Nguvu ya usumaku ya Ncha ya Kaskazini ya Dunia na utulivu wa usingizi wa Binadamu

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Dunia ina mengi yaliyogunduliwa na mengine wanaendelea kugundulika na kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mengi zaidi yanapata majibu na ufafanuzi.

Leo natamani kuliweka suala hili la utulivu wa usingizi na nguvu ya uvutani ya Dunia jambo ambalo limepewa majibu mbalimbali ikiwemo kurogwa n.k.

Kuna watu wanaamini ukilala umetazama juu unaweza kuona maruweruwe na kuweweseka na hivyo kukosa utulivu wa usingizi ila leo natamani tuone suala hili katika mtazamo mwingine tofauti na tuliouzoea.

Ipo hivi "damu ya binadamu ina madini ya chuma na hivyo mtu anapokuwa amelala huku kichwa chake likiwa kimeelekea kwenye ncha ya Kaskazini damu huelekea upande wa juu kwa kiasi kikubwa kutokana na nguvu ya mkutano ya Dunia na hivyo kumsababishia mtu kukosa utulivu katika usingizi wake".

Tunaweza tukajaribu kuliona hili kama nalo linachangia uhalisia kwa kuendelea kusoma maandiko mengi zaidi yanayoweza kulijengea ukubalifu au kulipinga.
 
Attachments

  • Screenshot_20200208-205402_Chrome.jpg
    Screenshot_20200208-205402_Chrome.jpg
    93.6 KB · Views: 15
  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    6.5 KB · Views: 15
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    5 KB · Views: 18
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    4.1 KB · Views: 17
  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    10 KB · Views: 16
  • download (2).jpeg
    download (2).jpeg
    6.4 KB · Views: 15
Yani sijaelewa vizuri, fikiria mtu ni sisimizi juu ya chungwa yule sisimizi akiwa amelala juu ya chungwa chali atavutana na ncha ya kaskazi...!?
Huoni ya kwamba atakuwa amelala akitazama ulimwengu aliopo,.
Halafu hii zana ya kwamba dunia ni ya mviringo ndio inaleta haya,
Mfano dunia ni mviringo kama chungwa, fikiria umechukua sindano ndefu umechoma upande mmoja wa chungwa sindano imetokezea upande mwingine, mtoa mada swali mfano tungekuwa na mashine itakayochimba sana, je tunaweza kuchimba hapa bongo tukatokezea hata hawaii marekani..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi nguvu za usumaku huzunguka nje ya mobile lenye sifa za usumaku kwa maana hiyo kitu chochote kitakachokuwa juu ya umbile husika kitaathiriwa na "magnetic fields".
 
Attachments

  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    10 KB · Views: 16
  • download (2).jpeg
    download (2).jpeg
    6.4 KB · Views: 16
Hujakitendea haki kichwa cha uzi

ARUSHA KWETU
 
Yani sijaelewa vizuri, fikiria mtu ni sisimizi juu ya chungwa yule sisimizi akiwa amelala juu ya chungwa chali atavutana na ncha ya kaskazi...!?
Huoni ya kwamba atakuwa amelala akitazama ulimwengu aliopo,.
Halafu hii zana ya kwamba dunia ni ya mviringo ndio inaleta haya,
Mfano dunia ni mviringo kama chungwa, fikiria umechukua sindano ndefu umechoma upande mmoja wa chungwa sindano imetokezea upande mwingine, mtoa mada swali mfano tungekuwa na mashine itakayochimba sana, je tunaweza kuchimba hapa bongo tukatokezea hata hawaii marekani..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini isiwezekane?

Sema 'siri' iliyopo katikati ya 'tufe' la dunia nd'o itakufanya uyeyuke kabla haujatobokezea huko Hawaii.

Na hata?

Dunia ikiwa kama meza kwa nadharia ya kawaida kama ya El chapo wa Sinaloa, hauwezi kuichoronga ukatobokezea upande wa pili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani sijaelewa vizuri, fikiria mtu ni sisimizi juu ya chungwa yule sisimizi akiwa amelala juu ya chungwa chali atavutana na ncha ya kaskazi...!?
Huoni ya kwamba atakuwa amelala akitazama ulimwengu aliopo,.
Halafu hii zana ya kwamba dunia ni ya mviringo ndio inaleta haya,
Mfano dunia ni mviringo kama chungwa, fikiria umechukua sindano ndefu umechoma upande mmoja wa chungwa sindano imetokezea upande mwingine, mtoa mada swali mfano tungekuwa na mashine itakayochimba sana, je tunaweza kuchimba hapa bongo tukatokezea hata hawaii marekani..!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes.
 
Back
Top Bottom