Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi nyeto imekua maarufu kwa kizazi hiki na kipindi chetu tuuu.
Ama kwa sababu sisi tupo kwenye umri wa kufanya mapenzi (sexual active) ndo maana tunaskia sana na kupata habari za nyeto na madhara yake.
Nafikilia hivi hawa wazee wetu wao hawakua wakipiga nyeto katika umri wao wa kufanya mapenzi, ukizingatia zamani maadili kwa vijana yalikua juu sana ko kupata dem ilikua kwa mbinde sana kulinganisha na sasa ambapo kuna hadi kula tunda ki masikhara. Na mademu kibao wamekua cheap.
Isije kufika wakati na sisi tukasahau hizi mambo za punyenga kwa sababu ya umri na kuchoka. watoto wetu ndo wakawa active, alafu wakawa wanasifia kizazi chetu hakikua na haya mambo ya pull.
Hata kufanya sex na mtu usiempenda nayo ni punyetoKumwaga nje nayo ni nyeto?
Katika Taoism lengo kuu la kumwaga manii ni kwaajiri ya kuzaliana pekee la sivyo inatakiwa ufanye sex lakini usipiiz na hiyo yane umgonge mkeo na usimwage kojo na wanambinu za kucontrol ejaculation hii ilianza karne hizo nanilibaki siri kwa watu wachache tu.Ukikosa nyama kula maharage, ukikosa dem piga nyeto, urundike shahawa za nn mwilini bhana
Kuzirepress ngono energy ni tatizo kubwa sana japo tamaduni jamii ,makanisa vimekua vikiona hii kitu ngono kama dhambi kubwa sana we check india rate ya ubakaji ilivyo juu energy hii ya ngono unavojitahidi kuizuia ndivyo inavyoleta balaa unaweza fanyaa maafa makubwa visilani visivyoisha kwamaana inatafuta kwa kutokeaUmechokoza hoja ya maana sana, hoja ambayo ilitaka kusababisha wanaume wanitoe roho humu kwenye mada moja ya bikra, kama unakumbuka kuna kipindi bikra ilikuwa ni mada inayotrend sana humu, ulikuwa ni upepo nashukuru umepita.
Mi niliuliza msichana ambaye hajaolewa kwasababu za life style ya sasa, shule na kadhalika aishi vipi bila kufanya mapenzi ili amtunzie bikra uyo mumewe, tuchukulie mfano chuoni huwa tunakuwa na miaka atleast 19-26, huu ni umri wa mtu mzima,hivi kweli mtu wa umri huu hana nye.ge? Na kama anazo afanye nini?
Siku tukigundua kufanya mapenzi au punyeto ni takwa la kibinadamu tutapunguza mahubiri ya kinafiki, alot of people wako kwenye denial.
Kwani mkuu hujaona article zinazoelezea athari za ndoto nyevu kiroho?[emoji28][emoji28] Hivi sex Ni chakula kwamba mtu hawezi ishi bila sex? Mungu muumbaji wa vyote alitengeneza system katika miili yetu ambayo inafanya kazi automatically pale mtu mume anapozidiwa na utamu wake ndio Mana kukawa na ndoto nyevu.
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?
Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho
Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu:
Roho
Mwili
Nafsi
Roho ndio inayoamua kama iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje. Baadaye nitarlezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.
Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha KUKAMILIKA kwa Muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana. Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana. Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite sex wa kumkamilisha. Nimekupa hint ujue mwanamume kumtamani mwanamume mwenzake ni tatizo la kiroho, kadhalika mwanamke pia. Nitafafanua vizuri mbeleni..
Punyeto kama Ilivyo kwa ngono haiwezi kamwe kukamilika bila kuwa na mwenza. Tendo hili linahusisha kuamsha hamu kwa kuvuta hisia (meditative stimulation) mpaka kufikia sexual experience. Ni rahisi mtu kujidhani yu peke yake, lakini ukweli ni kuwa kuna mshirika wa pili anayefanya uwezekano wa kumaliza (ejaculation/climax). Hakuna mtu anayeamua tu, ngoja nipige punyeto. Huanza kwanza hamu ambayo huuteka ufahamu na ghafla mtu hujisikia hawezi tena kuvumilia. Sasa hiyo hamu ni NGUVU YA KIROHO inayoingia mwilini, ni ulimwengu wa roho, ni pepo wachafu. Pepo hawa wabaya ndio sex partners wa wapiga punyeto!! Wao wanashughulika na nafsi ya mtu kwa kuanza na kuiteka roho, kisha wakaungana na mtu huyu katika nafsi kuwa mwili mmoja, ndipo anaanza kujichua kwa kutumia hisia tu mpaka akakojoa.
Ni kwamba, viumbe vyote vya kiroho havina nguvu ya kutenda kwenye huu ulimwengu wetu. Upo ulimwengu unaoonekana kwa macho ya nyama, ndio huu tuliopo, umeumbwa kwa ajili yetu sisi viumbe wenye mwili. Pia upo ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama, uliumbwa kwa ajili ya roho. Sasa ili hao viumbe wa kiroho waweze kutenda kwenye huu ulimwengu ni lazima wawe na nguvu ya miili yetu. Nje ya hapo ni bure kwao! Hapo mwanzo walikuwa wakitumia miili ya wanyama (kisa cha Hawa bustanini), lakini sasa wanatumia nguvu za wanadamu wenyewe. Namna mojawapo yenye kutoa NGUVU KUBWA ZAIDI ni kupiga punyeto na kujichua.
Nguvu ya uumbaji imo katika ngono
Zile baraka walizopewa Adam na Hawa "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale... " ziliwekwa ndani ya nguvu ya ngono. Kwa lugha nyingine kitendo cha sex kinaachilia nguvu ya uumbaji wa kila kitu duniani. Wazungu wanasema, sexual intercourse opens portals to other dimensions. Ndio maana mke na mume wakiwa na makubaliano katika Roho, watafanya mambo makubwa katika maisha.
Sasa mpiga punyeto naye huachilia nguvu hiyo ya uumbaji, isipokuwa yeye huitoa kwa mapepo. Kumbuka nguvu hii ni sura yake yeye mwenyewe, nafsi yake halisi akawagawia mapepo. Hii ndio nguvu waitakayo ili kuweza kutekeleza mambo yao hapa duniani. Ni nguvu hii wanaitumia kama mlango wa kushuka hapa duniani na kuwavuruga wanadamu. Jiulize, katika roho hakuna pepo jije wala dume. Mapepo ni roho wachafu tu, hawazai wala kuzaliana, imekuwaje leo tunapata JINI MAHABA JIKE NA DUME? Mwanamume anapopiga punyeto, huachia nguvu ambayo ni yeye mwanamume, hivyo pepo lililopo huichukua na kuivaa nguvu hiyo hata kuwa na hali ya kiume. Ndipo huanza kuwaingilia wanawake kwa kutumia nguvu hiyo, huku likimwrka mateka mpiga punyeto huyu aendelee kulizalishia nguvu hiyo. Mwanamke anayejichua hutoa nguvu ya kike na hivyo kuligeuza pepo kuwa jike.
Gereza la kiroho
Pepo huichukua na kuiweka gerezani roho ya mtu huyu na hapo huitiisha nafsi. Kwa hiyo hakuna jambo atafanya linafanikiwa maishani mwake isipokuwa mpaka mpenzi wake huyu wa kiroho akubali. Ndipo huja hadithi za majini yanayoharibu mafanikio.
Kuhani wa Kanisa la shetani, Antonio Lavey, aliwahi kusema, kafara kubwa kabisa ya siri, wakati wa ibada ya matambiko, ni kumwaga shahawa, ni zaidi ya kumchinja mtu na kumwaga damu yake.!! Kumbe kupiga punyeto ni kujitoa kama kafara kwa mapepo na hivyo kuyapa nguvu zako!!
Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa kama ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite sex inaanza kufifia.
Shahawa sio mkojo, ni DNA yako mwenyewe. Nguvu za kumiliki zimo ndani yake, sex energy, nguvu ya kuzalisha mali nk. Hizi huitwa dominion power. Ni nguvu hizi zinazochukuliwa na mapepo.
Next time tutakwenda deep... [/B]
Morg, Nature,
Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, Bubolwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne[/i][/B][/B]

This is costly!! Unasex na spiritual beings, wewe unaona unajishika na kusikia utamu, kumbe wanakuassist kufikia kukojoa, kisha wanavuna nguvu zako na kukufanya mtumwa. Nitatoa ushuhuda wangu mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjuba umegoma kuongopewaHayo ni mawazo yako ....spiritual beings wa wapi we nani alikwambia....naji assist mwenyewe