Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Wasalam.
Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine.
Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea wanawake au wapenzi weti wasio wahaminifu kutukimbia kwa kusingizia kutafuta mbadala wakifika huko pia wanakuta ni yale yale ..6/10 ya wanaume wote duniani wanapungukiwa nguvu za kiume
Nguvu za kiume sio kumaliza dakika ngapi wakatiwa tendo ila n uwezo wa kurudia tena tendo kwa mwenzi wako.
NJIA:
1. Chukua nyanya chungu (ngogwe) 3 chemsha kama dakika moja kisha kula asubuhi na jioni fanya hivo unavyoweza hadi tatizo litakapoisha.
2. Kunywa maziwa ya kondoo au mbuzi changanya na asali kila mara unavyoweza asubuhi na mchana.
3. Fanya mazoezi ya viungo kama huwezi kuhudhuria mazoezi ya watu wengi basi mnaweza kuamushana na mke wako asubuhi mkakimbia..ukitoka huko kunywa kidogo maji ya moto.
4. Wakati wa tendo ondoa mawazo yako pale kwenye tendo na uyapeleke mbali na dunia..mfano uwaze mchezo wa mpira, maisha n.k
5. Kama wewe ni mtu wa sigara na pombe ningekuomba upunguze kwa kiasi kikubwa.sigara na pombe.zinapunguza sana wino kwenye kalamu.
6. Kata tiketi mapema ya kuingia uwanjani sio kila mara unaenda enda uwanjani hovyo..mfano asubuhi mwambie neno zuri lilichangamka kuhusu usiku kuwa ajiandae kwa mechi.
7. Punguza vyakula vya mafuta mwilini mwako pamoja na vyakula vya sukari...wengi tunajua madhara ya hivi vitu mwilini.
8. Ni vizuri wakti wa tendo kwenda kunawa na maji ya uvuguvugu au maji yaliyopo ndani...kuna baadhi ya watu huwa wanajisafishia tu vitambaa n vzr lakn ikiwa kuna maji ni vzr kujisafishia ili kuondoa uchafu ule wa mwanzo ndani ya nyeti zetu.
9. Ikiwa unaendlea kuona tatizo la nguvu za kiume unaweza mwambia mke wako kila siku mpigane mashine hata kimoja kila siku hadi pale ambapo tatizo litapoisha
Kwa njia hizo nadhani huna haja ya kuchukua vumbi la Kongo.