Nguvu ya wanawake kupush wimbo wao wa 'Wanawake Moto' ni ndogo sana

Nguvu ya wanawake kupush wimbo wao wa 'Wanawake Moto' ni ndogo sana

kiibinda

New Member
Joined
Feb 11, 2024
Posts
1
Reaction score
0
  
Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki.

Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu, wengine wameachwa, wengine wanayafurahia, wengine wanatutukana wanaume, huba limewashinda yaani kiufupi Mapenzi yamewavuruga, hawaelewi, hiki kizazi ni mapenzi, mapenzi na wao😓
 
Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki.

Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu, wengine wameachwa, wengine wanayafurahia, wengine wanatutukana wanaume, huba limewashinda yaani kiufupi Mapenzi yamewavuruga, hawaelewi, hiki kizazi ni mapenzi, mapenzi na wao[emoji29]
Wamechafukwa na vikoba na kausha damu
 
Back
Top Bottom