deecarter
Member
- Aug 24, 2019
- 23
- 64
Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano
1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo
2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania
3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi
4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya
5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia
6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko
7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote
8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania
Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi