NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

deecarter

Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
23
Reaction score
64
Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano

1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo

2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania

3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi

4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya

5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia

6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko

7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote

8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania

Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi
 
Naomba nikusahihishe kidogo,
Vifaranga vilikua vya Mtanzania kwa sababu alishavinunua kenya sema alipokosea ni kupishana na sheria za nchi iliyozuia kusafirisha wanyama jamii ya ndege kutoka nchi nyingine. [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Wanakwama wapi lakin hawa lakin c wana uchumi mkubwa
Uchumi mkubwa upo wapi?, hayo ni makelele ya wakenya hujayazoea?. Hivi mtu mwenye uchumi mkubwa anashindwaje kufanya miradi yake bila kukopa?, na hiyo mikopo inamshinda kulipa hadi akakope tena alipe mkopo wa nyuma?. Achana na wakenya aisee, hao ni watu wa kujisifu na kujionyesha.
 
Na bado ngoja Sera ya kilimo iboreshwe tutawale EA kwa kuilisha si unajua tena adui yako muombee njaa, Pia TZ hatuwezi kuchukua misimu ya Kenya kwasababu ufundi woote wa KISWAHILI DUNIANI UNAANZIA TANZANIA sasa kenya hawana msimu watakaouanzisha utakaokua na nguvu TZ .TZ na kiswahili sawa na UK na English.
 
4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya
Itakuwa umetoka kwa ngariba kutiwa sunna asubuhi ya leo wewe deecarter
Wanasiasa wenu hatuwajui ilhali nyie mnajua hadi mawaziri wa Kenya. Mna makamu wa rais kweli? Mke na watoto wa magufuli hawajulikani, pengine wanamuziki wenu pekee hususan WCB members
 
Hata 'jambo bwana' hakuna matata n.K mmeeneza duniani
Dunia iki-google kuhusu Tanzania ni stori za albino na one of the poorest countries
 
Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza Tanzania
Twende na mifano

1.Kenya kubadili lugha yake ya taifa na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa ambacho kiswahili ni lugha inayotokana na mchanganyiko wa makabila ya kibongo

2.Tukio la majuzi hapo kenya Jaguar kusema atawafurusha raia wote wasio wakenya kutoka kenya kwanini kenya ilijibu kwa Tanzania na sio kwa nchi zote ambazo raia wake na wao wanaishi kenya na kwanini jaguar baadae alikana kuwa hakuwalenga watanzania na wakati ile clip amewataja watanzania

3.Tukio la Tanzania kuchoma vifaranga vya Kenya na hatujawahi kusikia kenya ikilipiza au kutoa kauli yoyote ya kukemea au kuitaka Tanzania iombe radhi

4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya

5.Kwanini bila sauti ya Tanzania kwenye EA mambo hayaendi sawa wakati ipo kenya yenye uchumi mkubwa inayoweza kucover kila kitu kwenye jumuia

6.kwanini trending za Tanzania zinavuma mpaka kenya na pote zinakuwa No1 lakini trending za kenya zinaishia huko huko

7.Kwanini mkenya hawezi kuyataja mambo mazuri ya kenya bila kutaja tanzania kwa comparison yoyote

8.Kwanini misemo mingi ya mtaani inayotokea tanzania utaikuta na kenya wameisha dakia ila misemo ya kenya huwezi kuikuta tanzania

Dah nisiwachoshe niishie hapo ila kunamengi mtajazilizia ikiwemo bomba la mafuta la uganda kuhama njia kutoka nchi tajiri na mengine mengi au ndo mkataba waliwekeana viongozi wetu wa zamani akina nyerere au ndugu zetu wanakwama wapi

LDC Bongolala with their Delusions of Grandeur
 
4.kwanini wakenya wengi wanapenda kujua nini kinaendelea Tanzania kuliko watanzania wanao fuatilia habari za kenya
Itakuwa umetoka kwa ngariba kutiwa sunna asubuhi ya leo wewe deecarter
Wanasiasa wenu hatuwajui ilhali nyie mnajua hadi mawaziri wa Kenya. Mna makamu wa rais kweli? Mke na watoto wa magufuli hawajulikani, pengine wanamuziki wenu pekee hususan WCB members

Even me who frequents Jamii forums don't even know who is their deputy president.
Many Tanzanians know the entire Kenyan cabinet, governors etc.. karibu ata wakutajie MCAs. 😂 😂 😂
 
Siri ya Tanzania ni mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hicho ndicho kisima cha uongozi bora Africa Nzima.
Hata utapatape wapi na wapi, Africa au Eac maji baridi na yanayo changamsha na ku kata kiu ya uongozi mbaya yapo Kwa Kisima cha Nyerere - Tanzania
 
Sasa hiyo Jambo au hakuna matata c kiswahili cha kizungu kizingu kutokana hawajui kutamka maneno sahihi ndo yakatokea hayo maneno sio kama eti wameanzisha wakenya neno Jambo linatokana na neno Ujambo maana yake unamtolea mtu salam sasa mzungu ndo kiswahili kinamsumbua ndio akatamka Jambo. Pia Kenya kutangazika ktk Google kuhusu kiswahili ni sawa na kutangazika Us English ktk software chaguo namba moja unaambiwa Us English namba mbili ndio UK English ila ufundi wote wa English unapatikana UK.
Hata 'jambo bwana' hakuna matata n.K mmeeneza duniani
Dunia iki-google kuhusu Tanzania ni stori za albino na one of the poorest countries
 
Hapo jana usiku kaangalia habari za kenya...kisha anakuja sema ujinga...mtanzania akose habari za kenya...si atakufa...mpka uchaguzi wa kenya huwasumbua vichwa mpka vijiweni nakwambia...

Mitandaoni usiulize..

Back
Top Bottom