Nguvu ya Umma: Bunge lalazimika kubadilisha Muswada wa Sheria ya Fedha baada ya maandamano ya Wananchi

Mkuu, unahisi bila maandamano wanaelewa? Yaani umwambie waziri Mwigulu kwamba hali ya maisha imekuwa ngumu akuelewe?
Maswali utakayoulizwa:
Mh: Shida nini?
Raia: Maisha magumu
Mh: Kivipi
Raia: Ajira hakuna
Mh: Basi jiajiri
Raia: 🥺🥺🥺
 
Wenzetu wameshazoea virungu,sisi ukisikia PAAA! mnasambaratika kila mtu anatafuta njia ya kutorokea...
 
Huku wanaandamana Chadema kule wananchi, tofauti ni kubwa.
 
WANASHIDA SANA HAO HAWAHESHIMU MAMLAKA
Kawatolee na chupi kabisa hao mamlaka unaowaheshimu wewe mbuzi kabisa,coment kama hizi ndio zinafanya watu wale watuite maiti kama huna hoja tuliza domo lako
 
Kwani Kenya ni chama cha upinzani au wakenya kwa ujumla wao??? Huku kwetu waliondani ya sisim hawaathiriki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…