Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

Mkishaanza kuleta Uyanga wenu, tutaomba Morocco ashinde ili tuwazomee.

Upumbavu kabisa.
 
Uko sahihi,watu waache fikra mgando.Tanzania au taifa stars ya Leo ni imara kuliko ya 2014 iliyomkanda huyo morocco 3-1.
 
Chilunda Duh wewe jamaa ni MAKU YA MAMA YAKO
 
Ukuta hata uwe imara vipi ila bila kuwepo viungo wenye ubora ni kazi bure, watashikilia bomba na mwisho watachoka tu kwasababu mashambulizi yatawazidia.
Kuna mechi muhimu sana mbeleni mwao na ndio tegemeo kwenye safu ya ulinzi ya Yanga, leo wanapaswa kucheza kwa tahadhari ya kiwango cha juu kukwepa kuumia.
 
Leo tutahakikisha ubora wa safu ya ulinzi ya Yanga wakicheza ndani ya Taifa stars.
 
Ni kweli tunapoenda kupambana haitakiwi tujishushe , Kama wao waliwafunga Spain na Portugal wakiwa underdog na sisi tunaweza kuwafunga vilevile .
Mzize angekuwepo mbele akisaidiana na kibu stress ingekuwa kubwa kwa back line ya Morocco , sijui kwa nini kocha amemrudisha mzize . Tumefuzu Alcon lakini kocha ni bomu bado hajajua wachezaji wanaomsaidia !
 
Hakuna safu ya ulinzi wa Yanga leo. Kuna vijana wa Tz wanaoenda kuichezea timu Taifa. Mchezaji anaweza hama club hawezi hama timu ya taifa. Unless kama wakifungwa iwe ni club ya Yanga imefungwa.
 
Hakuna safu ya ulinzi wa Yanga leo. Kuna vijana wa Tz wanaoenda kuichezea timu Taifa. Mchezaji anaweza hama club hawezi hama timu ya taifa. Unless kama wakifungwa iwe ni club ya Yanga imefungwa.
"Reading comprehension" ni tatizo kubwa nchi hii
 
Naona Amrouche kasikiliza mawazo yangu kwa kubadili safu ya mbele. Leo malengo ni ulinzi zaidi. Inawezekana kukaza ila naogopa 😀 😀
 
Baada ya mechi usije ukaikana hiyo safu,ubora wake tuone leo siyo bla bla baadaye kwamba ooh Morocco ni timu nzuri zaidi
 
Baada ya mechi usije ukaikana hiyo safu,ubora wake tuone leo siyo bla bla baadaye kwamba ooh Morocco ni timu nzuri zaidi
Safu ya ulinzi ameivuruga, sina uhakika kama watacheza kwa maelewano.
 
Baada ya mechi usije ukaikana hiyo safu,ubora wake tuone leo siyo bla bla baadaye kwamba ooh Morocco ni timu nzuri zaidi
Safu ya ulinzi ameivuruga, sina uhakika kama watacheza kwa maelewano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…