Nguvu za Imani👹👹

Joined
Nov 16, 2020
Posts
54
Reaction score
84
Wakubwa na ndugu zangu naamini Mungu katujalia utajiri wenye thamani, namaanisha Afya. Tuseme Asante......

Kila siku nimekuwa nikifuatilia taarifa kwenye kurasa na blog mbalimbali miongoni mwa hizo ni jamii forums.

Sehemu nyingi kati ya hizo ninakumbana na taarifa juu ya upatikani wa utajili au mali hasa kwa kupitia wagaga au nguvu za giza... Vile vile wanajinadi kwamba wanaondoa gundu na balaa mwilini.

Hivyo napenda kuwauliza wakubwa na ndgu zangu mulifanikiwa kwa namna moja au nyingine.

Je ni kweli nguvu hizo zinafanya kazi kwenye mafanikio ya watu? Au huwa kichocheo cha watu kutafutia mali au utajili? Na wew uliovuka hatua fulani kataika maisha ulitumia hivi vitu???

Nipo tayari kujua isije nikawa nachelewa buree😂😂
 
1 Wakorintho 13:13
[13]Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
And now abideth faith, hope, charity, these three; but the greatest of these is charity.

Vitu vitatu vinafanya kazi pamoja.
Ukiwa na Imani Kisha Ukatumainia na kufanya kazi kwa Upendo, Utapata unachotafuta. Hiyo ni nguvu ya Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…