KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Nguvu ya Soda.... Ina uhusiano gani na hiki ulichoandika?? Huna kazi ya kufanya?Lazima nikiri bila unafiki kuwa hakika Magufuli katuangusha sana wanaccm tumebaki kutumia nguvu kubwa katika propaganda na matumizi ya nguvu.
Awamu ya JK ilikuwa na mabovu mengi, lakini yalikuwepo mazuri ambayo ndiyo ilipaswa kuyaendeleza kwa nguvu, lakini tuliyapuuza yote na kumfanya Magu kuwa ni mteule wa Mungu huku tukidanganya hili au lile ili kumpamba.
Kilemba cha ukoka hakidumu maana kinanyauka, sasa tumebaki kutumia nguvu kubwa kwa wapinzani ili kuficha udhaifu wake na kulazimisha wananchi wamuelewe positively.
Ukweli lazima tukubali kuwa kwa hali ya sasa ikiundwa Tumehuru ya uchaguzi na wenzetu wakiweka mgombea imara kama yule tuliyetaka kumtoa kwenye mzunguko na amekimbilia nje basi kupata 30% ya kura za urais tutakuwa tumejitahidi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio nguvu ya soda yenyewe hiyo. Tumefika ukingoni hivyo kupigana na ukuta ni kupoteza nguvu zaidiNguvu ya Soda.... Ina uhusiano gani na hiki ulichoandika?? Huna kazi ya kufanya?
SGR waliishiwa hela kabla haijafika Moro, mkandarasi alishaondoka site na vifaa vyake!Hata SGR walisema hivyo hivyo. Leo wanaongelea tarehe ya kufunguliwa
Utachangiaje kwenye hypothetical argument?Mataga wanaupita huu uzi utadhani hawauoni🤣🤣🤣