Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Ipo hivi nguvu za usumaku huzunguka nje ya mobile lenye sifa za usumaku kwa maana hiyo kitu chochote kitakachokuwa juu ya umbile husika kitaathiriwa na "magnetic fields".Yani sijaelewa vizuri, fikiria mtu ni sisimizi juu ya chungwa yule sisimizi akiwa amelala juu ya chungwa chali atavutana na ncha ya kaskazi...!?
Huoni ya kwamba atakuwa amelala akitazama ulimwengu aliopo,.
Halafu hii zana ya kwamba dunia ni ya mviringo ndio inaleta haya,
Mfano dunia ni mviringo kama chungwa, fikiria umechukua sindano ndefu umechoma upande mmoja wa chungwa sindano imetokezea upande mwingine, mtoa mada swali mfano tungekuwa na mashine itakayochimba sana, je tunaweza kuchimba hapa bongo tukatokezea hata hawaii marekani..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nielekeze nikiboreshe MkuuHujakitendea haki kichwa cha uzi
ARUSHA KWETU
Kwanini isiwezekane?Yani sijaelewa vizuri, fikiria mtu ni sisimizi juu ya chungwa yule sisimizi akiwa amelala juu ya chungwa chali atavutana na ncha ya kaskazi...!?
Huoni ya kwamba atakuwa amelala akitazama ulimwengu aliopo,.
Halafu hii zana ya kwamba dunia ni ya mviringo ndio inaleta haya,
Mfano dunia ni mviringo kama chungwa, fikiria umechukua sindano ndefu umechoma upande mmoja wa chungwa sindano imetokezea upande mwingine, mtoa mada swali mfano tungekuwa na mashine itakayochimba sana, je tunaweza kuchimba hapa bongo tukatokezea hata hawaii marekani..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani sijaelewa vizuri, fikiria mtu ni sisimizi juu ya chungwa yule sisimizi akiwa amelala juu ya chungwa chali atavutana na ncha ya kaskazi...!?