GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Punguzo sauti mkuu! Wakikusikia...🥺Wakenya wana akili.
Watz asilimia 99 ni marehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguzo sauti mkuu! Wakikusikia...🥺Wakenya wana akili.
Watz asilimia 99 ni marehemu
Maswali utakayoulizwa:Mkuu, unahisi bila maandamano wanaelewa? Yaani umwambie waziri Mwigulu kwamba hali ya maisha imekuwa ngumu akuelewe?
Wakati wao wameajiriwa 😀😀Maswali utakayoulizwa:
Mh: Shida nini?
Raia: Maisha magumu
Mh: Kivipi
Raia: Ajira hakuna
Mh: Basi jiajiri
Raia: 🥺🥺🥺
Aah wapi😃Wakati wao wameajiriwa 😀😀
Pole sana!WANASHIDA SANA HAO HAWAHESHIMU MAMLAKA
Kawatolee na chupi kabisa hao mamlaka unaowaheshimu wewe mbuzi kabisa,coment kama hizi ndio zinafanya watu wale watuite maiti kama huna hoja tuliza domo lakoWANASHIDA SANA HAO HAWAHESHIMU MAMLAKA
Kwani Kenya ni chama cha upinzani au wakenya kwa ujumla wao??? Huku kwetu waliondani ya sisim hawaathiriki?Yohana mtembezi johnthebaptist anasema kwetu maandamano ni matembezi.
Nakuunga mkono. Zile ni therapy na exercise(ordered by doctors) za Tundu Lissu.
Ni exposure therapy za kuondoa viwewe na makasiriko.
Best PTSD therapy so far.
Unenepe usingizini.🧐
But not brainlessWakenya wengi ni ma-jobless, landless, and mipangoless
2lia angekuwa huko waandamaji wangeweka kambi nyumbani kwake aise na anavyo jibu jeuriKenya ni next level 😂
Sasa kwa nini unamuita kimbulu wa kusini?Yule kimbulu wa kusini...