Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Mashoga nyie mnachojua ni mziki wa taarabu... Hip-hop za akina Ngwair hamuwez kuelewa hata kusoma hamjui mtamuelewa Ngwair...?
 
Mashoga nyie mnachojua ni mziki wa taarabu... Hip-hop za akina Ngwair hamuwez kuelewa hata kusoma hamjui mtamuelewa Ngwair...?
Hakuna hip hop ya kubana pua kama gwair hana tofauti na cliff mitindo
 
Jamaa alikuwa anajua Sana sema watu wengi walikuwa hawamwelewi tu, ukikaa chini ukatulia afu ukafungulia madude ya Ngwear utagundua jamaa alikuwa hatari Sana Kwenye kuflow
 
Sikiliza mwimbo wake "Nipeni dili" halafu uje ukomenti tena au sikiliza mwimbo wake yupo na Mirror unaitwa "masikini wenzangu"
 
Una single Hata moja kiongozi? Au unaponda tu. Mziki siyo kunywa uji
 
Aliweza kuunda nyimbo za kughani, kuimba na mitindo huru,kwa maneno yenye mpangilio na maana yaan lugha rahisi mfano ( Demu ft Mchiz Mox ), kwa lugha za mtaa mfano( CNN ft Fid Q, Nipeni deli masela) pia liweza kuimba nyimbo ambazo zilikuwa mbele ya muda mfano (she gotta gwan) Imagine she gotta gwan lingekuwa limetoka kwa vijana wa enzi hizi kizazi cha mapenzi.

Ngwear ni sawa na Chid Benz enzi kwenye ubora wao
 
Wakati Ngwea anaandika kiuno ya TID I was there, kila alichokuwa anafanya ni maajabu tu. Kuanzia idea ya beat, lyrics mpaka kumdirect mnyama.
Nafikiri wakati huo bado ulikuwa kwenu biharamulo unapalilia migomba.
Dah kumbe ngwea unamfaham kiundani hvyo ?
Big up mkuu
 
Spidi 120 kwenye Kona shaa.....
 
Ngwea alikua na uwezoo MKUBWA sana wa akili na uwezo wa mziki ngwea ni exception...

She got a gwain
 
Ngwea alikua na TALENTS isiyo kua ya kawaida by P. FUNK MAJANI

wewe hujui hata music šŸŽµšŸŽµšŸŽ¶šŸŽ¶ huwezi hata tengeneza midundo hata hit song lyrics Moja una ji brother sugar cane kua ni Music tycoons......

Man gwea alikua na kipaji kikubwa sana na aliweza kuli change game la music šŸŽµšŸŽ¶šŸŽ¶ Kwa kadri ya alivyo taka......
 
Dah Noorah (Haji Nura) my O level Classmate. Tupo tuna chati nae kila wakati. Ngwea na Mez B wote Marehemu ndio walikuwa mbele mwaka 1 kwetu
 
No alikua mkali mana aliachia hits kali sana. Sema kifo kilimuongezea ukubwa kutokana pia na msiba wake ulivyo hudhuriwa na watu wengi
Mpaka msiba unaudhuriwa na watu wengi means maisha yake yaliwagusa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…