Elections 2010 Nguvu ya umma inapofanya kazi

MzeePunch

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
1,412
Reaction score
203
Nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la KULIKONI hivi karibuni. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili.

"Tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara mchakato na mustakabali mzima wa siasa na uchumi wa nchi. Tabaka hili, pamoja na kuvamia nafasi za kisiasa kama ubunge na ukamanda wa vijana, linafadhili pia nafasi za uongozi, toka urais hadi ubunge, na nafasi kuu ndani ya chama... Tabaka hili limeweza kupenyeza watu wake katika taasisi nyeti kama usalama wa taifa, Ikulu, Takukuru, mahakama na bunge. Tabaka hili limeunda na kuongoza serikali isiyo rasmi ndani ya nchi, lakini yenye nguvu kuliko serikali ya Kikwete; haliwezi kukemewa, bali linaweza kuitisha serikali; hasa pale maslahi ya watu wao yanapoguswa! Tabaka hili hatari linaipenda Tanzania (kwa raslimali zilizomo), lakini haliwapendi Watanzania; lipo tayari kudhuru na hata kuua kisiasa na kimwili, inapofikia kutetea maslahi yake. Hili haliwezi kung'olewa kwa nguvu ya serikali iliyomo madarakani, ila kwa KIPIGO CHA NGUVU YA UMMA.
 
Nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la KULIKONI hivi karibu. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili.

"Tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara mchakato na mustakabali mzima wa siasa na uchumi wa nchi. Tabaka hili, pamoja na kuvamia nafasi za kisiasa kama ubunge na ukamanda wa vijana, linafadhili pia nafasi za uongozi, toka urais hadi ubunge, na nafasi kuu ndani ya chama... Tabaka hili limeweza kupenyeza watu wake katika taasisi nyeti kama usalama wa taifa, Ikulu, Takukuru, mahakama na bunge. Tabaka hili limeunda na kuongoza serikali isiyo rasmi ndani ya nchi, lakini yenye nguvu kuliko serikali ya Kikwete; haliwezi kukemewa, bali linaweza kuitisha serikali; hasa pale maslahi ya watu wao yanapoguswa! Tabaka hili hatari linaipenda Tanzania (kwa raslimali zilizomo), lakini haliwapendi Watanzania; lipo tayari kudhuru na hata kuua kisiasa na kimwili, inapofikia kutetea maslahi yake. Hili haliwezi kung'olewa kwa nguvu ya serikali iliyomo madarakani, ila kwa KIPIGO CHA NGUVU YA UMMA.

Walahi tena
 
Nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la KULIKONI hivi karibuni. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili.

"Tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara mchakato na mustakabali mzima wa siasa na uchumi wa nchi. Tabaka hili, pamoja na kuvamia nafasi za kisiasa kama ubunge na ukamanda wa vijana, linafadhili pia nafasi za uongozi, toka urais hadi ubunge, na nafasi kuu ndani ya chama... Tabaka hili limeweza kupenyeza watu wake katika taasisi nyeti kama usalama wa taifa, Ikulu, Takukuru, mahakama na bunge. Tabaka hili limeunda na kuongoza serikali isiyo rasmi ndani ya nchi, lakini yenye nguvu kuliko serikali ya Kikwete; haliwezi kukemewa, bali linaweza kuitisha serikali; hasa pale maslahi ya watu wao yanapoguswa! Tabaka hili hatari linaipenda Tanzania (kwa raslimali zilizomo), lakini haliwapendi Watanzania; lipo tayari kudhuru na hata kuua kisiasa na kimwili, inapofikia kutetea maslahi yake. Hili haliwezi kung'olewa kwa nguvu ya serikali iliyomo madarakani, ila kwa KIPIGO CHA NGUVU YA UMMA.

Now your talking

nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la kulikoni hivi karibuni. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili.

"tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara mchakato na mustakabali mzima wa siasa na uchumi wa nchi. Tabaka hili, pamoja na kuvamia nafasi za kisiasa kama ubunge na ukamanda wa vijana, linafadhili pia nafasi za uongozi, toka urais hadi ubunge, na nafasi kuu ndani ya chama... Tabaka hili limeweza kupenyeza watu wake katika taasisi nyeti kama usalama wa taifa, ikulu, takukuru, mahakama na bunge. Tabaka hili limeunda na kuongoza serikali isiyo rasmi ndani ya nchi, lakini yenye nguvu kuliko serikali ya kikwete; haliwezi kukemewa, bali linaweza kuitisha serikali; hasa pale maslahi ya watu wao yanapoguswa! Tabaka hili hatari linaipenda tanzania (kwa raslimali zilizomo), lakini haliwapendi watanzania; lipo tayari kudhuru na hata kuua kisiasa na kimwili, inapofikia kutetea maslahi yake. Hili haliwezi kung'olewa kwa nguvu ya serikali iliyomo madarakani, ila kwa kipigo cha nguvu ya umma.

ndio maaana vyuo vikafungwa kwa kuwa wanavyuo ni wepesi kuanzisha uprising baada ya matokeo ya kura kuchakachuliwa.
 
Indonesia wanachuo ndio huwa waniondoa serikali iliyoko madarakani kwa uprising zao hata jeshi lao liingilie kati ni mpaka kieleweke huku kwetu mmmmh mkijaribu tu hata kabla hamja ondoka kuanza uprising kipigo cha kufa mtu wanakipokea

Tabaka la mibaka-uchumi kuna kitu linakosea kwenye suala la wanavyuo. Hata kama wakifunga vyuo kwa muda gani, historia inaonesha kuwa kufungua chuo huwa ndio kama mwanzo wa maisha mapya na fikra mpya kwa wanavyuo. Mambo yaliyopita hujadiliwa kama mapya ni ni rahisi sana kuanzisha mgomo hata kama uchaguzi-chakakachuzi utakuwa umepita.
 
Mibaka uchumi wanafanana na Genge la Mafia
 
Indonesia wanachuo ndio huwa waniondoa serikali iliyoko madarakani kwa uprising zao hata jeshi lao liingilie kati ni mpaka kieleweke huku kwetu mmmmh mkijaribu tu hata kabla hamja ondoka kuanza uprising kipigo cha kufa mtu wanakipokea

hata enzi za nyerere wanachuo na wahadhiri wao walikuwa na impact kubwa kwa serikali, asaiv wanachuo wamechakachuliwa, ukigoma unapewa mkopo 40%.
 
Back
Top Bottom