'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

Jambo litasaidia majadiliano JF ni kuweko na heshima katika majadiliano . Isiwe upande moja jamvini huruhusiwa kutoa matamshi mabaya kwa wengine wanapotoa maoni tofauti.

wewe Sherif sioni ubaya wowote na Uzi ambao Mwenye kuileta anaelewa na kunukuu vema siasa za kenya kuliko hata wakenya wenyewe ambao hawapendi kusikia mkenya mwenzake akiongea ukweli. Ni vizuri sikufahamu lakini naamini wewe umefikia kiwango cha uwezo wa kufanya utafiti na kuleta majibu kulingana na utafiti wako kwa maarifa ya kujadili.
 
livefire at least you can argue, not like other scribes, though you have strayed on the wrong frontier...........tribalism is rife not only in GEMA but in the whole of Kenya. Contradict me if the current Kenyan parliament have not discussed Raila nepotism............Kenya is east african how can I stay away in a country preparing to be part of a federation with my country? You are not serious...............................and do not forget Kenya is my neighbour.................eager to steal tz jobs...............Is it wrong to peek at what my neighbour who has such a potential to ravage my grotto?

Remember in TZ freedom of expression is a constitutional right.......why do you want to gag me from expressing what i feel. I urge you to continue expressing what you feel even if a couple of faces may be displeased that includes me.................

should i really sanitize this? Am no lawyer and certainly not keen on feeding egos.

Al keep it simple, whilst u keep getting the idea that Raila is a corrupt demagogue, you forget what Kimunya has done for Kenya in terms of damages and who was and has been the direct beneficiary, not once but severally!!!!! Who was the minister of finance when all the latest grand scandals by Kimunya took shape? Yeah, the master schemer is there for u to see. The latest touched on our so dear skies, delayed JKIA expansion programme awarded to CHINA but still billions exchanged billions....get a list of Kimunya dealings and connect the dots, you will be surprised to learn that everytime he is found out, he escapes the noose. Guy doesnt bet on luck, he steals with assurity of certain elements.

Now to Uhurus/Githaes self ochastrated impunity, why raise lending rates to 16% unilaterally to make a kill. It wasnt any normal inflation, a move to satisfy a few privately owned Banks, if u know all the above about Kenya u can get the same elsewhere.
CORRECTION, I SAID: Nepotism is everywhere in Kenya but worst in GEMA Check parastatal employments, CEOs and as well as any cream paying jobs...several articles about the same in the blogosphere, grab an e-copy now.

ION, Raila if discussed in parliament he aint alone, infact the Kenyattas and "their" land have also been discussed extensively. How do u own land the size of a province and claim u legitimately owned it? .....it beats logic. find reasons why the ndungu land report was swept under too.... He aint as innocent as you potray him.

Chances are Raila that might falter again but i lose no sleep because of that. However, i cant be particularly be LED by a muderous outfit facing international condemnation. Mayb they win it clean but with travel bans being dished out, its only a matter of time.
FINALLY, applause to you for your committment to EAC but EAC as a FEDERATION IS A PIPE DREAM. It ends at the common market level, Kikwete kwake, museveni kwake n so on n so forth.

Thats said, Administer your constitutional right, troll bro, GAG WITHDRAWN!!!
 
Last edited by livefire; Today at 05:40.​

livefire you are moving away from the theme.....................Raila is going home to raise his livestock........................and the reasons have been offered.

the rest of your discourse sounds like.....................Raila is a devil; since you have not defended him it translates as you are in total concord with my views, but you contend that there are is a Kikuyu mafia which is worse than Raila as your forlorn line of defending Amollo..........................the dilemma there is Raila painted himself as the champion of the poor particularly in Kibera................but now we know better.....he is just a thief just like the rest who at least they are honest for not pretending to be angels like Raila................
 
Mie namuunga mkono Raila Odinga na ndiye anafaa kuwa rais wa KENYA 2013 na kuendelea....!

Kimbweka akishindwa ujue tulikutahadhaisha............
 
Last edited by a moderator:
unaota mkuu ndoto za mchana ,subiri sanduku la kura litaamua nani rais wa kenya ,hoja ulizotoa hapo juu ni nyepesi ukilinganisha na thamani ya raila kwa wakenya ni kubwa hasa kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi .
 
Hahahahahaha! Imenibidi nicheke tu.. Wazungu wanaiita 'selective amnesia'. Nitakujibu kwa ukamilifu baadaye kwa sasa acha nikuchekelee.. Btw i hope you are NOT Kenyan... Kwa sababu uloandika hapa yote hata yule mkikuyu mkabila kabisa ata yaona ya uzushi. Wishful thinking bro. RAO si lazima awe rais.
 
Akilala akiamka kwa takribani miaka 20 hivi, Raila Amollo Odinga amekuwa hafikirii kazi nyingine ila kuwa Raisi wa Kenya na kuhitimisha lile ambalo baba yake Odinga Oginga alishindwa kulifanya.........kuwa mjaluo wa kwanza kutawala Kenya.

Lakini wazungu wana msemo usemao........................"like father like son"...........................nasi bila ya kuachwa mbali hulonga................."mtoto wa nyoka ni nyoka tu"....................sababu zilizomzuia baba yake Raila kuongoza kenya sasa zimeshamiri na baada ya uchaguzi wa 2013 nguvu ya umma itatimiza uhaja huu ambao umekuwa unahitajika ili kuinusuru kenya kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hapa ninaambatanisha sababu 10 kuthibitisha mtazamo huu:-

1) Historia hujirudiarudia yenyewe.

Baba yake Raila aliombwa na Mkoloni mwingereza aongoze Kenya mpya lakini kwa kuelewa ya kuwa waliopigania uhuru wa Kenya ni wakikuyu kupitia Maumau na akina Jomo Kenyatta, Oginga alikataa na kudai hakuna kuongelea uhuru hadi Kenyatta afunguliwe kutoka jela. Kauli hiyo ndiyo iliyomsaidia Oginga kuukwaa umakamu wa uraisi na sababu yake kuu hakuwa na mikwaruzano na wakikuyu bali aliwaunga mkono kwenye azma yao ya kukamata dola. Oginga alipokosana na kenyatta basi hata hicho cheo alipokonywa mchana kweupe.
Fundisho hapo ni kuwa kama Raila angelikuwa ana mkakati madhubuti wa kuwa Raisi wa kenya alipaswa kujenga miundo mbinu za nguvu na wakikuyu badala ya kuwabeza kuwa ni wakabila kwa kudai huwa hawachagui mtu yeyote isipokuwa wa kabila lao................na kubeza michango ya wakikuyu kwa kudai katiba mpya ifute kenyatta day na kuiita mashujaa Day...............jingine ni kudai hela ya kenya inamuenzi Kenyatta kwa sababu ni mkikuyu au hata kutohudhuria siku ya kumbukumbu ya kifo cha kenyatta.........

2) Kuunguza madaraja ya kisiasa

Raila alikuwa kinara wa kumkataa Uhuru Kenyatta mwaka 2002 na hata kushawishi baadhi ya viongozi wa Kanu akiwemo Kalonzo Musyoka kuikimbia Kanu na kuisababishia maumivu makali. Pamoja na kufanikiwa kupata kuungwa mkono na wakalenjini katika chaguzi ya 2007 lakini aligombana na William Rutto na hivyo kushindwa kulinda muungano wao na sasa kumgharimu.

Hata akina Rafael Tuju ambao wanatoka kabila lake, Raila amekuwa akiwabughudhi kwa kisa hawamwuungi mkono yeye!
Machafuko ya kujaribu kumpindua Moi mwaka 1982 kwa kiasi kikubwa yalichochewa na Raila na wapo wanajeshi wengi nchini Kenya ambao amejenga nao uhasama kwa tukio hilo na kufanya kuwa ni vigumu kuungwa mkono na majeshi ya Kenya hususani vinara wajeshini...............

3) Kumuunga mkono Kibaki mwaka 2002 bila ya MOU inayoeleweka.

Hata juzi kwenye hafla ya kutangaza muungano wao, Kalonzo Musyoka alimlaumu Raila kwa kuingia makubaliano na kibaki bila ya MOU inayoeleweka na matokeo yake kibaki aliwatimua kazi pale walipokosana naye. Kama wangelikuwa na MOU Kibaki asingeligombea muhula wa pili kama alivyokuwa kawaahidi hapo awali na baada ya kipindi kimoja tajwa, umaarufu wa Raila mwaka 2007 ungelimwezesha kuwa Raisi.

4) Kumsaliti William Rutto Uwaziri mkuu.

Katika makubaliano ya Raila na Rutto mwaka 2007 yalikuwa Rutto lazima awe Waziri Mkuu. Sasa alipoona kaukosa uraisi badala ya kuheshimu makubalino yake na Rutto akamnyang'anya Rutto ugali wake......................kama Rutto angelikuwa waziri mkuu leo Raila angelikuwa ana nafasi nzuri ya kuwa Raisi kwa sababu kura zote za wakalenjini zingelikuwa za kwake..........na kwa kuwa waziri mkuu Raila kawapa nafasi wapiga kura kumpima na utendaji wake haujawafurahisha wengi........................angelijifunza hapa TZ ukimwondoa J.K Nyerere hakuna Waziri Mkuu ambaye aliwahi kuwa Raisi na sababu alitusaidia Sumaye pale alipokuwa anatoa hotuba yake ya mwisho kama Waziri Mkuu na kuwalaumu wabunge kumchukia wakidhani yeye ndiye anawasumbua kwenye majimbo yao..............................somo hapo ni kuwa uwaziri mkuu na mahali pa kumsaidia Raisi siyo mahali pa kujijengea umaarufu wa bei poa wa kuwa Raisi...................Lowassa angelijifunza hapo kama Kawawa alivyojifunza

5) Upendeleo wa ajira kwa ndugu zake (nepotism)

Moja ya mapungufu makubwa ya Raila ni kuwa bunge la Kenya limekuwa likihoji juu ya teuzi nyingi ambazo Raila amekuwa akizifanya serikalini ambazo zimekuwa za kupendelea ndugu zake wa karibu ambayo ni mbaya zaidi ya hata ya ukabila........................yaani hii ya Raila ni "nepotism".

Tatizo ni kuwa watu wanapokuhusisha na kuwabagua ujue kukuchagua wakati wakijua fika huna mpango wa kuwasaidia bali wewe sera yako ni kubeba ndugu zako tu, kukuchagua inakuwa vigumu sana........

6) Kumtegemea Obama na ICC kumpa Uraisi!

Huu ni sehemu ya upumbavu mkubwa kichwani mwa Odinga..........mara nyingi amekuwa akijifananisha na Obama wakati Obama hakulelewa kwenye misingi ya ukabila wa hapa Afrika...........amekuwa akihoji kwanini iwe rahisi kwa wazungu kumchagua mjaluo na Kenya inakuwa shida aisichojua wazungu hawakumchagua Obama kwa sababu ya Ujaluo wake bali kwa kukidhi vigezo vya mahitaji ya siasa za marekani..........period!

ICC imetumika kuwachafua Uhuru na Rutto kwa tuhuma ambazo zilipikwa na wafuasi wa Raila waliomo kwenye NGOs na KNHRC.................na wengineo tunawaona sasa wamekuwa wasemaji wakuu wa kampeni ya Raila na ODM............................tatizo la ICC ni kushindwa kuwafungulia mashitaka Kibaki na Raila. Vilevile ICC wameshindwa kutoa maelezo ya kina kwanini vurugu za Kibera ambako Raila ni mbunge na kisumu hazikufunguliwa mashitaka ICC pamoja na watu wengi kufa na kupoteza mali zao kwenye maeneo hayo? Koffi Annan na fisadi Ken Mkapa wanafikiri ya kuwa wanaweza kutumiwa na Marekani na Ulaya kuishinikiza Kenya kumchagua Raia kuwa Raisi na hivyo kibaraka wa nchi matajiri duniani ziendelee kulinyonya taifa hilo......................wasichojua walinzi wa mwisho wa utaifa wa Kenya ni wakikuyu kama vita vya maumau vinavyotufunza.......................makabila mengineyo aidha yalikaa kimya au yalimsaidia mwingereza kuzima vuguvugu la uhuru nchini humo.
Jana usiku kwenye taarifa ya habari ya saa 3 usiku kwenye luninga ya the CITIZEN, mbunge wa kuteuliwa mwanamama Shebeesh aligusia masuala haya ingawaje alikuwa akiilaumu Ikulu na kibaki kwa kutaka kushinikiza Uhuru aachie ngazi kwa Musalia Mudavadi...............

Uchaguzi huu utamkataa Amollo kwa kuwa ni kipenzi cha ukoloni mamboleo...........

7) Kumnyanyasa Makamu wa Raisi Kalonzo Musyoka.

Raila Odinga katika khali isiyo ya kawaida amekuwa akitumia muda mwingi kupigania "seniority" kati yake na Musyoka.......................akidai baada ya Kibaki ni yeye............nilimshangaa jana kwa mara ya kwanza tangia awe Waziri Mkuu alikwenda kumtembelea Kalonzo ofisini kwake......................siyo kwa sababu anamheshimu bali kumshinikiza awe namba mbili wake kwenye uchaguzi ujao!.............How pathetic!

Unapojikuza ujue Muumba atakushusha tu..........................na Raila katika kudai makuu sasa inabidi aoshe unyayo wa Kalonzo ambaye amekuwa akimdharau sana........................katika miaka 5 iliyopita................na uzoefu unaonyesha mwisho wa yote muungano wao utaishia pabaya kabla ya uchaguzi..................

8) Kuizuia demokrasia kufanya kazi yake ndani ya ODM

Hili linashangaza lakini ni ukweli. Musalia Mudavadi kisa ya kuikimbia ODM ni pale alipobaini katiba yao tayari ilimtamka Raila ndiye mwenye sifa za kugombea uraisi kupitia chama hicho bila ya kuweka utaratibu shirikishi, wazi na ambao utakuwa na misingi ya utu ya kumpata mgombea uraisi wa chama hicho......................

Sasa Musalia kajiunga na mahasimu wa Raila wakiongozwa na Uhuru na "majuto ni mjukuu..............:'

9) Saa ya "Kizazi kipya" imewadia.............

Kutokana na ukweli na bila ya kujali makabila yao, vijana nchini Kenya wamechoshwa na wazee na
Raila ambaye ana umri wa miaka 73.............................hana mvuto kwa kizazi kipya...................huo ndiyo ukweli wake.............kuchaguliwa na hiki kizazi cha dot.com ni njozi ya kufikirika tu.........

10) kukabiliwa na kutetea watuhumiwa wa ufisadi.

Moja ya mvuto wa Raila ulikuwa anachukia ufisadi lakini la ajabu alipoingia kwenye meza kuu ya mlo amekuwa akitumia watoto wake kufanya ufisadi kama ule wa kashfa ya mahindi.....................watu walikuwa wanakufa na njaa Raila akaona kivuno kwake!

Swahiba wa Raila, Charity Ngilu alipokuwa kashikwa pabaya na taasisi ya kuzuia Rushwa nchini Kenya.............Raila alikuwa mstari wa mbele kumtetea bila ya kujali mabwawa kibao hayakuchimbwa au yalichimbwa kwa viwango vya chini na mabilioni kutoweka........na miradi ya maji ni nyeti sana katika kumkomboa masikini mnyonge kwenye ufukara wake................Raila alipokuwa upinzani alijiita ni "mkombozi wa wanyonge"................................lakini kila mmoja sasa anajua hizo zilikuwa ni ghiliba..........

HITIMISHO.

1) Kutokana na uchu wa madaraka wa taswira ya Amollo ni dhahiri ya kuwa ni nguvu ya wananchi ndiyo tu itamwondoa kwenye anga za siasa za kenya na Afrika haina muda mkubwa wa kulisubiria hili............kwa hamu kubwa.

2) Kustaafu kwa Raila kwenye anga za siasa za kenya kutapunguza sana misuguano ua kikabila nchini humo.........

Raila ana miaka 65 (born January 7, 1945) na usilete siasa zako za Mt Kenya hapa Watanzania tunamjua Raila in and out na tunam-support by all means maana tunajua yote uliyoyataja yametokea kwa sababu ya hila za people of Mumbi! Otherwise Raila will sweep Kenya's Presidency in a Tsunami fashion! BTW Kikuyus did not fight for Kenya's independence but fought to repossess their land taken by the British settlers and upon being rewarded their land after the Brits left they (with Johnson Muigai's (assumed names Jomo Kenyatta) help) went further to steal the land of other tribes in Kenya mostly affected tribe being Kalenjins/Nandis in the rift Valley becoming settlers/occupiers themselves!
 
Raila ana miaka 65 (born January 7, 1945) na usilete siasa zako za Mt Kenya hapa Watanzania tunamjua Raila in and out na tunam-support by all means maana tunajua yote uliyoyataja yametokea kwa sababu ya hila za people of Mumbi! Otherwise Raila will sweep Kenya's Presidency in a Tsunami fashion! BTW Kikuyus did not fight for Kenya's independence but fought to repossess their land taken by the British and in-turn went further to steal the land of other tribes in Kenya mostly affected tribe being Kalenjins/Nandis in the rift Valley

That is very right kikuyus did not fight to remove the British from Kenya. What made the British move out of kenya if not mau mau. Can you stop misleading people. You are discussing the history of kenya being ignorant not knowing history.

Just for starters Koitalel arap Somoei was killed by colonialists. Talk of all those freedom fighters from mekatilili, Syokimau, Elijah masinde, and mau mau had a common agenda. That was to expell imperial rule. And that is a fete they achieved successfully

Come to the issue of mau forest evictions evictions, those operating it are using it as a tool for spread their political campaigns and interest among RV people.

Evicting poor people while letting the rich to clutch on their huge illegally acquired land. So if you are Tanzanian and are trying to show people that you know much about what is happening in kenya you better shut up and stick to Tz politics.
 
Chances are Raila that might falter again but i lose no sleep because of that.

As a cord lieutenant, is this decision reached after carefully calculating the math? No need to vilify the messenger with the message. Mate I can testify to you is as if the thread starter had a complete CC of my mind. Most of the things said are factual and are even taped by media houses. But for the sake of avoiding to roll propaganda, we decided to keep it low till after the elections. Mimi nishachukua kura je wewe?
 
hahaha...comeon, i serve under no ones' socio~politico regiment, least to say accorded a Lt. bagde under CORD. Eh bro, whats with this hypnosis thing yu want i admit here?hehe. I will avoid the slander propaganda angle too inferenced by your tanzanian wingman.
Got my vote with me too, electors slip number 13** xxxxx, Kenya.
This SIASA maneno should go into overdrive soon and fast, hate guess work. As i see it, after SUPER TUESDAY we should know who will be president and who will not. Till then, some pop corn will keep me going. Live large, wacha kujistress na wanasiasa and dont vote for killers too.hehe..#pun intended.
 
My Vote is my secret, I took great consideration of the C-in-C's comments. I do not want to be useless neither ignorant my friend, hopefully we will see this course though till the end.
 
but you contend that there are is a Kikuyu mafia which is worse than Raila as your forlorn line of defending Amollo

It is a fore-gone conclusion that there is no good politicians, as the recent alliances have brought everything to light. Alliance is built on ethnic foundations. Every alliance has to depend on their established fiefdoms for votes and support. I hope our myopic bros who are good at sparring in ethnic hostilities can learn that we are all bros.

From what we see in the media and cord campaigns, Raila seems only interested in completely wiping out the Kenyatta signature from Kenya as opposed to offering leadership for the country. The country is in dire need of mature leaders for it to be able to achieve its MDG and vision 2030 goals.
 
Rutashubanyuma, sijui umri wako lakini uliyoyaandika humu ndio yale yale ya Watanzania walio wengi...wanafikiri wanajua kumbe...! Nakushauri ujikite katika siasa za Tanzania, watu wa aina yako wamefanikiwa sana kimaisha hapa nchini na ndio maana Tanzania ipo hapa ilipo...kama bado una chembe ya akili utanielewa. Siasa nje ya mipaka ya Tanzania, na hata kwa jirani zetu tu hapo Kenya, jaribu kujiepusha nazo...huzijui na hutakaa uzielewe. Hii porojo uliyoiandika hapa haistahili response and I regret doing exactly that! Typical ushabiki wa Kitanzania!
 
Nilidhani Watanzania hawaelewi siasa za kenya Lakini lo! Huyu bwana basi. Kwa wanaompinga, mna haki ya maoni yenu lakini Hisabati nan takwimu zina muunga huyu mwandishi Mkono. Kuna uwezekano Mkubwa kwamba Raila atapoteza kinganganyiro cha urais Kenya.
 
Rutashubanyuma
,

una historia nzuri ya Kenya tangu kupata uhuru...

....Naunga sehemu nyingi ya makala hii lakini kwenye red napinga kwa sababu kuna uzushi wa kupotosha ambao unasema Migawanyiko kati ya wakikuyu na wajaluo ulianza wakati wa kenyatta. Pia inaashiria Odinga hakupenda amani ambayo si sawa. Sababu zilizomfanya Odinga kushindwa kuongoza kenya hazifanani na zile zilizomzuia Raila. (nasistitiza).

....Odinga alikataa madaraka kutoka kwa mkoloni alipoona wakimpa sera zinazofanana na apartheid kuongoza kenya, ndipo makubaliano yakafanywa kumwachilia huyo kenyatta.

Haikumbukwi ya kuwa Odinga Snr. na Kenyatta Snr walikuwa na uhusiano mzuri katika uongozi na siasa hadi kifo cha marehemu Tom Mboya ilipowapiga butwaa. Jambo hili liliwagonganisha wawili hawa lakini haikubaki kwa muda. Yakua Odinga Snr. aliiweka tukio hilo nyuma yake na hata ingawa kukosana huku hakukuendelea kwa muda.

......Imesahaulika kuwa kunawiri kwa kenya kisiasa, kiuchumi nk kulitimia katika msingi wa uhusiano huu mzuri.

Ruwaza yake haikuwa kuleta migawanyiko kati ya wakikuyu na wajaluo, kinyume na mafikira ya wengi. Jambo hili ilimgharimu Odinga kustaafu siasa na madaraka ya VP chini ya kenyatta kwa kujitoa na kurudi nyumbani.

Ruwaza ya Odinga Snr ya umoja ndani ya taifa la kenya, ilikuwa yenye maana sana kwake akizingatia changa-moto na dhuluma nchi iliopitia chini ya wakoloni.

...........Mwanya huu wa mgawanyiko kati ya wakikuyu na wajaluo umepanuka baada la tukio la 82, na ndipo siasa za kenya zilichukua mkondo mbaya. Kukaongezeka siasa za chuki na ukabila na ubinafsi pamoja kati ya "kambi" hizi mbili, na kwa kuwa pia Odinga jr, aliambatanishwa na tukio hilo.

Mkuu Kabaridi maelezo kuhusu Odinga Snr mengi nakubaliana nawe, kichekesho Odinga Sr na baba yangu walikuwa marafiki walikuta Uingereza mwaka 1954 mpaka sasa picha waliopiga walipo kuwa wote huko ninayo! Nakumbuka aliwahi kumuandikia baba yangu kwamba Chama chake cha upinzani alicho anzisha baada ya kutimliwa na Kenyatta kilifutwa kwa njama za Kenyatta; Kenyatta alikwenda ziarani Nyanza maksudi baada ya kupanga watu wa kuleta fujo ili apate kisingizio cha kupiga marufuku chama cha Odinga Snr.

Ni kweli vile vile kifo cha Tom kilimsikitisha sana Oginga Snr, nimejaribu kupitia maelezo yenu (Wakenya) nimeona siasa za Kenya ni ngumu sana kuzielewa ukiwa mgeni, kuna mambo mengi yanayo changia, mnatofautiana sana katika maoni yenu kuhusu mstakabari wa Taifa lenu hii inachangiwa na mambo mengi kama nilivyo sema toka mwanzo, sio mambo ya ukabila tu. Mimi nawatakia kheli katika uchaguzi wenu wa mwaka kesho, Mungu awalinde msije mkachukuwa mapanga tena, mkubali matokeo ya kura bila ya kuleta fujo.
 
Mkuu allow me to elaborate by means of the queens language for precision. I believe all presidential hopefuls should be evaluated fully by equal measure. The new governance structures that have been set by the Kibaki govt of county governments is a step towards the right direction. The annuling of provinces set by the colonial governments is also a step in the right direction. By removing provinces, more ethnic groups (especially those of the minority) will get fair representation and autonomy. This step is necessary to effectively debase the big-tribe syndrome in Kenya.

Those that blame tribalism or ethnicity on certain communities lack the goodwill for a united kenya. The whole problem of ethnicity can be rooted back to the colonial settlement days, where tribes were secluded to their demarcated provinces. This was the first biggest mistake by the white settlers that entrenched obstinate regionalism in Kenya. That is in my view a good step to promote unity. The other plus from kibaki's achievement is it will bring to a halt political dynasties taking the kenyan populations for ransom (Yes political dynasties of kenyattas and Odinagas).

By opening avenues for other political players apart from those with deep pockets like "uhuru and odinga", generational hostilities will be deeply buried and forgotten. And that being the case no ethnic groups will be a sacred cow or no group will present their candidate to Kenyans as sacrosanct:smile: which will further put a complete end the ethnic divisions we are witnessing.
 
Back
Top Bottom