Nguvu ya XI Jinping: Trump mwenyewe aenda uwanjani kumpokea

China alijifunza mengi sana Kipindi cha "Century Of humiliation, alafu aka/ameleapfrog ,kwa kiasi kikubwa .

Kaonesha umuhimu wa human Capital , Higher Level Knowledge and cutting Edge Know how+R &D ,

Hakuna wakumpinga kwa sasa,

Ni Workshop Of the world Karata Hiyo anaitumia Vizuri ,kufanikisha mambo yake
 
Kidiplomasia unapotembelewa na mgeni ambaye ni Mkuu wa Nchi, unapaswa wewe Rais mwenyeji uende ukampokee

Labda uwe na majukumu mengine makubwa ndiyo unaweza kumwagiza Waziri wako wa mambo ya nje ama mwingine kwenda kumpokea

Hata Ile ziara ya JK.Nyerere kwenda Washington mwaka 1962/3 alipokelewa na Rais mwenyeji JF Kennedy

Inaonesha uungawana na kujali
 
Trump anajulikana kugwaya madikteta. Kwa Putin ndiyo zaidi; hathubutu hata kumfanyia mzaha. Marekani ya Trump imekuwa nchi ya ajabu sana. Anawasemea ovyo wapiga kura wake na MaRais wa NATO Lakini kwa hao madikteta anajichekesha chekesha tu! Angalau Waziri Mkuu wa Canada, Mike Carney, ametuliza jeuri ya Trump.
 
kuna wanahabari hua wanasema Trump wants to be like Xi and Putin
 
Nyerere hakupokelewa na Raisi Kennedy airport, itifaki ni ileile alipokelewa na maafisa

Akapelekwa White House na ndipo Kennedy akamkaribisha kwa ajili ya matukio mengine
 
Umendika vizuri ulipochanganya mambo ni kusema Putin na Xi ni madikteta
 
Lakini sijaona jipya kwa Xi kupokelewa na Trump
Kwa miaka zaidi ya 60 hakuna raisi wa Marekani amewahi kwenda airport kumpokea raisi wa taifa lingine

Wanatumwa maafisa wa serikali tu kumpokea raisi hata iwe mgeni amekuja kwa ajili ya state visit

Na ndio maana habari hii imegonga vichwa vya media Marekani na duniani
 
Mtumikie kafiri upate mtaji wako

Kama inahusisha hela, it does make a sense
 
Trump anapenda sifa, ukimuona kajiweka mbele Kuna uwezekano mkubwa anataka kuonyesha ubabe. Sijafatilia hayo mapokezi lakini Kuna uwezekano kulikuwa na show ya jet zake na bombers kama alivyofanya kwa Putin.
Alipitisha B2 na B1 Spirit Bombers nadhani Xijiping alishituka sana, maaana Putin nae alishituka alishangaaa angani mpaka ikaishia zake
 
Marekani na Iran zimeanza tena mawasiliano ya kupitia waamuzi huko New York kuhusu kumaliza vita na suala la Strait of Hormuz
Hawa wakubwa wanaelewana na wanajua wanachokifanya ktk ulimwengu huu sisi tunabakiwa kuburuzwa tu, mara mafuta yapande bei, mara wakata mwingine watufungie misaada, mara chanjo ya magonjwa mpaka itoke kwao basi ilimradi wanauendesha ulimwengu wanavyo taka wao.
 
Hana ujanja na China!
 
Hao wakubwa hawana ustaarabu huo kwenye protokali zao. Trump alipotembelea China 2017 na 2026 alipokelewa na maafisa waandamizi uwanja wa ndege.

Mwaka Jana, Putin alipotembelea Marekani kule Alaska, Trump aliishangaza Dunia kwa kuwahi Airport na kusimama kwenye Tarmac (red carpet) kumsubiri Putin hadi aliposhuka kwenye ndege huku Trump akipiga makofi kushangilia!

Kisha akaondoka naye kwenye The Beast, jambo geni kabisa kwenye security detail ya Rais wa Marekani.

Ilikuwa aibu kubwa sana kwa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…