Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

SGR waliishiwa hela kabla haijafika moro,mkandarasi alishaondoka site na vifaa vyake!
Umrnena vyema , kumbe kazi haijakamilika lakini IPO.
Mbowe alituambia bungeni habari ya mradi hewa wa SGR, kumbe alidanganya. Asante kwa kusaidi kutujuza habari hii.
Ni bora sasa tukaumalizie safari zianze
 
Kalamu1,


Magufuli Kama ameshindwa kuelewa mabadiliko tuliyoyataka watanzania unategemea nini hapa, walimu wamenifundisha ila pia haiondoi ukweli kuwa kuwa mwalimu ni matokeo ya kufeli
 
Ajira mbona kaachia,hujaona za madaktari 1000 na baada ya hapo walimu wanaajiri.
www.tamisemi.go.tz
www.moh.go.tz
 
Ajira mbona kaachia,hujaona za madaktari 1000 na baada ya hapo walimu wanaajiri.
www.tamisemi.go.tz
www.moh.go.tz
Magufuli wakati akihutubia kwenye mkutano wa mat alikili kuwa Kuna madaktari 5000 mtaani afu zinatolewa ajira 1000 nanchi inauhaba mkubwa wa madaktari huoni Kama Kuna tatizo??? acha kuwa mpambe kwa kila jambo
 
Hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Waziri wa viwanda wa sasa ni nani?
 
Mwenye picha ya yale malori yakikaguliwa kwa ajali ya kwenda kusini please aitupie
Lakini ikawaje hao wajeda wakaondoka huko kimya kimya au bado wapo huko?
Dah kiki hizi za one man show na kujimwambafai muda kitu kizuri kuamua
 
Kalamu1,

Mwimbaji wa mapambio ya Viwanda Charles Mwijage si tayari alishushwa njiani katika ile safari yenu ambayo Dereva wetu alituambiwa tuwe watulivu maana yeye ndio anayejua anapotupeleka.
Awamu iliyobadili viongozi kwa wingi naamini ni hii ya 5 na hilo ndo linathibitisha kuwa hata yeye alipaswa kubadilishwa.
 
Jambo lo lote likianza kwa mikogo tambua kabisa halitofika mbali
Hata team sifia washachoka kusifia
 
Busara zilikuwa ziaze ktk kufufua mazo ya biashara kwanza ili kuvutia uwekezaji ktk viwanda, Pia tuanze kufufua viwanda vyote alivyoanzisha Mwalimu. Badala yake tukaanza mkakati wa kujenga viwanda vipya bila dira ya aina yoyote! Tumeishia kuhesabu vyerehani na machine za kufyatulia matofali kama viwanda! Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…