Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANESCO njooni huku.Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
View attachment 2414345
Ndugu MtejaNimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
View attachment 2414345
Tanesco nimefurahi kwa kutoa majibu ya haraka humu hongereni kwa hiloNdugu Mteja
Tunakujulisha kuwa nguzo za usambazaji umeme zinapita kwenye maeneo yetu ili kutufikishia huduma, nguzo hizi zinaweza kuwa ndani au nje ya uzio wa mteja kutegemea na mazingira yaloyopo mfano mteja ambayo yupo zaidi ya mita 30 anapaswa kuwekewa nguzo chukulia kiwanja au fense yake inazidi mita hizo
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO.
Tunashukuru sana, Tupo kukuhudumia na kukusikiliza.Tanesco nimefurahi kwa kutoa majibu ya haraka humu hongereni kwa hilo
Labda umejenga barabarani au eneo lisilopimwaNimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
View attachment 2414345
Asanteni sana TANESCO kwa ufafanuzi mzuri. Na hongereni kwa majibu ya harakaNdugu Mteja