Hiyo site nimeikumbuka inaitwa healthline...humo wameelezea kwa kirefu faida na hasara
Hasara walizozielezea hapo hazihusiana na matatizo ya kiafya kama watu wanavyopptosha. Huko asara ni kama kuchelewa event muhimu endapo utakua ni addicted lakini hakuna internal effects inayolenga afya
Halafu inasaidia kupunguza uwezekanonwa kupata prostate cancer, unashauriwa upige mara 21 kwa mwezi kujiweka mbali na huo ugonjwa
Yani kiufupi ni kwamba hakuna madhara yeyote, hizi habari za kusema sijui kiroho unakua una sex na spiritual beings naona zimekaa kikuda tu
Imagine mtu una ejaculate kwa kufanyiwa blowjob, hivi mtu huyu anakua anatofauti gani ni mpiga puli?
Mtu anayesema upigaji puli ni m'baya kiroho kwasababu unakua unafanya tendo na kiumbe wa kiroho vipi kwa watu wanaopigshwa puli na wake/mademu zao?