strong star
Member
- Jul 15, 2021
- 36
- 42
Mwanzo wa siku uanzia asubuhi na mapema ambapo jua uchomoza, Mpambanaji anaamka ndani ya familia yake tayari kuianza siku mpya yenye mipango na matalajio mengi. Ukiwa mwenye kiu na chachu ya mafanikio yakupasa uwe na Familia bora na imara kwani hao wanafamilia ndio wa kwanza kukutana nao na kukupa tabasum na amasa ya kutosha kuelea mfanikio na malengo yako. Je unaijua familia bora?
Je, familia yako ni imara na bora kiasi cha kukupatia tabasamu la kutwa nzima?
Hizi ndizo nguzo za familia bora itakayokupa tabasamu katika miangaiko yako ya kutwa nzima.
*Umoja,mshikamano, msimamo na ushilikiano .
Siku zote familia iliyo bora uwa na umoja na mshikamano kati ya wanafamilia pia usimamia misimamo na miiko waliyojiwekea wao katika maisha yao uo ndio ushirikiano wa kweli , Hivyo kuwa vigum kuangushwa na kumpatia kila mwana familia tabasum la kutwa nzima litakalo mtia moyo katika maangaiko yake.
*Upendo na mausiano.
Kila mwana familia anakuwa na upendo usiopimika kwa mwenzake hivyo kujikuta wakisambaza upendo na kujijengea mausiano imala kati yao, mwisho kumpatia kila moja wao ushindi wa kila asubuhi na kujiletea maendeleo.
*Eshima na nidhamu.
Kila mmoja katika familia ana wajibu wa kuwa na eshima na nidham kwa alie mkubwa kwake na ata mdogo kwake ili kujiepusha na misukosuko na migongando isio na ulazima,kuwa na eshima na adabu haimaniishi kuogopana katika familia ila ni kueshimiana na nidham kwa kila mmoja.
*Uongozi bora.
Familia iliyo bora uwa na uongozi bora kuanzia kwa baba, mama,watoto, na ndugu wengine ,kila mmoja uiona thamani ya mwenzake ,hivyo kila mmoja kujituma katika nafasi yake ipasavyo na kutimiza majukum yake, Mwisho kuwa na familia imara zaidi.
*Ulinzi na usalama.
Kila mwanafamilia ni jukum lake kulinda na kusimamia mali zote za familia zinazo amishika na ata zile zisizoamishika hivyo kuhakikisha usalama wa Mali zote. Si hivyo tu ata katika ulinzi na usalama wa afya yao wanafamilia ni jukumu la kila mwana familia.
*Mipango ya maendeleo.
Familia iliyo bora uhakikisha ushirikishwaji wa kila mwana familia katika mipango ya maendeleo ili kupokea mawazo yao na ushiliki wao katika kila hatua za mipango hiyo, mwisho kufikia maendeleo hayo kwa urahisi zaidi.
Ukiwa na familia bora itakuhakikishia kufanikiwa kwa haraka zaidi katika hatua zako za kusonga mbele na kuyafikia mafanikio kwani :-
Sasa jitafakari je familia yako ipo hivi ?, Na je ni kwanini haipo hivi, Changanua wapi umekosea ulekebishe ili kuwa na familia bora itakayo kupa furaha, upendo na amani.
Isije kuwa kila ukifika mida wa kuludi katika familia unatamani kutokomea kusiko julikana au kuingia katika familia ya rafiki yako, kumbuka kukosea sio kosa bali kushindwa kulekebisha ndio kosa kubwa pia kuteleza sio kuanguka Bali kushindwa kujiinua.
REKEBISHA YAKO ,INAWEZEKANA !!.

- Watakupa chachu na kiu ya mafanikio zaidi.
- Watakupa furaha na upendo wa kweli hivyo kukuondolea msongo wa mawazo pamoja na hasila uwapo kazini.
- Watakufanya ujiamini zaidi na kuwaamini wanaokuzunguka.
- Watakufanya uongeze juhudi na kujituma kwako katika shughuli zako.
- Watakupunguzia majukumu mengi yaliokuzidi na kuhakikisha unakuwa mwenye Uhuru na kupata mda wa kupumzika.

Upvote
4