba nitaimba wimbo uitwao TAINTED LOVE. Yaani huu wimbo hata sikuwahi kuusikia maishani, nilitamani waniwekee chambua kama karanga (huu wimbo ndugu zangu nilishangaa Waingereza wengi walikuwa nao kwenye simu zao, ukisema mimi ni mtanzania wanakuwekea wakijigamba wanajua utamaduni wetu). Basi nikataka kukataa kupanda jukwaani, yule binti akanisihi sana kwamba "please go, it will be sexy." Basi wakanishika na kuniinua nikapanda jukwaani halafu wakaja na kampani ya watu wengine wanne, hakika mimi nilikuwa napanua mdomo tu wao ndio wanaimba maneno!! Tuendelee....


Morg, Khantwe, yuzazifu, Sic March, Mgonga Like, Ismoo, extra life, wiz hov, SHIMBA YA BUYENZE
 
Sio kila mtu atapata kitu, wengine wamepigwa roba za mbao. Kwa hiyo ukidhani umeokolewa na puli endelea tu, maadam inakupa faida kubwa. Wanaotazama kesho yao wanajua nini maana ya tahadhari kabla ya hadhari

Inategemea na hiyo kesho Yako una mpango upi nayo, acheni kuwa watumwa wa kifikra wa Wanawake.. Mara sijui nguvu za kiume zitaisha, Mara sijui itakuaje.. kwa mwanaume unaejiamini Mwanamke anatakiwa akuridhishe wewe sio wewe ukomae kumridhisha yeye ( Huo Ni ufala) piga nyeto, stay safe, make money, timiza ndoto enjoy your own company.. Kama ukitaka kuoa jipange kudeal na matokeo lakini Kama ishu ya kuoa kwako sio tabu.. master is the safe way of keeping urself safe..
We Kama umeshapata Magonorhea Huko usiwarubuni wengine nao waingiemo... narudia Tena madhara ya Zinaa Ni makubwa sana kuliko Master..
 
Daah kumbe mada umeichukulia kwa mrengo huu? Basi hatuwezi kuelewana. Mtoa mada anazungumzia suala la punyeto na athari zake kiroho sasa kama wewe uko kuwaza nguvu za kiume tu basi uko mbali sana na sisi wenzio
 
Naam, ngoja niweke sawa mkuu:

Mwanzo 2
⁷ Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.



Mtu akawa nafsi hai. Kumbe nafsi ni muunganiko wa mwili na roho, tuko pamoja? Kwanza yalikuwa mavumbi (mwili) kisha ikaingizwa roho tukapata nafsi (mwanadamu kamili ni nafsi). Kwa hiyo nikisema ni muunganiko wa nafsi ina maana mwanadamu kamili yaani mwili na roho katika ulimwengu wa roho vinakuwa kitu kimoja. Kwa hiyo tendo la ndoa linaunganisha roho mbili za nafsi moja, roho ya mwanamke na roho ya mwanamume. Zinapoungana kwa ajili ya kufurahia tendo la ndoa basi zinatengeneza nafsi moja, ingawa katika mwili watu hawaunganibkuwa mmoja, ila wanaunganishwa na sehemu za siri. Wajapo maliza tendo na kutengana, zile emotional energy walizobadilishana zinakuwa ndio kifungo cha nafsi, wanabaki nafsi moja. Kila roho itatenda kwa kadri ya yaliyoujaza moyo, ingawa ni nafsi moja. Mwanamume kama ni mzinzi ataendelea kuwa hivyo, mwanamke kama ni kahaba atabaki hivyo kama hawajashughulikia hayo. Muunganiko wao utatiwa udhaifu na matendo yao kwa sababu hawako mwili mmoja kamili, bali wako wengine wainguzao nguvu tofauti.

Nafsi ni kiti cha ufahamu wote, wakati mwili na roho ni viongozi wapinzani. Sasa kama mwili utakuwa na nguvu za kisiasa ni dhahiri utaitiisha nafsi na hivyo roho itanyamazishwa. Mungu ni Roho, ukitaka kuisikia sauti yake, sharti roho ichukue uongozi na mwili utii. Kwa hiyo basi, nafsi yenyewe inapokea maongozi toka ama kwa mwili ama roho, ndio mwanadamu huyo.
 
Who cares!? Wewe umeijua kweli kwa nini kuja hapa ili kuleta ubishi? Katika hii thread wapo wengi ambao wameathirika na huu upuuzi, hivyo wanapata faida. Wewe usiyeathirika just carry on brother. Kuna majukwa ya ngono pia, unaweza kujikita huko kuwaelimisha jinsi ya kujichua, hutoniona huko. Hata ushoga wanadai hivyo hivyo, let's see jinsi gani utakea wanao, kwamba utawafilindisha huo ujinga ama la?
 
Daah kumbe mada umeichukulia kwa mrengo huu? Basi hatuwezi kuelewana. Mtoa mada anazungumzia suala la punyeto na athari zake kiroho sasa kama wewe uko kuwaza nguvu za kiume tu basi uko mbali sana na sisi wenzio

Aaah! Hayo ya rohoni ye ameyajuaje Kama sio uongo huo?
Kama nguvu za kiroho zingekua na umuhimu Basi mungu asingeumba Mwili.. Skia life is sooo short to be worried about things that are far beyond your reach.. Live it while you still have it.. enjoy everything that makes you happy.. the ultimate happiness and pleasure comes from you.. tofauti na hapo Nenda ukanye!!
 
Sawa, acha tunaoona umuhimu tuendelee kujifunza
 

Sijakubishia brother sema nawaza kwa sauti Hapa " Unawakataza watu nyeto ili wafanye Zinaa ama?
Wape njia mbadala Basi itakayo walinda wao kimwili, kijinsia, na kiroho as you said...."

Imagine una Mwanao ambae Yuko kwenye foolish age, ametawaliwa na vichocheo vya Mwili na Anabadirisha wenzi kila siku, ukiuliza why anakujibu loudly and clear Kwamba hamu ya Mwili ndo inafanya afanye hivyo, utamuombea? Utamtafutia Mchumba aolewe au aoe na umri Bado? Sio kila kitu mpaka muwe mnakaririshwa.. siajabu unajifanya mlokole Hapa Ila in real life Ni mchafu kuzidi hata mm.. Magonjwa yameshakuwa mengi, kujizuia sio Jambo la rahisi kwa ulimwengu huu unaoenda Kasi.. tunapoteza Vijana wengi Mapema kwa sababu ya watu kama nyie.. Wape Vijana njia mbadala yakujiridhisha kuliko kuwafanya wajione wenye hatia kwa kufanya kitu Cha kawaida tu Kama kujikuna au kujisaidia haja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…