UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Mkuu, tuma hii taarifa mara moja kwa kamanda msaliti awaambie mabwana wakubwa mabeberu waje kutusaidia.
Huu ndio upumbavu unaouonyesha kuwa unakusumbua.Kutotangaza kufunguliwa kwa viwanda kwa muda huu wa karibuni hakumanishi hakuna viwanda vinavyofunguliwa! Nilikushauri, kabla hujakurupuka na mihemko ya kuanza kukosoa, uende kwanza kwenye kitongo husika ktk wizara husika upate 'updates' kuhusu viwanda vilivyofunguliwa hivi karibuni bila ya kupigiwa mbiu, na upate 'trend' ya ufunguzi wa viwanda tangu awamu hii iingie madarakani!
Mada iliyopo hapa haihusiani na haya unayotaka tuyajadili.Mwisho…awamu ya nne imefanya mambo mengi sana ambayo yamesababisha kumpaisha sana Magu kwa kuwa yeye anafanya kinyume! Ubwetefu, rushwa, ufisadi, madawa ya kulevya, matumizi mabaya ya madaraka na mali ya umma, n.k. ndivyo viliipamba sana awamu ya nne. Awamu ya 4 iliingia madarakani kukiwa na fedha ya kutosha hazina na BK, lakini mchwa uliitafuna na kuacha ukata hazina na BK, na hivyo awamu ya tano kuanza 'from ground zero!
Sasa kwa watu kama ww, napata shida juu ya uwezo wa kutunza kumbukumbu ya wapi tulipotolewa na awamu ya tano na wapi tulipo na tuendako!
Unataka tujadiri kwa mtazamo finyu kama wako eeh…Huwezi jadiri huu uzi bila kuwa uelewa mpana wa mambo…sasa watu kama ninyi mnaojadiri kwa mihemko ya chuki mnapenda sana kupuuza ukweli wa hali halisi ya wapi tulipotoka na tupo wapi na tunakwenda wapi…too sad ndio mnaziba nafasi nyingi ktk jamii forum kwa kujidai eti nanyi ni 'think tanks' upuuzi kabisa!Mada iliyopo hapa haihusiani na haya unayotaka tuyajadili.
Anzisha mada nyingine kama unataka mlinganisho wa hizo awamu unazozungumzia.
Hii ni dalili ya kuwa na dosari katika uchambuaji wako wa taarifa unayohusika nayo.
Kwa bahati mbaya sana, watu kama wewe ndio mliojaza nafasi mhimu sana ndani ya serikali, na matokeo yake ndiyo haya yanayoonekana sasa.
Hivi ww ufaamu wako ni finyu kiasi hicho! Nenda kwenye vitendo husika vya kutoa taarifa ktk wizara husika utapata kama unahitaji! Hizi kama serikali itatangaza yote yanayofanyika nchi nzima ya Tz kwa ukubwa wake, unafikiri hata masaa 24/7/ miezi 12 itatosha, jamani hebu tutumie akili japo kiduchu tu!Huu ndio upumbavu unaouonyesha kuwa unakusumbua.
Hebu soma hayo uliyoandika hapa.
Wajibu wa serikali ni upi, kama sio kutoa taarifa kwa wananchi wajue kila juhudi zinazofanywa na serikali yao!
Unataka kila anayehitaji taarifa aende wizarani hata katika mambo ambayo yanatakiwa yawe wazi kwa kila anayetaka kujua?
Ndio maana mnatunga masheria ya kiajabuajabu kuzuia watu wasipate taarifa?
Bandiko lako lile la mwanzo lilikuwa la hovyo, sasa unaendeleza upuuzi ule ule, halafu unajifanya hauko serikalini?
Bure kabisa.
Ngoja niachane na kilaza kama wewe. Huna unachoongeza cha maana katika mjadala huu.Unataka tujadiri kwa mtazamo finyu kama wako eeh…Huwezi jadiri huu uzi bila kuwa uelewa mpana wa mambo…sasa watu kama ninyi mnaojadiri kwa mihemko ya chuki mnapenda sana kupuuza ukweli wa hali halisi ya wapi tulipotoka na tupo wapi na tunakwenda wapi…too sad ndio mnaziba nafasi nyingi ktk jamii forum kwa kujidai eti nanyi ni 'think tanks' upuuzi kabisa!
Baki na ujinga wako.Hivi ww ufaamu wako ni finyu kiasi hicho! Nenda kwenye vitendo husika vya kutoa taarifa ktk wizara husika utapata kama unahitaji! Hizi kama serikali itatangaza yote yanayofanyika nchi nzima ya Tz kwa ukubwa wake, unafikiri hata masaa 24/7/ miezi 12 itatosha, jamani hebu tutumie akili japo kiduchu tu!
Serikali haijaacha kutoa taarifa kwa mtu yeyote anayetaka kama atatembelea kitengo husika. Sasa ww kabla ya kufuata hizo taarifa unakurupuka ni mihemko ya chuki juu ya Magu na awamu hii na kuchomoka na uzi wa kipuuzi kama huu…shame on you!
Nilijua tu mwishowe kwa ufinyu wa ufahamu wako hayo maneno ndio yangekuwa hitimisho lako…very predictable!Ngoja niachane na kilaza kama wewe. Huna unachoongeza cha maana katika mjadala huu.
haya ni maneno ya wote wenye ufahamu na mtazamo finyu na hasi kama ww! Niliyatarajia tangu nilipojaribu kukusaidia kupanua kijiufahamu chako!Baki na ujinga wako.
HahahahahahahaUmemchambua vizuri sana ! lingine lililomshinda ni la kilimo na soko la bidhaa za kilimo , kama korosho , mbaazi nk , ameshindwa na amesalimu amri hadi amekata tamaa na kuamua kwenda kulala kwenye Mawe .
Ikulu ni Mzigo - Nyerere
Sina mda wa kupoteza na kilaza.haya ni maneno ya wote wenye ufahamu na mtazamo finyu na hasi kama ww! Niliyatarajia tangu nilipojaribu kukusaidia kupanua kijiufahamu chako!
Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Ebu weka udhibitisho wa mbowe akiongea huo uongoUmrnena vyema , kumbe kazi haijakamilika lakini IPO.
Mbowe alituambia bungeni habari ya mradi hewa wa SGR, kumbe alidanganya. Asante kwa kusaidi kutujuza habari hii.
Ni bora sasa tukaumalizie safari zianze
Kwa hakika hayo ni mafanikio makubwa kwa CCM.Tumefanikiwa kununua wapinzani na kuwarudisha Lowasa na MR. Zeroo
barabara ya mikumi - kilombero km 35 zilijengwa mwaka 1992 nakumbuka project ilichukua miezi 7. Kilombero - ifakara km 70 miaka mitatu sasa hakuna kinachofaka wanazunguka zunguka tuRaisi wa miundo mbinu aliwaahidi watu wa wilaya ya Kilombero kuwa atawajengea barabara kutoka Ruaha hadi Ifakara kwa kiwango cha lami. Haikupita miezi kadhaa kazi zikaanza kwa mbwembwe fasta fasta, kumbe nguvu za soda tu mpaka sasa unaelekea mwaka wa tatu lakini barabara haijakamilika na sehemu zilizochongwa zimeshaharibika.
Sent using Jamii Forums mobile app