Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 394
- 834
"UINUKE NA UIANGAZE DUNIA"
_ Salamu zikufikie ww mpambanaji usiechoka kutafuta
Leo sina mengi sana ila naomba wataalam mniekeze jambo hapa
MEDITATION
_ Natamani kujua inafanyaje kazi na taratibu zipi zakufata-
- Faida na madhara yake
_ Muda gani wakufanya
_ Sehemu gani itakua ni nzuri zaidi kufanyia
_ Kabla sijafanya natakiwa niandae vitu gani
NOTE; sijui chochote kuhusu meditation_sijui kuna aina ngapi ila nachotaka mm nikua naule uwezo wakufanya vitu ambavyo kikawaida huwezi kufanya ama niwe nauwezo wakujua ukweli wajambo lolote ninalolitaka mimi
_ Kujisafisha kiroho,kujiwekea ulinzi kiroho
Kiufupi nataka niwe na nguvu kiroho (naimani umenielewa japo huenda sijui kujielezea)
NAWASILISHA KWENU