Nguvu za miguu; Uwezo wa kupiga mashuti husababishwa na nini?

Kipaji ndicho chanzo kikubwa hasa, pia ni mazoezi huongezea uimara wa miguu kuwa na nguvu za kutosha.

Kwa mimi ukitoa kiungo kinachonifanya niitwe Mwanaume kinachofatia ni miguu yangu kuwa na nguvu sana kuliko viungo vingine vyote.
 
Hakuna aina ya mazoezi ya kunipa nguvu za miguu?
Muone Physiotherapist, mchawi wa yote ni chakula bora.

Mechanism yenyewe inahitaji uwe na madini ya kutosha mwilini kama Calcium, Potassium, Chloride, Sodium n.k maana haya madini yanawezesha misuli kusinyaa na kutanuka.
 
Na tabia/style tu ya mtu. Kama Said Ndemla, Steven Gerald, Frank Lampard, Paul Scholes.
Uko sahihi, lazima uwe mjanja katika kutumia neema ulizojaliwa
 
Na tabia/style tu ya mtu. Kama Said Ndemla, Steven Gerald, Frank Lampard, Paul Scholes.
ni timing ya upigaji,ni kama nguvi ya boxer proffesional hata ya uzito wa kati ina athari kubwa kuliko ya mbeba magunia double cabin tandika mwenye kilo 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…