Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

swali lilikulenga wewe mkuu hivo ungejibu ingependeza coz tupo hapa katika kujifunza na kutafta suluhu ya janga hili.
Kama lengo lako ni kujifunza basi hupaswi kuchagua wa kukufunza, we sema ulitaka kupata experience ya kwangu mimi
 
Wapi na nani ameandika mwanadamu hawezi kuishi bila sex? Unajaribu kutwist mambo kwa sababu gani, hakuna aliyesema mwanadamu hawezi kuishi bila sex bali tumesema sex ni takwa la kibinadamu, unaelewa maana yake?

Tuelimishe, ndoto nyevu ni sawa na ndio ubinadamu lakini punyeto sio sawa how?
Usiniwekee maneno ambayo sijayasema mkuu, Mimi sijasema punyenga sio sawa kufanya Mana Sina Sheria za maisha ya yeyote Ila nilicho jaribu kusema Ni kuweka sawa maelezo ya Huyo ndg aliyekua anakuulizia binadamu aliyekamilika anawezaje kuishi bila sex mpaka nafikisha umri mkubwa nilichokua najaribu kusema Ni kua INAWEZEKANA Mana sex Wala punyenga sio chakula.
Unapojaribu kujiuliza mwanadamu aliyekamilika anaishije bila kufanya sex maana yake rahisi kwa binadamu muelewa Ni kua mtu hawezi ishi bila sex, Kama Ni hitaji Kumbe tuko pamoja kua sio kitu Cha kujiuliza kwamba inawezekana au haiwezekani Kama unajua kutumia akili yako.
 
Nilivyokuuliza unayaongea haya “from the mouth of which river” nilimaanisha vyanzo vyako vya maarifa ni vipi au reference yako ni wapi, hii itatupa frame work ya mjadala wetu tuache kujadili kama walevi wa mnazi huyu anarefer huku, huyu ana refer kule katika vyanzo vinavyopinga, mjadala hautaisha.
Pili, hujajibu swali langu hata moja zaidi umeniongezea maswali, uungwana ni vitendo ngoja mimi nikujibu kama ifuatavyo na nikutake uende ukasome tena na tena kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya maarifa ili uondoke kwenye narrow thinking ya kwamba SEX SAVES REPRODUCTION PURPOSE ONLY ukirefer kuhusu wanyama, kwamba wanafanya only kwenye heat kwanza si kweli na sijajua hayo umeyatolea wapi, si kweli sababu wataalamu wanapingana na wewe, au basi utuambie wewe ni mtaalamu mpya na utupe machapisho yako hata katika summary tu.

Well, kwasababu hatuwezi kumuuliza mnyama kama anapata pleasure wakati wasex, watafiti wametumia njia tofauti za kitafiti kulithibitisha hilo kwa kustudy tabia za wanyama na kuzifananisha na zile za Mwanadamu awapo kwenye sex. Study zimefanywa kwa wanyama mbalimbali mfano, primates mbalimbali (hapa walimtumia Bonobo) pia cats, dolphin etc

moja, wameeleza juu ya wanyama kupata orgasm kwa kutafsiri vitendo vinavyotokea wakati wa sex kama vile kuvimba/kutuna kwa misuli (kwa madume) vocalization na change of facial expression, tabia ambazo hata binafamu huzionesha anapopata orgasm, and we all know that orgasm huambatana na pleasure.

Pili, Wanyama wameonekana wakifanya sex “out of the breeding season” mfano wakati wa preginacy, nikuulize ndugu mjumbe sex wakati wa mimba ina save which purpose kama sio starehe tu, is it also for procreation?

Pia, tafiti zimewabamba wanyama wakifanya sex between mature na immature individuals, sio hivyo tu pia sex between both immature individuals, ingekuwa huku kwenye ubinadamu tungesema underage hehe, hii haiwezi kuwa for reproduction.

Sijazungumzia na sijataka kuzungumzia tafiti zilizofanywa juu ya Wanyama kufanya oral sex, same sex, group sex kwasababu sijawahi kuwa interested kujifunza kuhusu hili. Itoshe tu kusema let us dig-in tujifunze tena na tena sababu wenzetu wamefanyia tafiti za kutosha na wametoa machapisho kadha wa kadha.
Hahah mkuu unaonekana uko na siasa Sana za maneno, huwezi kusoma ki article kimoja Cha BBC Cha (Jason Goldman,2014) ukaja na final conculution inaonekana nimekustua baada ya mada ndio ukaenda kupitia pitia ukaleta hichi ulicho kileta.

Pili nikuambie Kama uliamua kufatilia kuhusu sex kwa wanyama huwezi kwepa tafiti zao za oral sex,same sex na zingine Mana lengo lao Ni kuhalalisha kuhusu mambo yao , nikupe taarifa nilishasoma yote hayo mpaka na wengine wakasema mbwa anapiga puyenga kitu ambacho naomba hata wewe unaweza kunisaidia kusema Mana baadhi ya wanyama wapo tunaishi nao na tunajua tabia zao labda unaweza kuniletea ushaidi huo. Nimeona mifano mingi sijui cats, dolphins, bonobo ulio wasema nao wengi wamewatumia Kama reference zao lakini hayo yote yalikua na mlengo wao ambao ndio huo unajifanya hujataka kufatilia lakini Ukweli Ni kua huwezi kutenga pleasure sex na makokoro mengine yoyote yanayohusu sex.

Naomba ujue tofauti ya kufanya for pleasure na kufanya kufeel pleasure,

"Dolphins and Bonobos are the only species observed to engage in sex for pleasure.
All others are driven by irresistible genetic and environment cues that it is time to make baby animals."

Mwisho naomba nimalizie kwa kukuomba au kunukuu maneno ya mzee Jk aliyosema " ukiambiwa changanya na zako" wewe kikijiji kwenu mko na Ng'ombe,mbuzi, mbwa, paka na minyama mingine mingi ulishaona wakifanya punyenga?oral sex ? Same sex ? Huu Ni utashi wetu sisi binadamu usikatae na kutetea vitu usivyo vijua kua matatizo yaliyo tokana na utashi wa binadamu kufanya sex for pleasure yame pelekea introduction ya vitu vingi ambavyo havikua na maana.
 
Kwa uchache nataka kujua Punyeto imezungumziwa kwenye Kifungu gani ndani ya Biblia.
Viko vifungu vingi sana. Tatizo lako unadhani imeandikwa kupiga punyeto, ni sawa na mtu aulize "wapi imeandikwa kujiua ni dhambi!!" Hebu tuone:

“Akiwa kwenu mtu awaye yote asiyekuwa ni tohara kwa ajili ya yaliyomtukia usiku, na atoke nje ya kituo, wala asiingie ndani ya kituo;”
Kumbukumbu la Torati 23:10

Deu 23

¹⁰ If there is any man among you who becomes unclean by some occurrence in the night, then he shall go outside the camp; he shall not come inside the camp.
¹¹ But it shall be, when evening comes, that he shall wash with water; and when the sun sets, he may come into the camp.[/I]

>> katika Agano la Kale mtu aliyepatwa na nocturnal emission au kutokwa shahawa usingizini, alitengwa kwa muda. Kwanza kabisa hicho tu kikuonyeshe kwamba kama zilitoka bila kujua na mtu alitengwa, vipi kwa aliyeamua kuzitoa mwenyewe? Unaona ni sawa kuliko huyo? Kwamba Mungu aliruhusu punyeto ila akataka aliyekojoa pasipo hiari ajitakase?

1 Wakorintho 7
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
² Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

2. But sincesexual immorality is occurring, each man should have sexual relations with his own wife, and each woman with her own husband.

>> Hapa Paulo ameongelea kutokuoa kabisa. Lakini tatizo linalopelekea mtu kuoa ni tabia zisizofaa, sexual immorality. Kwa wenye kuwaka tamaa suluhisho ni kuoa, SIO KUPIGA PUNYETO!! Hapa Paulo alikuwa na nafasi wazi kusema ni vema kutokumgusa mwanamke, lakini kwa sababu ya vitendo vya zinaa, ni heri kupiga punyeto au kuoa!!

³ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

>> Sasa kama mume hana amri juu ya MWILI WAKE, anapiga punyeto kwa amri ya mke? Vipi mke anayejichua naye, afanya hilo kwa amri ya mume? Maana mkiwa kwenye ndoa, kila mmoja amebeba mwili wa mwenzake, ndio maana huwezi kuamua kufanya ngono tu nje kwa sababu si mwili wako huo.

⁵ Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Do not deprive one another, except perhaps by agreement for a limited time, that you may devote yourselves to prayer; but then come together again, so that Satan may not tempt you because of your lack of self-control

>> Msinyimane, isipokuwa mnapoamua kuelekeza nguvu zenu kwenye maombi. Lakini baada ya maombi rudianeni haraka ili msimpe shetani nafasi ya kuwajaribu kwa kutokuwa na self control. Mkafikia mmoja kuamua kupiga punyeto kwa vile mwenza wake yuko kwenye maombi. Hii ina maana gani? Maombi kwa wanandoa ni juhudi ya pamoja, huwezi kusema mke kafunga halafu mume anapiga menyu. Nafsi moja, mmoja akifunga, wote MFUNGE, mnie mamoja. Nje ya hapo maombi hayana nguvu, tena shetani ataijaribu ndoa, ndio wapiga punyeto na wanaojichua ndani ya ndoa hao.

1 Petro 2

¹¹ Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho.

>> Sasa punyeto ni tendo la roho? Ukipiga punyeto Roho wa Mungu anatukuzwaje?
 
Dunia ipi ambayo ilikuwa haijawaka tamaa ulikuwepo kwenye hiyo dunia?
Kwahiyo hii mada iliwalenga watoto kuacha ngono na punyeto? Basi ni vizuri kuwa sisi watu wazima tuachwe tufanye sio? [emoji3]

Mimi sijasema Mungu mnafiki na sijamuona mnafiki umesema wewe boss usinilishe maneno.
Huo ni mfano, mada kama hizi wazazi wanaweza kuzitumia kuwalinda watoto wao. Kusema nilikuwepo ni kukosa hoja, hata wakati wa uumbaji ulimwengu sikuwepo. Nadhani tujaribu kutazama upande positive kuliko kutafuta vipengele vya kupinga tu. Sote tunaelimishana mkuu
 
Well said, natamani niandike kitu ila najikuta nafuta maana wanaJf wenzangu hawana dogo hawachelewi kukuattack kwa suala uliloandika mmu mkipishana hoja kwenye jukwaa la mapishi
Dawa ni kuweka pamba masikioni mkuu [emoji38][emoji38]
 
Viko vifungu vingi sana. Tatizo lako unadhani imeandikwa kupiga punyeto, ni sawa na mtu aulize "wapi imeandikwa kujiua ni dhambi!!" Hebu tuone:

“Akiwa kwenu mtu awaye yote asiyekuwa ni tohara kwa ajili ya yaliyomtukia usiku, na atoke nje ya kituo, wala asiingie ndani ya kituo;”
Kumbukumbu la Torati 23:10

Deu 23

¹⁰ If there is any man among you who becomes unclean by some occurrence in the night, then he shall go outside the camp; he shall not come inside the camp.
¹¹ But it shall be, when evening comes, that he shall wash with water; and when the sun sets, he may come into the camp.[/I]

>> katika Agano la Kale mtu aliyepatwa na nocturnal emission au kutokwa shahawa usingizini, alitengwa kwa muda. Kwanza kabisa hicho tu kikuonyeshe kwamba kama zilitoka bila kujua na mtu alitengwa, vipi kwa aliyeamua kuzitoa mwenyewe? Unaona ni sawa kuliko huyo? Kwamba Mungu aliruhusu punyeto ila akataka aliyekojoa pasipo hiari ajitakase?

1 Wakorintho 7
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
² Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

2. But sincesexual immorality is occurring, each man should have sexual relations with his own wife, and each woman with her own husband.

>> Hapa Paulo ameongelea kutokuoa kabisa. Lakini tatizo linalopelekea mtu kuoa ni tabia zisizofaa, sexual immorality. Kwa wenye kuwaka tamaa suluhisho ni kuoa, SIO KUPIGA PUNYETO!! Hapa Paulo alikuwa na nafasi wazi kusema ni vema kutokumgusa mwanamke, lakini kwa sababu ya vitendo vya zinaa, ni heri kupiga punyeto au kuoa!!

³ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

>> Sasa kama mume hana amri juu ya MWILI WAKE, anapiga punyeto kwa amri ya mke? Vipi mke anayejichua naye, afanya hilo kwa amri ya mume? Maana mkiwa kwenye ndoa, kila mmoja amebeba mwili wa mwenzake, ndio maana huwezi kuamua kufanya ngono tu nje kwa sababu si mwili wako huo.

⁵ Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Do not deprive one another, except perhaps by agreement for a limited time, that you may devote yourselves to prayer; but then come together again, so that Satan may not tempt you because of your lack of self-control

>> Msinyimane, isipokuwa mnapoamua kuelekeza nguvu zenu kwenye maombi. Lakini baada ya maombi rudianeni haraka ili msimpe shetani nafasi ya kuwajaribu kwa kutokuwa na self control. Mkafikia mmoja kuamua kupiga punyeto kwa vile mwenza wake yuko kwenye maombi. Hii ina maana gani? Maombi kwa wanandoa ni juhudi ya pamoja, huwezi kusema mke kafunga halafu mume anapiga menyu. Nafsi moja, mmoja akifunga, wote MFUNGE, mnie mamoja. Nje ya hapo maombi hayana nguvu, tena shetani ataijaribu ndoa, ndio wapiga punyeto na wanaojichua ndani ya ndoa hao.

1 Petro 2

¹¹ Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho.

>> Sasa punyeto ni tendo la roho? Ukipiga punyeto Roho wa Mungu anatukuzwaje?

Mambo ya Walawi 15 :16
Na mtu ye yote akitokwa na shahawa yake, ndipo ataoga mwili wake wote majini, naye atakuwa najisi hata jioni.

Nimeongezea tu
 
Back
Top Bottom