Lakini lazima tukubali Kama Taifa tuna ujinga mwingi Sana... Ukabila ni mbaya ila ujinga ni mbaya zaidiWa-kunya ni wakabila sana hapo ni vita ya kiukabila kati ya Raila na Raisi anayependwa na watu RUTO.
Politics za Kenya ni purely ukabila
sijui kama hao wanaokimbizana na polisi ni makundi ya Rutto na Raila..... nawe hujui....polisi nao utasemaje, kuna wa Rutta na Raila?Wa-kunya ni wakabila sana hapo ni vita ya kiukabila kati ya Raila na Raisi anayependwa na watu RUTO.
Politics za Kenya ni purely ukabila
Wakenya wengi ni ma-jobless, landless, and mipangolesssijui kama hao wanaokimbizana na polisi ni makundi ya Rutto na Raila..... nawe hujui....polisi nao utasemaje, kuna wa Rutta na Raila?
nadhani in terms of all that you have posted, hatupishani sana. We are all hopeless 😀 😀 😀Wakenya wengi ni ma-jobless, landless, and mipangoless
KUNYALAND is a failed statenadhani in terms of all that you have posted, hatupishani sana. We are all hopeless 😀 😀 😀
Tunafeli kwa kukariri na kutaka kulazimisha maandamano kisa tunawaona wenzetu, Tanzania kwenye suala la maandamano limeshatushinda tutafute njia nyengine tusilazimishe maandamano tu. Mbona wafanya biashara kariakoo walitumia njia ya mgomo na kweli serikali ikakaa kuwasikiliza.Watanganyika ni keyboard warriors tu. Mkiitwa kuandamana hamtokei.
Mkuu, unahisi bila maandamano wanaelewa? Yaani umwambie waziri Mwigulu kwamba hali ya maisha imekuwa ngumu akuelewe?Tunafeli kwa kukariri na kutaka kulazimisha maandamano kisa tunawaona wenzetu, Tanzania kwenye suala la maandamano limeshatushinda tutafute njia nyengine tusilazimishe maandamano tu. Mbona wafanya biashara kariakoo walitumia njia ya mgomo na kweli serikali ikakaa kuwasikiliza.
Nimesema tutafute njia nyengine ambayo itawafanya watuelewe ila hii ya maandamano imeshindikana kwa sababu hata tukiyafanya hayo maandamano bado hawaelewi tofauti na ilivyo kwa wenzetu.Mkuu, unahisi bila maandamano wanaelewa? Yaani umwambie waziri Mwigulu kwamba hali ya maisha imekuwa ngumu akuelewe?
Mfano njia ipiNimesema tutafute njia nyengine ambayo itawafanya watuelewe ila hii ya maandamano imeshindikana kwa sababu hata tukiyafanya hayo maandamano bado hawaelewi tofauti na ilivyo kwa wenzetu.
Njia yeyote ile serikali itaelewa na kutusikiliza, mbona wafanyabiashara kariakoo walitumia njia ya mgomo na kweli serikali ikawasikiliza.Mfano njia ipi
Kwani serikali haiwezi kurekebisha mpaka iambiwe,Salenda na Jangwani mvua ikinyesha hapapitiki wabunge wanasema Mitano tena 😀😀Njia yeyote ile serikali itaelewa na kutusikiliza, mbona wafanyabiashara kariakoo walitumia njia ya mgomo na kweli serikali ikawasikiliza.
Wanaturoga na mwengeSisi huku kwetu DANGANYIKA ni kama mizombie vile, sie ni watu wa hewala tu.
Kale kadubwasha nakashangaa sana, yaani hakana faida, ni matumizi ya hovyo ya kodi lakini wamekamumbatia.Wanaturoga na mwenge
Gentamycine akituita watanzania Mapopoma hakosei, yaani duniani kufanikiwa huhitaji mali au madini unahitaji akili tu!!Kale kadubwasha nakashangaa sana, yaani hakana faida, ni matumizi ya hovyo ya kodi lakini wamekamumbatia.
Watanzania sisi ni mapopoma saana, aliyeturoga, mungu amlaani sana, aetupiga uchawi wa uzezeta, sie na mazombia hatuna tofauti 🤣
Mwambie ukweli huyu chawa hajielewi!Acheni upuuzi, wewe ufanye uchawa halafu mambo yanapozidi unga ulilie ati Chadema wakuandamanie? Shame! Wewe huna miguu? Anzia walipoishia wao.