Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?

 
Hiyo kawaida kwa bongo,maana watu mnajenga bila mipango
Utakuta eneo lako hilo nyumba hazijakaa kwenye mtaa,mmewekewa nguzo ilimradi tu

Ova
 
Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?

View attachment 2414345
Ndugu Mteja

Tunakujulisha kuwa nguzo za usambazaji umeme zinapita kwenye maeneo yetu ili kutufikishia huduma, nguzo hizi zinaweza kuwa ndani au nje ya uzio wa mteja kutegemea na mazingira yaloyopo mfano mteja ambayo yupo zaidi ya mita 30 anapaswa kuwekewa nguzo chukulia kiwanja au fense yake inazidi mita hizo

Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO.
 
Tanesco nimefurahi kwa kutoa majibu ya haraka humu hongereni kwa hilo
 
Asanteni sana TANESCO kwa ufafanuzi mzuri. Na hongereni kwa majibu ya haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…