NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

Hapo hapana,,tukubali tusikubali,,,tutake tusitake,,uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wetu Tanzania,,wewe angalia tuu bajeti yao ya mwaka linganisha na yetu jiulize kwa nini ni kubwa hivyo
Hivi wewe unajitambua au unapiga kelele tu?, sasa bajeti kubwa ina maana gani kama hata uwezo wa kuwanunulia chakula watu wake hawawezi wanategemea chakula cha msaada?. Kama hawawezi kujenga hata kilometer moja ya reli, mchina alivyokaa kutoa pesa, reli imeishia porini, kama hawawezi kulipa Madeni ya nyuma?. Unajua tofauti ya bajeti na mapato?, huwezi kujisifia matumizi makubwa yadiyoendana na mapato yako.
 
Kwann msingeanzisha miradi ya umwagiliaji?
Kwann msipande mazao yanayohimili ukame?
hata huko uarabuni mnakopewa misaada ya chakula ni jangwa, nyie mnakwama wapi.

Tupande ya nini wakati kwenu shamba la bibi tutanunua.
 
Eti past news[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh!!ngoja wanasiasa waanze yao wakati wa uchaguzi..utakuja kunipa majibu
Ati eat nn [emoji23][emoji23][emoji23], Keep talking about past news ambazo tulishazisahau muda sana,
Wakati counties 13 zinateseka kunyaland kwa sababu ya kukosa chakula saa hizi.
 
Hawa hapa middle class wa dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe!! Halafu hizi taarifa ambazo naona kama ndio kiki uliyobaki nayo inafaa ikuingie kwamba ni kuhusu kiangazi, kwamba kiangazi sio kitu ambacho tuna uwezo nacho ila cha msingi ni kwamba tunanunua chakula na kuwapelekea ndugu zetu, hela tunazo, tunanunua kutoka kwa maskini kama nyie na kuwalisha watu wetu.
Screenshot_20190831-173702_Lite.jpeg
 
Lini ccm iliwanunulia chakula kule kwenu usukumani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe unajitambua au unapiga kelele tu?, sasa bajeti kubwa ina maana gani kama hata uwezo wa kuwanunulia chakula watu wake hawawezi wanategemea chakula cha msaada?. Kama hawawezi kujenga hata kilometer moja ya reli, mchina alivyokaa kutoa pesa, reli imeishia porini, kama hawawezi kulipa Madeni ya nyuma?. Unajua tofauti ya bajeti na mapato?, huwezi kujisifia matumizi makubwa yadiyoendana na mapato yako.
 
Kwhyo unataka watu wa county zingine waende hko wakawalimie watu wenye hawna hta hyo hamu ya ukulima...kwel ccm ni janga la taifa
Kwann msingeanzisha miradi ya umwagiliaji?
Kwann msipande mazao yanayohimili ukame?
hata huko uarabuni mnakopewa misaada ya chakula ni jangwa, nyie mnakwama wapi.
 
Ni uzembe wa serikali yenu, rushwa, ufisadi na ukabila,
Kwann hawajaanzisha miradi ya umwagiliaji,
Ile miradi mikubwa ya umwagiliaji ilienda wapi? Bla bla tu hapa.
Una njaa ndio maana uwezo wa kufikiri unapungua daily.
Kwhyo unataka watu wa county zingine waende hko wakawalimie watu wenye hawna hta hyo hamu ya ukulima...kwel ccm ni janga la taifa
 
Back
Top Bottom