binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hahah mkuu unaonekana uko na siasa Sana za maneno, huwezi kusoma ki article kimoja Cha BBC Cha (Jason Goldman,2014) ukaja na final conculution inaonekana nimekustua baada ya mada ndio ukaenda kupitia pitia ukaleta hichi ulicho kileta.
Pili nikuambie Kama uliamua kufatilia kuhusu sex kwa wanyama huwezi kwepa tafiti zao za oral sex,same sex na zingine Mana lengo lao Ni kuhalalisha kuhusu mambo yao , nikupe taarifa nilishasoma yote hayo mpaka na wengine wakasema mbwa anapiga puyenga kitu ambacho naomba hata wewe unaweza kunisaidia kusema Mana baadhi ya wanyama wapo tunaishi nao na tunajua tabia zao labda unaweza kuniletea ushaidi huo. Nimeona mifano mingi sijui cats, dolphins, bonobo ulio wasema nao wengi wamewatumia Kama reference zao lakini hayo yote yalikua na mlengo wao ambao ndio huo unajifanya hujataka kufatilia lakini Ukweli Ni kua huwezi kutenga pleasure sex na makokoro mengine yoyote yanayohusu sex.
Naomba ujue tofauti ya kufanya for pleasure na kufanya kufeel pleasure,
"Dolphins and Bonobos are the only species observed to engage in sex for pleasure.
All others are driven by irresistible genetic and environment cues that it is time to make baby animals."
Mwisho naomba nimalizie kwa kukuomba au kunukuu maneno ya mzee Jk aliyosema " ukiambiwa changanya na zako" wewe kikijiji kwenu mko na Ng'ombe,mbuzi, mbwa, paka na minyama mingine mingi ulishaona wakifanya punyenga?oral sex ? Same sex ? Huu Ni utashi wetu sisi binadamu usikatae na kutetea vitu usivyo vijua kua matatizo yaliyo tokana na utashi wa binadamu kufanya sex for pleasure yame pelekea introduction ya vitu vingi ambavyo havikua na maana.
Mimi umeniona nina siasa wewe huna si ndio? Tufanye huna siasa na umeleta facts hapa sio? 😀Mkuu una drama, kwamba wewe ndiye uliyenishtua kuhusu hili, umeshindwa hata kuelewa Kwenye comment ya kwanza jana kwanini nilikutaka ututhibitishie kuwa wanyama wanafanya sex only for reproduction unadhani nilikuuliza nikiwa sijawahi kusoma chochote Kuhusu hiki tunachokiongea hapa. Mbona unakuwa mzito sana kugrasp concept behind maswali
Basi tufanye umezikataa hizo articles za watafiti tuletee vithibitisho basi, unanituma kijijiji kwetu kwani mimi ni mtaalamu wa kuchunguza tabia za wanyama? Lakini pia unavijua vyanzo vya maarifa? Tuletee vithibitisho angalau vilivyofanywa na watafiti wa huko kijijini kwenu.
Btw, mpaka sasa hujajibu swali hata moja na hujathibitisha madai yako.
Umekazana kusema ni utashi wa binadamu kufanya punyeto, na aina zingine za sex, lakini hujibu kuwa hiyo pleasure inatoka wapi na ilikuwaje ikawepo hapo, kimsingi nilidhani unasema hakuna pleasure Kama ipo basi tueleze imekujaje wakati sex isnot for pleasure ni kwaajili ya reproduction, sijui kama unajua unachokikataa na kukikubali ni kitu gani.
And its very narrow of you kudhani wanyama ni ngombe, mbuzi, sijui na nini nini mnaofuga huko kijijini kwenu.