NGUVU YA TANZANIA NA KUITAWALA EA KIMAWAZO

Ukabira = Ukabila

Halafu unapanua hilo libakuli lako na kelele mnavyoijua kiswahili fasaha[emoji86][emoji86][emoji86][emoji85].
Kalb wahed!
 
Tanzania huwezi sikia vitu kama hivyo kwa sababu kila mtu ana haki ya kumiliki shamba na kulima mazao yake,
Sio huko kwenu mashamba yenye rutuba yanamilikiwa na watu wachache huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula.
Tulitoka agrarian age tukaingia indurstrial age, my man I am sad unafikiria kuhusu ukulima. More productive done in large scale
 
Mombasa wanazungumza kimvita my friend, wamekuwa wakiongea kiswahili ata kabla ya Tanzania iwe inchi. They were part of the swahili nation. They dont speak swa coz of Tanzanians, they speak swa coz thats what they have been using for hundreds of years. Na hakuna lugha nzuri ama mbaya. Language evolves
 
Wewe bibi ebu jibu swali mnakwama wapi?yan kwa mfano hatq kiswahili ulichotolea povu hapa ni cha ki Tanzania pure,sio kile cha kikenya,mnakwama wapiiii?
Haya mganga wa darisalama. Mbona nikiitisha mitihani yenu ya kiswahili huwa hamleti?Ina maana mnaogopa watu wasione msivyojua kutofautisha r na l ,th na s ,na dh na z.
Kwa taarifa yako kiswahili kinafundishwa kama somo kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne.
Sisi ndio tunapenda kuzungumza kiswahili kibovu
 
Ushakula?
 
Mimi najitambua sana,,Kenya kushindwa kujenga reli au kushindwa kujitegemea kwa chakula siyo kigezo cha uchumi wa Tanzania kuwa mkubwa kuliko wa Kenya,labda ungesema uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wa Kenya kwa sasa ingekuwa sawa.(Sijui umri wako ila 1966;1KSh=1TSh leo 1KSh ni zaidi ya 20TShs why???)
 
Kenya wana kashfa ya kuongeza chumvi Pesa yao kwa asilimia 30,
Alafu uchumi haupimwi kwa thamani ya pesa wewe.
 
Chakula ulichotuma hakijafika.Nina wasiwasi uliyemtuma amenyang'anywa na tumbili akivuka mpaka. Itabidi nilale njaa sasa [emoji24][emoji24][emoji24]
Du tumbili sini wakenya monkey kwahiyo mkenya kapola chakula
 
Unajua kunatofautu na thamani ya pesa na uchumi imara Mimi nachokiona Kenya pesa yake ina thamani kuliko Tanzania lakini haina uchumi imara
 
Wacha uchonganishi jamaa,Kwanini munataka kuharibu amani iliyopo..?Tanzania na Kenya ni ndugu na majirani haswa tunatakiwa tudumishe amani na kuondoa kasoro na tofauti zote,tusiibue nyuzi kama hizi zinazochochea hasira upande mmoja.OMBA MUNGU AMANI ITAWALE,VURUGU ZISIKIE HUKO S.A NA NIGERIA.Lakini pia nawao tuwaombee
 
Unajua kunatofautu na thamani ya pesa na uchumi imara Mimi nachokiona Kenya pesa yake ina thamani kuliko Tanzania lakini haina uchumi imara
Huo ni uelewa wako,ila nchi ikiwa na uchumi imara na pesa yake inakuwa imara haipotezi thamani yake kiholela
 
Mmmh huwenda hujasoma chimbuko la kiswahili.
Kiswahili kimechagizwa kwa asilimia kubwa takriban 56% kibantu cha hapa Tz.
32% kiarabu na asilimia zilizobakia ndio lugha zingine za mabeberu .
Uchagizaji wa ukuaji wa kiswahili kwa mwambao wa pwani ni kutokana na ukaaji wa waarabu ambao walichagiza kuingizwa maneno mengi ktk lugha ya kiswahili.
Hao watu wa pwani wote uwaonao wamechagiza ukuaji wa kiswahili kwa kutohoa maneno ya kiarabu.
Ila kiswahili haswa ni kibantu chumvi,jembe n.k n.k yote maneno ya kibantu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…