Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda

Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda

MANIFESTATION inahitaji nguvu ya kiakili kuweza kuyaona yale unayotamani kuyapata kabla hata hujayapata.

The trick is, DON'T DISIRE or DON'T WANT. You must exercise REVERSE PSYCHOLOGY.

Ukiwa unataka hela USITAKE HELA. Ukiwa unataka gari USITAKE GARI. Amini kwamba tayari UNALO na uende mbali zaidi kujenga taswira kwamba tayari unalimiliki na unaliendesha.

Hata ukitaka demu mzuri usimng'ang'anie sana. Ukimganda unatengeneza HALI YA UKOSEFU, and you will continue to experience the STATE OF LACK because you are VIBRATING at its frequency.

Ndio maana wanaume malaya wanagombaniwa na wanawake kwa sababu hawako katika STATE OF LACK, wameshiba papuchi wanatomba kila siku na kila saa. THEY ARE VIBRATING at a frequency of ABUNDANCE ndio maana wanawake wanawafuata kama sumaku.

Mwenye nacho anaongezewa zaidi, na asiye nacho hata kile kidogo ananyang'anywa. It is all about your state of vibration.

Cc: min -me MIN - me Bob Manson MIN-me DR Mambo Jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Extrovert Poor Brain
Umenena kwa ufahamu wa hali ya juu sna mkuu👏
 
Gratitude ni Law inayohusu shukurani, kushukuru na kupendezwa na yale uliyo nayo.

Hiyo Polarity ni kwamba kila kitu kina Opposite side, yani mazuri na mabaya. Mfano upendo na chuki, maumivu na furaha, kukosa na kupata

Problem in disguise is an opportunity

Gratitude huwa inalenga kushukuru mambo yote hata ikiwemo mabaya.
 
Unajua njia ya kuondoa mabaya ni IPI?

Gratitude ndo huwa inaondoa mabaya hata huo ugonjwa ushukuru na anayekufanyia mabaya mshukuru tena Sana
Kama ni shukurani basi Mungu ndiyo anapaswa kupewa, kwa hali yoyote ile, ugonjwa au matatizo au hali ya maisha.

Ni sawa na ule msemo unaosema kwamba tushukuru kwa kila hali, lakini maadui zetu hawapaswi kupewa shukran hata kidogo.
 
Detachment and attachment unajua unaposhukuru jambo baya maana yake unakuwa umefanya detachment of negativity

Then wewe Una belief Ila hauna faith
 
Detachment and attachment unajua unaposhukuru jambo baya maana yake unakuwa umefanya detachment of negativity

Then wewe Una belief Ila hauna faith
Jambo baya sio la kushukuru bali ni kutafuta namna ya kukabiliana nalo, Ila kuwa na attitude of gratitude lengo lake ni ku base katika kushukuru mambo mazuri ili kuto kuyapa mabaya nafasi katika akili
 
Kushukuru sio kukubaliana na jambo baya, ni kusema kwamba wewe ni mkubwa kuliko jambo baya.

Unaposhukuru unatengeneza mtetemo chanya, na utavutia mambo mengine mengi yaliyo chanya.

Ukisikitika na kulaumu utasababisha masikitiko mengine mengi zaidi, and you will create a bunch of more problems, even the worst problems.

Wewe shukuru tu sema asante na itoke moyoni. It creates a unique positive charge which will attract more positivity and good things in your way.

Cc: min -me
 
Back
Top Bottom