Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Acha nyeto iendelee nitampigia nyeto Kira Noir mpaka siku nikimpata
 
Walikuwa wanafanya sema kulikuwa hakuna exposure ya taarifa kama sasa ivi, sasa mitandao inarumika sana kusambaza taarifa
Ivi nyeto imekua maarufu kwa kizazi hiki na kipindi chetu tuuu.
Ama kwa sababu sisi tupo kwenye umri wa kufanya mapenzi (sexual active) ndo maana tunaskia sana na kupata habari za nyeto na madhara yake.

Nafikilia hivi hawa wazee wetu wao hawakua wakipiga nyeto katika umri wao wa kufanya mapenzi, ukizingatia zamani maadili kwa vijana yalikua juu sana ko kupata dem ilikua kwa mbinde sana kulinganisha na sasa ambapo kuna hadi kula tunda ki masikhara. Na mademu kibao wamekua cheap.

Isije kufika wakati na sisi tukasahau hizi mambo za punyenga kwa sababu ya umri na kuchoka. watoto wetu ndo wakawa active, alafu wakawa wanasifia kizazi chetu hakikua na haya mambo ya pull.
 
Ukikosa nyama kula maharage, ukikosa dem piga nyeto, urundike shahawa za nn mwilini bhana
Katika Taoism lengo kuu la kumwaga manii ni kwaajiri ya kuzaliana pekee la sivyo inatakiwa ufanye sex lakini usipiiz na hiyo yane umgonge mkeo na usimwage kojo na wanambinu za kucontrol ejaculation hii ilianza karne hizo nanilibaki siri kwa watu wachache tu.
 
Umechokoza hoja ya maana sana, hoja ambayo ilitaka kusababisha wanaume wanitoe roho humu kwenye mada moja ya bikra, kama unakumbuka kuna kipindi bikra ilikuwa ni mada inayotrend sana humu, ulikuwa ni upepo nashukuru umepita.

Mi niliuliza msichana ambaye hajaolewa kwasababu za life style ya sasa, shule na kadhalika aishi vipi bila kufanya mapenzi ili amtunzie bikra uyo mumewe, tuchukulie mfano chuoni huwa tunakuwa na miaka atleast 19-26, huu ni umri wa mtu mzima,hivi kweli mtu wa umri huu hana nye.ge? Na kama anazo afanye nini?

Siku tukigundua kufanya mapenzi au punyeto ni takwa la kibinadamu tutapunguza mahubiri ya kinafiki, alot of people wako kwenye denial.
Kuzirepress ngono energy ni tatizo kubwa sana japo tamaduni jamii ,makanisa vimekua vikiona hii kitu ngono kama dhambi kubwa sana we check india rate ya ubakaji ilivyo juu energy hii ya ngono unavojitahidi kuizuia ndivyo inavyoleta balaa unaweza fanyaa maafa makubwa visilani visivyoisha kwamaana inatafuta kwa kutokea
 
[emoji28][emoji28] Hivi sex Ni chakula kwamba mtu hawezi ishi bila sex? Mungu muumbaji wa vyote alitengeneza system katika miili yetu ambayo inafanya kazi automatically pale mtu mume anapozidiwa na utamu wake ndio Mana kukawa na ndoto nyevu.
Kwani mkuu hujaona article zinazoelezea athari za ndoto nyevu kiroho?
 
INTERJECTION

Kuna wakuu wachache ambao wamekuja ili kupinga hiki nikianikacho hadharani. Sasa leo nawapa kipande kidogo tu wale wanaodhani wameisoma Biblia kwa kiwango cha kubisha kila wasiloliona kupitia fahamu zao. Biblia sio kitabu cha hadithi wala historia, hiki ni kitabu kinachoishi hata sasa. Naweka aya chache tu ili kuwapa nafasi kuyachunguza maandiko. Wale wote msomao Biblia kama novel mnapotea kabisa, Mungu ni Roho hivyo neno lake pia ni Roho.

Mwanzo 46:26“Nafsi zote waliokuja pamoja na Yakobo mpaka Misri waliotoka viunoni mwake, bila wake za wanawe Yakobo, nafsi zote walikuwa sitini na sita.”

Hapa Biblia inazungumzia nafsi, ambazo zometoka viunoni. Kwa nini nafsi itoke kiunoni? Kuna nguvu gani huko?

Kutoka 1

¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁵ Na nafsi zile zote zilizotoka viunoni mwa Yakobo zilikuwa ni nafsi sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.
⁶ Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile.

Nafsi zilizotoka viunoni mwa Yakobo, hao ndio wazaliwa wake, NDIO NGUVU ZAKE.

Kumbukumbu la Torati 33
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Ee Bwana, ubariki mali zake, Utakabali kazi ya mikono yake; Uwapige viuno vyao waondokao juu yake, Na wenye kumchukia, wasiinuke tena.

Tazama hapa mali zimehusianishwa na viuno, kwa vipi? Musa wakati anawabariki Waisraeli, wana wa Yakobo, alizitamka baraka zao kupitia Baba yao. Kana kwamba wako viunoni bado, tena akamwomba Mungu akisha kuzibariki mali za Yakobo, awapige viuno vyao wote wenye chuki ya mafanikio ya Yakobo. Naye Bwana akisha kuwapiga viuno kitakachotokea ni hao wabaya kushindwa kuinuka tena. Kumbuka imesemwa, WAONDOKAO JUU YAKE, YAANI WANAOMWINUKIA. Hapa si kwa habari ya mwili bali ni katika roho.

Kwamba nguvu ya dhamiri au nia ya mtu imo viunoni mwake. Humo ndimo kuna maamuzi na mipango yote ya maisha yake, huamini? Tuendelee....

1 Wafalme 18
¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴⁶ Mkono wa Bwana ulikuwa juu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio mbele ya Ahabu mpaka kuiingia Yezreeli.

Baada mkono wa Mungu kuwa juu ya Eliya, ilimbidi ajikaze VIUNO. Kwa nini? Huko ndiko Mungu alikoweka NGUVU za mwanadamu. Tuendelee...

“Ndipo Elisha akamwambia Gehazi, Jikaze viuno, ukachukue fimbo yangu mkononi mwako, ukaende zako; ukikutana na mtu, usimsalimu; na mtu akikusalimu, usimjibu; ukaweke fimbo yangu juu ya uso wa mtoto.” — 2Waf 4:29

“Nabii Elisha akamwita mmojawapo wa wana wa manabii, akamwambia, Jikaze viuno, ukachukue chupa hii ya mafuta mkononi mwako, ukaende Ramoth-Gileadi.” — 2Waf 9:1

Kwa nini wajikaze viuno? Biblia ina lugha za picha ambazo wasomao kama hadithi huishia kujigamba pasipo kuielewa kweli.

“Basi jifunge viuno kama mwanamume, Maana nitakuuliza neno, nawe niambie.” — Yob 38:3

“Jifunge viuno kama mwanamume, Mimi nitakuuliza neno, nawe niambie.” — Yob 40:7

Hapo Mungu anaongea na Ayubu, akimtaka ajikaze kiume kwa kufunga viuno vyakeili wajibizane. Hapo haliongelewi kiuno tu, ni kile kilichobebwa ndani ya kiuno. NADHANI MPAKA HAPA UMEANZA KUPATA PICHA KWA NINI MTU AKIWA HANITHI mwili unakuwa dhaifu. Kufanya mapenzi hovyo na kupiga punyeto ni kutupa nguvu zako za kukupa utajiri. Kwa nini?

Ayubu 31
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Ikiwa nimemwona mtu kuangamia kwa kukosa nguo, Au wahitaji kukosa mavazi;
²⁰ Ikiwa viuno vyake havikunibarikia, Au kama hakupata moto kwa manyoya ya kondoo zangu;
²¹ Ikiwa nimewainulia mayatima mkono, Nilipoona msaada wangu langoni;

Umemwelewa Ayubu?

Hujifunga nguvu viunonikama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.” — Met 31:17

Hapa anaongelewa mke bora kabisa. Nguvu za mikono yake hutoka katika viuno.

“Yeye asetaye vipande vipande amepanda juu mbele ya uso wako; zishike silaha, ilinde njia, vitie nguvu viuno vyako, uongeze uwezo wako sana.” — Nah 2:1

Nguvu ziko viunoni, mwanadamu ameumbiwa VIUNO, sio kiuno kimoja. Hicho kimoja ukionacho ni kasha la nje tu, limebeba viuno vyako, ndizo nguvu zako zikupazo watoto, zipandazo mikononi na miguuni na mwili wote hata ufanikiwe nk.

“Ndipo uso wa mfalme ukambadilika; fikira zake zikamfadhaisha; viungo vya viuno vyake vikalegea; magoti yake yakagongana.” — Dan 5:6

Viuno vilipolegea tu, magoti yakaisha nguvu kwa sababu nguvu za mwili wa mwanadamu ziko viunoni. Wako wanaoweza kuhoji kama habari za viuno zimenenwa katika Agano Jipya. Hizi hapa aya chache tu;

“Viuno vyenu na viwe vimefungwa, na taa zenu ziwe zinawaka; ” — Luka 12:35[/B]

Ni muhimu kujifunga viuno ili TAA za rohoni ziwake. Huko ndiko Mwenyezi Mungu aliweka nguvu ya kumiliki kwa mwanadamu. Ukiwa unafanya sex hovyo nje ya ndoa au unajichua, basi hujavifunga viuno vyako, taa yako haiwezi kuwaka kamwe.

“Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. ” — 1 Petro 1:13

Viuno vya nia, hapo ndipo tunaanza kupata uhalisia wa hivi viuno. Kwamba humo ndimo imo nia ya Mungu ndani ya mwanadamu. Katika mambo yote muwe na kiasi, kwa kuvifunga kwanza viuno. Viuno ndio hufua umeme kwa mwanadamu, mtu yeyote asikudanganye ujichue. Utakuwa unatoa nguvu zako kwa mapepo.

Sasa Mungu anasema nini kuhusu viuno?

Ayubu 40
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁵ Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama vile ng'ombe,
¹⁶ Tazama basi, nguvu zake ni katika viuno vyake, Na uwezo wake u katika mishipa ya tumbo lake.

Mungu ametupa mfano wa kiboko, tena kasema wazi NGUVU zake (strength) zimo kwenye viuno vyake. Hakuishia hapo, bali pia kaongelea uwezo, yaani (force) zake, zimo katika mishipa ya tumbo lake.

Kwa mwanadamu iko hivyo pia kwani strength zino kwenye viuno na power imo tumboni (ndiko anakokaa Roho Mtakatifu).

“Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.”
— Yeremia 17:10

Ufunuo wa Yohana 2
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
²³ nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.
[/I][/I]
 
Ufanye nini?

Wadau wengi sana wamefikia hatua ya kuhoji wafanye nini ili kutoka katika hali ya kujichua. Zingatia kwamba madhara haya yapo kwa wanawake na wanaume pia, hivyo hapa tunatazama pande zote. Leo nitaandika kifupi tu kuhusu suluhisho la kudumu la tatizo hili.

Kujichua ni tatizo la kiroho

Nilianza kufafanua kiini cha tatizo hili ili kufuta kabisa ile dhana kwamba ni tatizo la nje tu, yaani la kimwili na kujaribu kuonyesha ni kwa jinsi gani tatizo hili limejikita upande wa roho zaidi kuliko mwili. Kutambua kuwa tatizo hili ni la kiroho ni hatua muhimu mno katika kutafuta suluhu yake. Sasa basi, ili kung'oamzizi wa fitina, usitarajie kusuluhisha kwa kutazama mambo ya mwilini.

Yako mapendekezo mengi ambayo yamekuwa yakitolewa kama suluhu ya tatizo la kujichua, shidani kwamba yote hulenga suluhu ya kimwili. Mfano, acha kukaa peke yako, tafuta mpenzi, usitazame picha za ngono nk. Yote haya yanaweza kuwa suluhu ya muda mfupi tu, lakini baadaye hamu hurudi kwa nguvu mara kumi zaidi kuliko mwanzo. Haiwezekani kutatua tatizo la kiroho kwa njia za kimwili. Ushahidi mwepesi ni pale unaposikia watu wameingia kwenye ndoa lakini bado wameshindwa kuacha tabia hiyo.

Chanzo cha maamuzi

Ni muhimu sana kwa mwanadamu kuelewa jinsi mfumo wake wa maisha ulivyokuwa designed. Mwanadamu kiasili ameumbwa kujiongoza ama kufanya maamuzi kutokea ndani (rohoni) na sio nje (mwilini). Tuone maana ya kufanya maamuzi kiroho na kimwili:

Maamuzi ya mwilini vs rohoni

Mungu alipomuumba mwanadamu alimpulizia pumzi ya uhai, akawa nafsi hai. Hiyo ndio roho yake mwenyewe, ambayo ilikuwa na mfano wake. Kwa hiyo lilikuwa kusudi la Mungu mwanadamu aitawale duniani kwa kutumia
kanuni zake, kwa kuongozwa na roho. Ndivyo walivyoishi Adam na Hawa. Sasa angalia kisa hiki cha Adamu na dhambi ya kwanza;

Mwanzo 3
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
⁵ kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.

>>> Tujiulize kwanza, kwani wakati wa kuumbwa kwao, Adam na Hawa walikuwa vipofu? Iweje nyoka aseme WATAFUMBULIWA MACHO? Kama waliumbwa wakiwa na macho, basi kuna macho tofauti na haya ya mwili.

Tena anashawishi kuwa watakuwa kama Mungu, kwa sababu watajua MEMA NA MABAYA. Kumbe kujua mema na mabaya ni kuwa kama Mungu, kwavipi? Mungu ndiye mwenye definition ya mambo mema na mabaya. Mwanadamu alipaswa kufuata kile tu anachoambiwa na Mungu, kupitia roho yake, kwa sababu Mungu ni Roho, hivi huwasiliana katika roho. Kwa hiyo yote ambayo aliagiza Mungu ndio MEMA, nje ya hapo ni mabaya. Kama wewe ni wa Mungu basi yakupasa kuyajua mema tu, kwa kuongozwa na sauti yake, hiyo ndio katiba aliyopewa mwanadamu. Hata Yesu Kristo aliishi KWA MFUMO HUO:

(Yoh 8
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³⁸ Niliyoyaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo.
³⁹ Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ndiye Ibrahimu! Yesu akawaambia, Kama mngekuwa watoto wa Ibrahimu, mngezitenda kazi zake Ibrahimu.

⁴³ Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu.

⁴⁷ Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.)

Kristo hakuwahi kusema jambo isipokuwa amemsikia Mungu akisema, yaani ile adili yake ya kibinadamu aliyokuwa nayo hapa duniani iliishi kwa kusikiliza sauti ya Roho wa Mungu. Hakuongozwa kwa matukio ya nje ya mwili bali kile Roho alichomshuhudia ndicho alichokifanya.

Ndipo akawaambia Mafarisayo kuwa hawawezi kulisikia neno lake, sababu wao wanasikiliza kwa masikio ya mwili, wakati neno lake ni ROHO. Ndipo akasisitiza, aliye wa Mungu (aliye wa rohoni - Mungu ni Roho) ndiye pekee awezaye kuisikia sauti yake kwa sababu ni ya jinsi roho. Huo ndio mfumo wa maisha ya Kristo hapa duniani. Tuendelee....

⁶ Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.

>>> Kwanza kabisa alimtilia shaka Mungu, kwamba alichowaambia ni uongo!! Kisha akasema katika macho ya awali yaliyokuwa ACTIVE toka kuumbwa kwake. Akatazama kwa macho ya nyama, AKAYAFUMBUA YAKAONA UPANDE WA PILI WA MAISHA. Ndipo akagundua kumbe lile tunda linavutia machoni. Jiulize kwa nini tangu mwanzo tunda lile halikuwahi kumvutia macho ingawa lilikuwapo bustanini? Macho ya nyama yalifungwaa kwa sababu waliongozwa na sauti ya ndani sio kile wakionacho.

⁷ Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo.

Sasa tazama, iweje walipofumbuliwa macho ghafla wakagundua wako uchi? Ni kwa sababu tangu kuumbwa kwao hawakuwahi kutazama duniani kwa macho ya nyama, kwamba walikuwa wamezunguiwa na utukufu wa Mungu, hilo ndilo lilikuwa vazi lao. Nitakupa mfano mdogo tu ambao KILA MTU huvaa vazi hilo:

ni mara ngapi umekuwa ukiota ndoto umevaa nguo wakati ULILALA UKIWA UCHI? Unadhani nguo hizo hutoka wapi? Kisha ukiamka, kumbe uko uchi wa nyama ndani ya shuka!!

Ndivyo ilivyokuwa kwa Adam na Hawa. Walipoteza vazi la haki ya Mungu ndipo macho yakafunguka, wakaanza kuitazama duniani kwa nje. Dhambi ilifukuza ya Mungu iliyokuwa vazi lao:

(Ayubu 29 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Nalijivika haki, ikanifunika, Adili yangu ilikuwa kama joho na kilemba.
¹⁵ Nalikuwa macho kwa kipofu, Nalikuwa miguu kwa aliyechechemea.

*********

Zaburi 132
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako.
Makuhani wako na wavikwe haki), Watauwa wako na washangilie.)

Ziko aya nyingi mno!! Hilo ndilo lilikuwa vazi la Adam na Hawa bustanini. Tuendelee.....

⁸ Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.
⁹ Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
¹⁰ Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.
¹¹ Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?

Nadhani umepata picha, nini kilichoendelea bustanini. Baada ya kula tunda, haki ikapotea, wakajiona wako uchi, kwamba tayari wameamsha macho ya mwilini, akili ikaanza KUFANYA REASONING kwa kutokana na kile wanachokiona, ndivyo ilivyo hata leo!! Sauti ya Mungu ikafifia ndani ya mwanadamu, sauti ya nje ikatawala (ndio vitu vituvutiavyo tuvionapo). Sauti kama starehe, tafiti mbalimbali, nk macho yakapata nguvu, ya kuona yanavutia na kuamua kwamba jambo fulani ni jema na lafaa kuliwa, kisha huipelekea nafsi nayo hula. Mungu akapoteza nafasi yake ndani ya mwanadamu, NDIPO MWANADAMU ALIPOANZA KUFANYA MAAMUZI TOKA NJE, SIO ROHONI. Ndipo tukapata vitu kama LOGIC, kwamba tuaamue wenyewe kipi ni chema na kipi ni kibaya, katika hilo hatuhitaji tena kuwa na Mungu atuamulie. Yesu Kristo ingawa alikuwa mwanadamu kamili kama sisi, hakuongozwa na logic yake mwenyewe kama mwanadamu bali ALISIKILIZA LOGIC YA MUNGU toka ndani kisha akaaply nje. Ndio maana alikuwa na matokeo positive kwa kila jambo!!

Sasa maamuzi ya mwilini ni kama uzinzi, ulevi, kupiga punyeto, kuwadhuru wengine nk. Katika hayo hakuna Roho wa Mungu. New agers wamekuja na siri hii lakini wakaitumia kwa jinsi ya giza, ndio tunapata vitabu kama the power of positive thinking, the power of subconscious mind nk. Ndipo huku tunapata mambo ya astral projection, levitation nk. Hayo yote ni mbinu za shetani kuwaingiza wanadamu kwenye nguvu za giza. HIZO NDIZO NGUVU ZA GIZA ZENYEWE.

Badili chanzo chako cha maamuzi

Itaendelea..............

Morg, Nature,
Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, Bubolwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne[/i][/B][/B], gilldenu, Bilionea Asigwa, online24, stephot
 
Safi sana ...uzi unazidi kuwa mtamu...Japo naona kama kuna mambo umeyaruka sana, hasa ushuhuda wako na jinsi ulivyo nasuka..nadhani critics wametuharibia mtiririko.
 
Big up saan mkuu ila bado pale kwenye ushuhuda wako muendelezo unahitajika hapa Nyenyere
 
Uzi umenifunza mengi sana, nasubiri muendelezo.
 
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?

Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho

Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu:

Roho
Mwili
Nafsi

Roho ndio inayoamua kama iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje. Baadaye nitarlezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.

Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha KUKAMILIKA kwa Muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana. Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana. Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite sex wa kumkamilisha. Nimekupa hint ujue mwanamume kumtamani mwanamume mwenzake ni tatizo la kiroho, kadhalika mwanamke pia. Nitafafanua vizuri mbeleni..

Punyeto kama Ilivyo kwa ngono haiwezi kamwe kukamilika bila kuwa na mwenza. Tendo hili linahusisha kuamsha hamu kwa kuvuta hisia (meditative stimulation) mpaka kufikia sexual experience. Ni rahisi mtu kujidhani yu peke yake, lakini ukweli ni kuwa kuna mshirika wa pili anayefanya uwezekano wa kumaliza (ejaculation/climax). Hakuna mtu anayeamua tu, ngoja nipige punyeto. Huanza kwanza hamu ambayo huuteka ufahamu na ghafla mtu hujisikia hawezi tena kuvumilia. Sasa hiyo hamu ni NGUVU YA KIROHO inayoingia mwilini, ni ulimwengu wa roho, ni pepo wachafu. Pepo hawa wabaya ndio sex partners wa wapiga punyeto!! Wao wanashughulika na nafsi ya mtu kwa kuanza na kuiteka roho, kisha wakaungana na mtu huyu katika nafsi kuwa mwili mmoja, ndipo anaanza kujichua kwa kutumia hisia tu mpaka akakojoa.

Ni kwamba, viumbe vyote vya kiroho havina nguvu ya kutenda kwenye huu ulimwengu wetu. Upo ulimwengu unaoonekana kwa macho ya nyama, ndio huu tuliopo, umeumbwa kwa ajili yetu sisi viumbe wenye mwili. Pia upo ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama, uliumbwa kwa ajili ya roho. Sasa ili hao viumbe wa kiroho waweze kutenda kwenye huu ulimwengu ni lazima wawe na nguvu ya miili yetu. Nje ya hapo ni bure kwao! Hapo mwanzo walikuwa wakitumia miili ya wanyama (kisa cha Hawa bustanini), lakini sasa wanatumia nguvu za wanadamu wenyewe. Namna mojawapo yenye kutoa NGUVU KUBWA ZAIDI ni kupiga punyeto na kujichua.

Nguvu ya uumbaji imo katika ngono

Zile baraka walizopewa Adam na Hawa "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale... " ziliwekwa ndani ya nguvu ya ngono. Kwa lugha nyingine kitendo cha sex kinaachilia nguvu ya uumbaji wa kila kitu duniani. Wazungu wanasema, sexual intercourse opens portals to other dimensions. Ndio maana mke na mume wakiwa na makubaliano katika Roho, watafanya mambo makubwa katika maisha.

Sasa mpiga punyeto naye huachilia nguvu hiyo ya uumbaji, isipokuwa yeye huitoa kwa mapepo. Kumbuka nguvu hii ni sura yake yeye mwenyewe, nafsi yake halisi akawagawia mapepo. Hii ndio nguvu waitakayo ili kuweza kutekeleza mambo yao hapa duniani. Ni nguvu hii wanaitumia kama mlango wa kushuka hapa duniani na kuwavuruga wanadamu. Jiulize, katika roho hakuna pepo jije wala dume. Mapepo ni roho wachafu tu, hawazai wala kuzaliana, imekuwaje leo tunapata JINI MAHABA JIKE NA DUME? Mwanamume anapopiga punyeto, huachia nguvu ambayo ni yeye mwanamume, hivyo pepo lililopo huichukua na kuivaa nguvu hiyo hata kuwa na hali ya kiume. Ndipo huanza kuwaingilia wanawake kwa kutumia nguvu hiyo, huku likimwrka mateka mpiga punyeto huyu aendelee kulizalishia nguvu hiyo. Mwanamke anayejichua hutoa nguvu ya kike na hivyo kuligeuza pepo kuwa jike.

Gereza la kiroho

Pepo huichukua na kuiweka gerezani roho ya mtu huyu na hapo huitiisha nafsi. Kwa hiyo hakuna jambo atafanya linafanikiwa maishani mwake isipokuwa mpaka mpenzi wake huyu wa kiroho akubali. Ndipo huja hadithi za majini yanayoharibu mafanikio.

Kuhani wa Kanisa la shetani, Antonio Lavey, aliwahi kusema, kafara kubwa kabisa ya siri, wakati wa ibada ya matambiko, ni kumwaga shahawa, ni zaidi ya kumchinja mtu na kumwaga damu yake.!! Kumbe kupiga punyeto ni kujitoa kama kafara kwa mapepo na hivyo kuyapa nguvu zako!!

Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa kama ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite sex inaanza kufifia.

Shahawa sio mkojo, ni DNA yako mwenyewe. Nguvu za kumiliki zimo ndani yake, sex energy, nguvu ya kuzalisha mali nk. Hizi huitwa dominion power. Ni nguvu hizi zinazochukuliwa na mapepo.

Next time tutakwenda deep... [/B]

Morg, Nature,
Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, Bubolwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne[/i][/B][/B]

Sijasoma yote ila kwani wewe unataka semaje...naona unaingilia ofisi za watu
 
We nani alikwambia
 
This is costly!! Unasex na spiritual beings, wewe unaona unajishika na kusikia utamu, kumbe wanakuassist kufikia kukojoa, kisha wanavuna nguvu zako na kukufanya mtumwa. Nitatoa ushuhuda wangu mwenyewe

Hayo ni mawazo yako ....spiritual beings wa wapi we nani alikwambia....naji assist mwenyewe
 
Back
Top Bottom