Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Na hao ndipo kuuona ufalme wa mbinguni unapokuwa mgumu kama jiwe
Kwa hiyo tuamini kuwa kwenda mbinguni ni kugumu sana sana.Kutakuwa na watu wachachache sana sana.Basi sawa!
 
Asante Binti Kiziwi. Tatizo la hawa wahubiri huwa hawatoi vitu practical. Ni nadharia tu na vitisho. Ndiyo maana nimeuliza hapo. Kijana rijali kabisa hana tatizo. Hapaswi kuzini wala kupiga nyeto na anapaswa kusubiri mpaka atakapooa. Kwa mazingira ya sasa ni vijana wangapi wanaweza kukaa celibate mpaka siku ya ndoa? Kama wengi hawawezi, wafanye nini kama kuzini na nyeto haviruhusiwi kiroho?
Biblia inasema heri kuoa kuliko kuwaka tamaa bro
 
Kwa hiyo tuamini kuwa kwenda mbinguni ni kugumu sana sana.Kutakuwa na watu wachachache sana sana.Basi sawa!
Siyo kugumu kama unavyodhani ila kunaweza kugeuka kugumu na hiyo dhana ya ugumu ikawa na mantiki kama utaifanya iwe ngumu wewe mwenyewe
 
usikate tamaa mungu ni mwema kuna siku utaacha, kikubwa ni kuikazia nia yako pia nakumshirikisha mungu katika nia ya kuacha jambo hili.

pia wanawake wanakua wagum kuacha coz jambo hili wanalifanya siri na wanahisi wakilisema ajili yakutaka msaada watadhalilika tofauti na wanaume ni wawazi sana ndo maana kuacha inakua rahisi
kwani wanaume huwa wanasimulia? Nadhani hili ni tendo la siri kwa kila jinsia
 
Kweli Punyeto ni laana na si dhambi tu
Reference to me..
Kila nikamaliza najutia na kujiona Mtu nisiefaa kwa lolote yaan Mtupu pure mtupuu kabisa
Lakini pia kila nikifanya punyeto nikimaliza najiona kabisa nimeondosha nguvu zangu yaan nakua kama zombie zombie tu sijielewi, majuto mengi sana moyoni na hata ukiwa mbele ya watu unajihisi kama u mtupu hata kama huna aibu ila internally you feel as you are naked.
Ila ukiacha kujichua hata mwezi, kwanza kwa sisi waumini hata ukiomba kwa Mungu unaona Moyo wako una Amani na Sala yako imefika kabisa ila sasa jichue alafu uombe yaan unajiona kama unatimiza tu wajibu bila matokeo yeyote
Ukiacha kwa Mda unaona mwili unarudi safi kabisa na nguvu za mwili na rohoni unakua nazo yaan full Amani. Kujichua huwezi kua na Afya bora Daima.
Mwisho Mtu anaejichua yeyote hata mwili wake hauna Nuru,uwe na hela uwe huna hela, ule mboga saba au moja huwezi kua na nuru. Ni mtupu rohoni na mwilini hata kama utajiona una kila kitu na kweli baraka za Mungu haziwezi kua juu yako hata kama utapata kama unavyohisi ni baraka bado huwezi kudum na vikidum huwezi kua na furaha navyo yaan lazima misukosuko ikuandame.
Shukrani kaka.
Maneno mazito sana haya. Kunyetuka hakufai, kuna athari sana kiroho, kunakuweka mbali na baraka na Rehema za mwenyezi MUNGU
 
Luna usemi mmoja unasema ukishapata hela nyeto unaacha automatically
 
Mkuu umeongea mambo mazito sana, nashukuru wewe ni mwamini Mungu. Nitakujibu hapa:

Mjadala upo na wataalamu wa afya wamepishana sana juu ya hili. Unajua sababu? Kuna nguvu inayoleta confusion kati yao. Ni sawa na habari za ushoga, wako wanaosema hauna madhara, wengine wanasema una madhara!! So tuseme nini??

Lakini kwa suala la wewe kujiona uko sawa, ni kwamba hata wanaotoa watoto kama kafara za kupata mali hujiona wako sawa, anayefuga majini naye atakuambia mbona yananipa mali? Nilisema unapofanya tendo hilo hayo mapepo yanavuna nguvu zako, hivyo utafanya mambo yako pale utakapopatana nayo. Ndio maana wapo wanaosex na majini mahaba na wapo kwenye ndoa zao, huku wengine yakiwazuia hata kuoa na kuharibu mimba. Kikubwa ni kwamba upo kifungoni na IKO SIKU utakumbuka hili.

Jiulize, iweje wewe una mke halafu uwe na hamu ya kujichua? Unaona ni jambo la kawaida? Pia hao watoto wenu waweke vema mbele za Mungu, kwani watakuja kuwa wadau wakubwa pia. Hilo ni agano na mapepo ambalo wewe unaliimarisha kila unapojichua, nao watakuja kuliendeleza hivyo hivyo, labda wawe katika Kristo.

Halafu kuna suala la wewe kutamba una fellowship huku unapiga punyeto. Mbona watu wanazini na wanakwenda makanisani? Siku ukijua kuwa mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu utaacha kumpigia punyeto huyo Roho. Imekubidi kushughulikia hicho kifungo, kwani kimekuua kiroho nawe umetiwa upofu. Usisubiri mpaka mambo yaharibike ndipo uvchukue hatua.

Ukisema hakuna madhara jua kuwa unapotea, usingoje mpaka yakukute. Tembea mijini leo hii, habari za vumbi la kongo nk, pia vijiwe vya kutibu nguvu za kiume vimejaa mno. Ukienda watakuambia SABABU YA PUNYETO. Mbona haya mambo yapo wazi? Wanawake wa leo wanadai hawaridhishwi, sababu wanaume wanapiga punyeto na wao wanajochua, hivyo emotions zimehama!!
Siamini mambo ya delusions mimi
 
Ushuhuda unaendelea...

Niseme wazi Mwenyezi Mungu amenipa uwezo mkubwa sana darasani. Ni kwamba katika maisha yangu masomoni, mwalimu afundishapo, anapofika mwisho wa kipindi basi nami nimemaliza, nasubiri mtihani tu!! Sisahau neno hata kidogo, hivyo katika maisha yangu ya masomo sikuwahi kusoma tuition.

Neema hii iliendelea hata kazini pia, nikiwa napendwa sana na watu wote viongozi na wafanyakazi wenzangu. Sasa kumbuka kujichua kulianza nikiwa kazini. Kadri siku zilivyozidi kusonga, nikawa napoteza mvuto kwa wenzangu, halafu moyo wa kufanya kazi ukawa unapotwa. Ghafla nikajikuta natamani tu kujichua japo mara moja kila siku, halafu baada ya hapo huishiwa nguvu za kimwili na kiroho. Mabaki kulala tu siku nzima, siwazi lolote kuhusu maisha.

Hali iliendelea hivyo hata nikiwa sisikii hamu ya kuwa na mwanamke zaidi ya kujichua. Ndipo nikaingia kwenye kutazama picha za ngono na pia kutembelea beach kila siku kutafuta wanawake wanaoongelea ili nijichue. Hayo yakawa maisha yangu rasmi.

Mungu anitokea kwa mara ya kwanza maishani

Kuna kipindi nilipata pesa nyingi tu kazini, nikaamua nianze uwekezaji ili niache kazi. Nilikuwa sipendi tena kazi yeyote maana ilininyima uhuru wa kujichua nitakapo. Ni kwamba nilisafiri kwenda nje ya nchi kikazi, nikiwa huko pamoja na mwenzangu mmoja aitwaye Maulid (jina halisi kabisa kama ni member humu atakumbuja) tukaamua siku moja kuanza kuichunguza Biblia kama yanayofundishwa ni kweli. Kisa chote ilikuwa kutaka kujua kwa nini kuna madhehebu mengi ya Kikristo wakati Biblia ni moja tu. Basi ikawa kila siku jioni husoma sura kadhaa huku tulijadiliana kulinganisha na mafundisho ya sunday schools na mainstream churches kama RC, KKKT nk. Ninayo mafundisho tele (audio) ya askofu Zachary Kakobe. Naomba kukiri wazi, hiki ni kipindi pekee maishani mwangu ambacho sitokisahau kamwe. Kwa mara ya kwanza Mingu alizungumza nami wazi wazi.

Ilikuwa katika kusoma neno, basi kila eneo ambalo huonekana lina utata hata kuwa na mitazamo tofauti, mimi hupokea mafunuo hapo hapo na kuelewa maana pasipo kuuliza mtu. Tena nikimshirikisha yeyote, hakuna aliyeweza kupinga. Mbali na hapo, ikawa usiku kila nilalapo, basi roho yangu husafiri sehemu mbalimbali na kushuhudia mambo yafanywayo na WATU NINAOWAFAHAMU KABISA. (Wakati wa usiku tulikuwa na desturi ya kusali pamoja kwenye ukumbi, pamoja na Wakristo wengine kila mtu kwa lugha yake. Wakuu, siku moja nilishangaa nanena kwa lugha, just from no where. Sikuwekewa mikono wala sikuwahi kuomba lugha mpya, hapana. Kuanzia siku hiyo, sikuwahi kupata hamu ya kujichua, ama kutoka na mwanamke tena. Hapo ndipo haswa safari zangu katika ulimwengu wa roho zilianza.

(Labda niseme tu, nimetoka katika familia ya KIKATOLIKI, fundamentalists. Baba ni former seminarian, alikwenda mpaka daraja ya ushemasi, mama alikuwa mpostulant akifukuzia usista. Mimi pia nimesoma shule ya seminari kisha Kanisa walinioenda sana wakataka niwe padre. Namkumbuka Padre Julius Tengi pale Tabora alivyokazania niende major seminari, nikasema kabisa).

Mfano siku moja nikiwa nimejilaza kitandani niko macho kabisa saa nne usiku, Roho alinichukua mpaka kwenye kikao cha wachawi, tena wawili kati yao ni wafanyakazi wenzangu (hawa tulisafiri nao kikazi kama timu moja. Mmoja tulikuwa tukilala chumba kimoja na mwingine chumba tofauti). Basi mimi nilisimama kando nikitazama kinachofanyika lakini wao hawanioni. Walikuwa wachawi wengi sana lakini nikiwatambua wazi wazi hao wawili tu. Niliamka kwa mshituko mkubwa majira ya saa kumi alfajiri, nikastuka zaidi nilipomkuta huyo jirani yangu ndio kwanza anafuta miguu apande kitandani kulala, ni kama ametoka sehemu fulani. Hata hivyo yeye alihisi kuna kitu nimeona, akaniuliza nimeona nini? Mimi nilikataa katakata keamba ni ndoto tu ambayo siikumbuki, alinishurutisha sana nikakataa. Basi niliamua kutoka nje kama nakwenda chooni, huko ndio nikaogopa zaidi kwa nilichokiona. Yule mfanyakazi mwingine alikuwa akichota maji kwenda kuoga, amevaa VILEVILE nilivyomwona kwenye kikao cha wachawi!! Haraka nilirudi ndani nikalala.

Asubuhi huyu jirani yangu alinifuata akaanza kulalamika kwamba kuna wachawi wengi hivyo hatulali vizuri. Mimi nilimwambia sijaona tatizo na ninapata usingizi vema tu. Aliendelea kunifuatilia kama siku tatu hivi, mwishowe aliniambia wazi, KUNA KITU UMEKIONA USIKU, ILA UNANIFICHA, BASI TUTAONA!!

Basi katika kipindi hicho chote, hamu ya kujichua iliisha kabisa, nikawa namtafakari Mungu tu muda wote. Hiki ni kipindi pekee nilipokuwa na amani kubwa maishani. Mungu aliweza kunionyesha matatizo mbalimbali ya wafanyakazi wenzangu, ikawa nawapigia simu kuwaeleza. Mfano, "mkeo ni mgonjwa, usimpeleke hospitali, omba tu kesho atakuwa mzima!" Na kweli ilikuwa hivyo, kilichowashangaza wengi ni mimi kujua matatizo yao binafsi na kuwaeleza hali nikiwa nje ya nchi. Ndugu zangu, Mungu amewahi kunitumia katika viwango hivyo, tena nikiwa mchanga tu katika neno.

Anguko langu

Nikiwa huko nje, kila Jumapili tulikuwa tunakusanyika Watanzania kufanya ibada ya pamoja. Basi nilishangaa aliyekuwa mchungaji wetu siku moja kuniambia kwamba Jumapili ijayo mimi ndio nitahubiri. Sikuwahi maishani mwangu kuhubiri, lakini alisisitiza sana. Basi nilijiandaa huku nikiwa na wasiwasi na hofu kubwa mno. Jumapili ikafika, nami nikadima kwenye madhabahu hali nikiwa na hofu. Kilichofuatia Mungu mwenyewe ndio anajua, kwani nilihubiri kwa zaidi ya saa moja katika uweza wa Roho Mtakatifu. Nilijikuta natiririka tu, hata mwisho wa mahubiri nusu ya Kanisa walikuwa, wakilia machozi. Baada ya ibada, walinifuata watu, kila mmoja akisema hayo mahubiri nilimkusudia yeye na anajuta sana moyoni mwake. Mimi nilibaki kushangaa tu nisijue nini kinaendelea.

Basi ghafla roho ya mchungaji ilibadilika, akanichukia sana na kuniambia wazi, sitoruhusiwa tena kusimama madhabahuni. Nami kuanzia siku hiyo nikaacha kujihudhurisha kanisani, nikawa mzito hata kudoma neno kwani nilishajawa kiburi. Kilichofuata no anguko kuu. Usiku nikiwa nimelala, siku moja niliota ndoto nikiwa natembea njiani huku mbea akinifuata kila niendako. Tena siku mbili baadaye niliota nokiwa njiani nayembea mbwa akawa ananifuata, nikijaribu kumwacha namwona nyuma yangu. Kuanzia hapo nilishikwa na hamu ya kupiga punyeto, nikajikuta nimerejea tena. Maono yangu yakazimija ghafla. Mwezi mmoja baadaye saa 10 alfajiri nikiwa usingizini ilizungumza sauti wazi wazi ikisema, "SI UMENIKATAA MIMI, BASI SAWA." Niliamka kwa mshituko mkubwa huku moyo ukienda mbio, nikaanza kulia nikisema, hapana sijakukataa Baba. Lakini huo ndio ulikuwa mwisho wa maono yangu. Hii ni kweli kabisa wakuu. Learn from me.

Umaskini na punyeto

Niliporudi Tz nikiwa na pesa za kutosha (zaidi ya m80) nilianza uwekezaji. Kwanza nilifungua mradi wa nguruwe, kisha nikanunua Isuzu Journey mbili nikazifanya daladala (Gongolamboto- Temeke), nikanunua eneo (20 acres Tundwi Songatini), nikanunua 12 acres Morogoro Masika, ekari mbili Kisarawe, nikaanza biashara ya kununua dhahabu huku nadoma masters. Wakuu, nonavyoongea nanyi hivi leo, hakuna hata kimoja kiliendelea. Mbaya zaidi, nilikaa na mkurugenzi wa Oryx Tz kuhusu kuanzisha kituo cha mafuta akanipa support kubwa mno, mimi nilitakiwa kufanya sehemu ndogo tu, haikuwezekana!! Nilikutanishwa na marketing manager wa Vodacom niwe wakala mkuu wa mpesa Tanga na Morogoro, lakini nilipotoka ofisini nikaona ni upuuzi!?

Nikisema hakuna kilichoendelea ni kwamba, kilakukicha asubuhi, naacha kwenda kwenye appointment, badala yake nafunga safari kwenda coco beach kujichua. Nitakaa huko hadi waje wanawake kuogelea ndipo nijichue. Nikawa nachukia miradi yote niliyoianzisha. Nikawa nachukia masomo, nikaamua sihitaji yote hayo. Ilikuwa usiku nikilala, ifikapo alfajiri basi napatwa na ashki ya hatari sana, hapo sina tena control ya mwili, ratiba zote zinakufa, naenda kujichua.

Basi nguruwe walizaana wakawa wengi mno, zaidi ya arobaini, lakini siku moja nilichukua uamuzi nikaenda NIKAWAGAWA BURE kwa wafugaji wengine. Nikagawa na mabanda. Daladala moja niliiuza, nyingine ilikuwa ikibadilisgwa seat cover maeneo ya mzambarauni. Basiniliiacga huko bila kuifuatilia MWAKA MZIMA. Nilipokwenda siku moja, nikaluta niliyemkabidhi alikuwa sana, akawa anauza spare ili kujitibu mpaka basi lote likaisha! Yeye pia hakupona akawa amefariki. Kwenye dhahabu ilikuwa vituko, nanunua gram 300,nikifika sokoni zinakuwa gram 200. Nilikuwa hasara kubwa nisijue imetoka wapi.

Maisha yangu yakawa ya ajabu tu, kazini wakawa wanaishi nami kwa kunivumilia tu kutokana na rekodi zangu za mwanzo. Pepo lililovaa sura yangu halikutaka maendeleo yangu, katika ulimwengu wa roho lilisimama kupinga kila jambo. Mfano nikitaka elimu, lenyewe linakwenda mbele yangu (kwa sababu ndilo mimi mwenyewe katika ulimwengu wa roho), linasema hatuhitaji elimu sisi. Nikitaka fedha, linapinga katika ulimwengu wa roho kwamba hatuhitaji fedha nyingi. Zonatosha zilizopo. Nikitaka ndoa linakataa, najikuta sina hamu ya mwanamke, hata wa kusini naye tu, yaani sisimamishi kwa mwanamke, labda kama najichua. PUNYETO NI KIFUNGO CHA UMASKINI, hata ukiona mafanikio, iko siku yatapukutika yote usijue nini kimetokea. nakusihi ndugu, ACHA KABISA KUWSIKILIZA HAWA WANAOJIGAMBA KWAMBA WANAPIGA PUNYETO NA HAKUNA MADHARA. NI MAWAKALA WA NGUVU ZA GIZA HAWA, KWELI HAIMO NDANI YAO. PUNYETO NI KUKABIDHI NAFSI YAKO IENDESHWE NA NGUVU ZA GIZA, NI AGANO LITAKALOUA MAISHA YAKO NA VIZAZI VYAKO!!

Kama mnafikiri nadangaya, tafuteni thread za wauza madini, uanzishaji vituo vya mafuta nk. Mtaona michango yangu humo, sio utani!!

Morg, Khantwe, yuzazifu, Sic March, Mgonga Like, Ismoo, extra life, wiz hov, SHIMBA YA BUYENZE
 
Nyenyere nimestuka sana hakika nimeogopa mno braza haya yote unayosema yanaukweli kabisa brother ndo situations ninayopitia mm kwa sasa pasipo kujua nini chanzo Cha haya yote
 
Brother Nyenyere Leo umenipa mkasa mkubwa Sana na fundisho Sana leo brother nimekuelewa sana ulichosema Ni ukweli mtupu ndi Hali ninayopitia Mimi kwa sasa yaani maisha yangu hayaeleweki kabisa leo kicheko kesho kilio kila my plan zinafeli I don't know why nimekuwa mtu wa kugive up Sana hasa kwenye mikakati lkn leo umwnifungulia dunia nimejua nini chanzo Cha matatizo mungu akubariki snaa brother big
 
Mkuu toa solutions juu ya waliokubuhu kwenye hili jambo na wanataka kutoka huko
 
Brother Nyenyere Leo umenipa mkasa mkubwa Sana na fundisho Sana leo brother nimekuelewa sana ulichosema Ni ukweli mtupu ndi Hali ninayopitia Mimi kwa sasa yaani maisha yangu hayaeleweki kabisa leo kicheko kesho kilio kila my plan zinafeli I don't know why nimekuwa mtu wa kugive up Sana hasa kwenye mikakati lkn leo umwnifungulia dunia nimejua nini chanzo Cha matatizo mungu akubariki snaa brother big
Pole sana mkuu, wako wanaobeza lakini nimeamua kusema hii kweli yangu ili wengine wasifikie huku nilikofika mimi. Mkuu, amini kabisa, siku ukiamia kwa dhati kuacha kujichua, milango itafunguka tena. Utaanza kuona mabadiliko (positive changes) maishani mwako. Pole sana kwa mapito hayo, wanaobeza hawajui kilicho mbele yao. Jipe moyo mkuu, utaweza kutoka huko na hitorudi tena. Tutakuja kwenye mbinu iliyoninasua mimi, kwanza ilikuwa kuonyesha tatizo lilipo, yaani mzizi wa tatizo. Huwezi kushughulika na tunda wakati bado mizizi ya mti iko imara ardhini. Tuwe pamoja brother
 
Kweli Punyeto ni laana na si dhambi tu
Reference to me..
Kila nikamaliza najutia na kujiona Mtu nisiefaa kwa lolote yaan Mtupu pure mtupuu kabisa
Lakini pia kila nikifanya punyeto nikimaliza najiona kabisa nimeondosha nguvu zangu yaan nakua kama zombie zombie tu sijielewi, majuto mengi sana moyoni na hata ukiwa mbele ya watu unajihisi kama u mtupu hata kama huna aibu ila internally you feel as you are naked.
Ila ukiacha kujichua hata mwezi, kwanza kwa sisi waumini hata ukiomba kwa Mungu unaona Moyo wako una Amani na Sala yako imefika kabisa ila sasa jichue alafu uombe yaan unajiona kama unatimiza tu wajibu bila matokeo yeyote
Ukiacha kwa Mda unaona mwili unarudi safi kabisa na nguvu za mwili na rohoni unakua nazo yaan full Amani. Kujichua huwezi kua na Afya bora Daima.
Mwisho Mtu anaejichua yeyote hata mwili wake hauna Nuru,uwe na hela uwe huna hela, ule mboga saba au moja huwezi kua na nuru. Ni mtupu rohoni na mwilini hata kama utajiona una kila kitu na kweli baraka za Mungu haziwezi kua juu yako hata kama utapata kama unavyohisi ni baraka bado huwezi kudum na vikidum huwezi kua na furaha navyo yaan lazima misukosuko ikuandame.
Shukrani kaka.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Pole sana mkuu, wako wanaobeza lakini nimeamua kusema hii kweli yangu ili wengine wasifikie huku nilikofika mimi. Mkuu, amini kabisa, siku ukiamia kwa dhati kuacha kujichua, milango itafunguka tena. Utaanza kuona mabadiliko (positive changes) maishani mwako. Pole sana kwa mapito hayo, wanaobeza hawajui kilicho mbele yao. Jipe moyo mkuu, utaweza kutoka huko na hitorudi tena. Tutakuja kwenye mbinu iliyoninasua mimi, kwanza ilikuwa kuonyesha tatizo lilipo, yaani mzizi wa tatizo. Huwezi kushughulika na tunda wakati bado mizizi ya mti iko imara ardhini. Tuwe pamoja brother
Tuko pamoja brother, barikiwa sana
 
Usituletee hadithi neno lipo kwenye maandiko?,tupe ushahidi wa andiko la kwenye biblia sio mawazo yako,halafu punyeto hawafanyi wanaume tu na wanawake pia au wasichana ..unamshauri nini binti yako wa form one njia gani atumie kuondoa nyege zake?
 
Back
Top Bottom