Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Anaonesha anajali wageni wakeHao wakubwa hawana ustaarabu huo kwenye protokali zao. Trump alipotembelea China 2017 na 2026 alipokelewa na maafisa waandamizi uwanja wa ndege.
Mwaka Jana, Putin alipotembelea Marekani kule Alaska, Trump aliishangaza Dunia kwa kuwahi Airport na kusimama kwenye Tarmac (red carpet) kumsubiri Putin hadi aliposhuka kwenye ndege huku Trump akipiga makofi kushangilia!
Kisha akaondoka naye kwenye The Beast, jambo geni kabisa kwenye security detail ya Rais wa Marekani.
Ilikuwa aibu kubwa sana kwa Marekani.
Vipi wewe nyumbani kwako unapotembelewa na mgeni wa muhimu then umtume house girl akampokee, unadhani atajisikiaje huyo mgeni mwenyewe?