Nguvu za giza " the power of darkness"

Nguvu za giza " the power of darkness"

Welcome Guru
Tupe madini Mkubwa
Kuna maelezo mengi sana Na hakuna Mwanga wowote Pasipo Kuwepo Darkness..

Darkness is the formation Of all Things..

In gnosis
Ukisoma kwenye Zohar wanaita Ain Soph (The total or complete Darkness/Nothingness) ndo kulifanyika Uumbaji wote wa kila kitu..

Ukisoma Kwenye

Mathayo 4:16

"The people which sat in darkness saw great light; and to them which sat in the region and shadow of death light is sprung up."
 
Palipo na Nuru hakuna Giza.

Usidanganywe na masonry.
Labda nijidanganye mwenyewe Brethren ila siyo jamii yoyote ya wazi au ya Siri.
Yohana 1:5 "Nayo nuru yang'aa gizani; wala giza halikuishinda."
...........................
Maneno yangu: Hapa inaonesha kuwa nuru hung'aa inapokuwa gizani.
 
Kuna maelezo mengi sana Na hakuna Mwanga wowote Pasipo Kuwepo Darkness..

Darkness is the formation Of all Things..

In gnosis
Ukisoma kwenye Zohar wanaita Ain Soph (The total or complete Darkness/Nothingness) ndo kulifanyika Uumbaji wote wa kila kitu..

Ukisoma Kwenye

Mathayo 4:16

"The people which sat in darkness saw great light; and to them which sat in the region and shadow of death light is sprung up."
Naam! Hapa ndipo ninapojaribu kufuta negative connotation nilizolishwa juu ya giza.
 
Naam! Hapa ndipo ninapojaribu kufuta negative connotation nilizolishwa juu ya giza.
Kwanza hata kama ukiichambua Hilo neno lote utapata maana halisi kwanini lilitwa hivyo..

Kwenye zohar na TANAKH (Kwa lugha ya Kiebrania)
Giza Au Darkness huitwa "חשך" (choshech).
Herufi xake ni
Chet ח
shin ש
kaf ya mwisho ך

herufi Cheti ya kwanza Humaanisha Life "Maisha" japo inaweza kuwa Mzani kati ya Maisha na Dhambi yaani Mauti na Uzima..

na huwakilishwa na namba nane (Kwenye Gemetria)

Screenshot_20240401_225850_Chrome.jpg

Ukija kwenye Herufi Shin

Humaanisha Kurudi au kurudia,Pia huweza kumaanisha Jino/Meno pia mabadiliko..
Screenshot_20240401_230607_Chrome.jpg

Pia Shin inatambulisha Moto wa kuumba au Moto wa Unabii ndo maana manabii wakubwa katika biblia wana Shin..Moshee(Musa), Shlomon (Suleiman) na hata Yesu (Yeshua)..

Screenshot_20240401_230915_Chrome.jpg

Ukija kwenye Final kaf
Screenshot_20240401_231251_Chrome.jpg

Nafikiri Hapo inaonekana vizuri
Screenshot_20240401_231418_Chrome.jpg

So kwa pamoja Na kuchanganya maana zote za Giza utapata Maana yake
Sio maana mbaya hata kidogo
 
Kwanza hata kama ukiichambua Hilo neno lote utapata maana halisi kwanini lilitwa hivyo..

Kwenye zohar na TANAKH (Kwa lugha ya Kiebrania)
Giza Au Darkness huitwa "חשך" (choshech).
Herufi xake ni
Chet ח
shin ש
kaf ya mwisho ך

herufi Cheti ya kwanza Humaanisha Life "Maisha" japo inaweza kuwa Mzani kati ya Maisha na Dhambi yaani Mauti na Uzima..

na huwakilishwa na namba nane (Kwenye Gemetria)

View attachment 2951143

Ukija kwenye Herufi Shin

Humaanisha Kurudi au kurudia,Pia huweza kumaanisha Jino/Meno pia mabadiliko..
View attachment 2951147
Pia Shin inatambulisha Moto wa kuumba au Moto wa Unabii ndo maana manabii wakubwa katika biblia wana Shin..Moshee(Musa), Shlomon (Suleiman) na hata Yesu (Yeshua)..

View attachment 2951149

Ukija kwenye Final kaf
View attachment 2951150
Nafikiri Hapo inaonekana vizuri
View attachment 2951151

So kwa pamoja Na kuchanganya maana zote za Giza utapata Maana yake
Sio maana mbaya hata kidogo
Hapa inabidi nitulie kwanza!..Nilichowahi kujifunza mahali ni kuwa,
Neno "choshech" linamaanisha giza katika lugha ya Kiebrania, ambayo inaathiriwa na matumizi yake katika Biblia ya Kiebrania (Tanakh) na maandiko ya Kikristo ya Agano la Kale. Neno hili linapatikana mara nyingi katika maandiko hayo kuelezea giza kimwili na pia kwa maana ya kiroho au kisiasa.

Katika Biblia, "choshech" mara nyingi hutumiwa kama ishara ya kutokujua au kutoweza kuelewa mambo, na pia kama alama ya uovu au dhambi. Kwa mfano, katika Kitabu cha Mwanzo 1:2, "choshech" inatajwa kama hali iliyokuwepo kabla ya uumbaji wa mwanga: "Nayo dunia ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."

Kwa hiyo, "choshech" inaweza kutumiwa kumaanisha zaidi ya giza la kimwili; inaweza pia kumaanisha kutokuwepo kwa mwanga wa kiroho au maarifa, na pia kuhusiana na hali za kiroho za upotevu au uovu. Katika muktadha wa dini na imani, neno hili linawakilisha kipindi cha kutokuwa na mwanga wa mwongozo wa Mungu au kutokuwepo kwa wema na haki.

Dr!..au nilimeza sumu?
 
Hapa ndipo tunapofungia uelewa...tunalichukulia giza katika mtazamo hasi sana
Ni kweli. Mi sio mTAG ila naishi nao na naona jinsi ambavyo ulokole wao umewafunga kuweza kujua mambo mengine yanayowazunguka
 
Unachanganya mambo nguvu za Giza na hali ya Giza ni vitu viwili tofauti.
Nguvu ni mbili Dunia nguvu za Giza au nguvu za Nuru.
Pana Hali ya Giza na Hali ya mwanga kwa maana ya majira ikimaanisha usiku na mchana.
 
Nguvu za Giza ni miale au mawimbi yatokayo kwenye chanzo ili kuleta nguvu ya uharibifu kwa viumbe hai.
Mawakala wa nguvu za Giza ni majini,wachawi,mizimu,waganga,mapepo,shetani,nk
 
Unachanganya mambo nguvu za Giza na hali ya Giza ni vitu viwili tofauti.
Nguvu ni mbili Dunia nguvu za Giza au nguvu za Nuru.
Pana Hali ya Giza na Hali ya mwanga kwa maana ya majira ikimaanisha usiku na mchana.
Assume hakuna giza.
Unaweza kutetea unayoyasema?
 
Kwahiyo mwalimu wako alikuambia Nguvu za giza in English ni Power of darkness 😭😭😭😭
 
Angalia mfano huu
Unapowasha taa chumbani haimaanishi giza hakipo ndiyo maana taa ikizima tu giza hutawala.
Giza haliji kutoka mahali fulani ila lipo tu.
 
Mungu aliishi juu ya vilindi vya maji
Ibilisi alikuwa chini ya vilindi vya maji.
Mungu ni nuru
Shetani ni kiza
Mwanzo 1:2
[2] And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters..

Mbeegu sio lazima iwe kizani chini ya udogo ili iote.
Na ikiwa chini kizani sharri ilikimbie giza ije kwenye nuru.
Ni sawa na mwanadamu awapo kizani hana budi kuja nuruni.

Kwenye ndoto Kumbuka Mungu huotesha ndoto,na ibilisi pia huotesha ndoto.
Na ndoto ndio njia duni zaidi ambayo Mungu humzungumzia mtu.

Hivyo basi kiza si nguvu kubwa,ndio mana ijaoo nuru kiza hukimbia.
Nuru inanguvu zaidi ya kiza
Ila kusipokuwapo na nuru basi kiza ndio kinatamba kuliko vingine
 
Sure,

Mbinguni hakujawaji kuwako Giza, hiyo ni mbingu ya tatu.

Mungu akiwa juu, Giza na maji vilikuwa chini mbingu ya pili kabla haijawa na form.
 
Back
Top Bottom