DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kuna maelezo mengi sana Na hakuna Mwanga wowote Pasipo Kuwepo Darkness..Welcome Guru
Tupe madini Mkubwa
Labda nijidanganye mwenyewe Brethren ila siyo jamii yoyote ya wazi au ya Siri.Palipo na Nuru hakuna Giza.
Usidanganywe na masonry.
Naam! Hapa ndipo ninapojaribu kufuta negative connotation nilizolishwa juu ya giza.Kuna maelezo mengi sana Na hakuna Mwanga wowote Pasipo Kuwepo Darkness..
Darkness is the formation Of all Things..
In gnosis
Ukisoma kwenye Zohar wanaita Ain Soph (The total or complete Darkness/Nothingness) ndo kulifanyika Uumbaji wote wa kila kitu..
Ukisoma Kwenye
Mathayo 4:16
"The people which sat in darkness saw great light; and to them which sat in the region and shadow of death light is sprung up."
Kwanza hata kama ukiichambua Hilo neno lote utapata maana halisi kwanini lilitwa hivyo..Naam! Hapa ndipo ninapojaribu kufuta negative connotation nilizolishwa juu ya giza.
Hapa inabidi nitulie kwanza!..Nilichowahi kujifunza mahali ni kuwa,Kwanza hata kama ukiichambua Hilo neno lote utapata maana halisi kwanini lilitwa hivyo..
Kwenye zohar na TANAKH (Kwa lugha ya Kiebrania)
Giza Au Darkness huitwa "חשך" (choshech).
Herufi xake ni
Chet ח
shin ש
kaf ya mwisho ך
herufi Cheti ya kwanza Humaanisha Life "Maisha" japo inaweza kuwa Mzani kati ya Maisha na Dhambi yaani Mauti na Uzima..
na huwakilishwa na namba nane (Kwenye Gemetria)
View attachment 2951143
Ukija kwenye Herufi Shin
Humaanisha Kurudi au kurudia,Pia huweza kumaanisha Jino/Meno pia mabadiliko..
View attachment 2951147
Pia Shin inatambulisha Moto wa kuumba au Moto wa Unabii ndo maana manabii wakubwa katika biblia wana Shin..Moshee(Musa), Shlomon (Suleiman) na hata Yesu (Yeshua)..
View attachment 2951149
Ukija kwenye Final kaf
View attachment 2951150
Nafikiri Hapo inaonekana vizuri
View attachment 2951151
So kwa pamoja Na kuchanganya maana zote za Giza utapata Maana yake
Sio maana mbaya hata kidogo
Ni kweli. Mi sio mTAG ila naishi nao na naona jinsi ambavyo ulokole wao umewafunga kuweza kujua mambo mengine yanayowazungukaHapa ndipo tunapofungia uelewa...tunalichukulia giza katika mtazamo hasi sana
Assume hakuna giza.Unachanganya mambo nguvu za Giza na hali ya Giza ni vitu viwili tofauti.
Nguvu ni mbili Dunia nguvu za Giza au nguvu za Nuru.
Pana Hali ya Giza na Hali ya mwanga kwa maana ya majira ikimaanisha usiku na mchana.
Ni miongoni mwa siri ambazo hayupo anayezifahamu ila Mwenyenzi Mungu.Giza liliwezaje kuwepo from nothing?
Nini kilifanya Giza liwepo?
Na hicho kilichofanya giza liwepo, kilifanywa na nini?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata huyo mwenyezi Mungu hayupo.Ni miongoni mwa siri ambazo hayupo anayezifahamu ila Mwenyenzi Mungu.
Kama hakuna Giza pana mwangaAssume hakuna giza.
Unaweza kutetea unayoyasema?
Sure,Mungu aliishi juu ya vilindi vya maji
Ibilisi alikuwa chini ya vilindi vya maji.
Mungu ni nuru
Shetani ni kiza
Mwanzo 1:2
[2] And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters..
Mbeegu sio lazima iwe kizani chini ya udogo ili iote.
Na ikiwa chini kizani sharri ilikimbie giza ije kwenye nuru.
Ni sawa na mwanadamu awapo kizani hana budi kuja nuruni.
Kwenye ndoto Kumbuka Mungu huotesha ndoto,na ibilisi pia huotesha ndoto.
Na ndoto ndio njia duni zaidi ambayo Mungu humzungumzia mtu.
Hivyo basi kiza si nguvu kubwa,ndio mana ijaoo nuru kiza hukimbia.
Nuru inanguvu zaidi ya kiza
Ila kusipokuwapo na nuru basi kiza ndio kinatamba kuliko vingine
Amina.Sure,
Mbinguni hakujawaji kuwako Giza, hiyo ni mbingu ya tatu.
Mungu akiwa juu, Giza na maji vilikuwa chini mbingu ya pili kabla haijawa na form.