Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Tukimalizana na wasanii tunahamia kwa wafanyabiashara machawa . Yaani wasanii hadi wajambe cheche au wakalipwe na CCMHarmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa,
Wananchi wameamua kuwapuuza the so called wasanii, good move!!
Itakuwa imekuuma wewe.Utakufa kinywa wazi kwa uchawi....
Umekula kitimoto 🐖Utakufa kinywa wazi kwa uchawi....
Lazima wanyooke hawa matako. wapumbavu sana.Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa,
Wananchi wameamua kuwapuuza the so called wasanii, good move!!
binafsi nilikuwa msikilizaji mzuri wa Harmonise ila sasa hivi nikiweka playlist youtube nikaskia wimbo wa Tanzania naecancel mara moja. Wana haki ya kuwaunga mkono wanaowataka lakini mimi pia nina haki ya kuchagua nimsikilize nani na kwa wakati gani maana bundle nanunua mimi.Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa,
Wananchi wameamua kuwapuuza the so called wasanii, good move!!