Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Ukabira = UkabilaNa hao wasukuma unaowazungumzia TZ tuna makabira zaidi ya 121 sio kama huko kwenu Nchi nzima vikabila viwili tu ndio maana ukabira unakua kama timu ya mpira kila mtu anashangilia upande wake, sasa bac ktk kabira hizo 121 zingine zinaishi kwa ufugaji kwahiyo maisha yao sana wanaishi porini zinafuata sana mila toka utoto wanaongea kilugha tu ndio maana hawaongei kiswahili kizuri na sio Wasukuma tu kuna na wamang'ati kama hujui wamasai kwahiyo ukimuona msukuma anaongea kiswahili hakieleweki bc huyo ujue alikua mchunga mifugo maporini lakini sio wasukuma wote hawajui kiswahili hapana kwanza mjini Kahamahumo kote wamejaa wasukuma wanaongea vizuri tu iwezi kushindanisha na kiswahili cha Nairobi, kama ulikua hujui bac ndo hivyo .
Halafu unapanua hilo libakuli lako na kelele mnavyoijua kiswahili fasaha[emoji86][emoji86][emoji86][emoji85].
Kalb wahed!