makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kimistari hakuwa mkali kiviiile, ila kiflow kwangu alikuwa akiflow poa sana.
Ngoma ya msela, ndio verse yangu bora zaidi kutoka kwa marehemu ngwair.
Watu tumeshadata na hili ghetto Life style
Shati back (?) na u-Nelly wa X-Plastaz (What?)
Hey' Dark Master ntembezee chata
Kisha unipe kipaza nihubiri kama pastor
Ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta
Lakini' masela bado tunakomaa kutafuta
Bado tunazisaka' hata kwenye vichaka
Mtafutaji hachoki, akichoka ndo ameshapata
Japo sometimes kile kitu unachopata, Ni'
Tofauti kabisa na kile hata unachokitaka
Ila' Mwanaume lazima tu ujifunze kuridhika
Kwani ukichagua sana hukawii kutoka kapa
Duniani wote hatuwezi kuwa sawa
Na ndo maana wapinzani wa jadi mnapagawa (Yeah)
Kama nipo juu 'Ni juu (Uh-Huh)
Ningoje chini, au unifate juu uvunjike guu
Ma Supastaa tuna ng'aa kwa pamba tunazo vaa
Zina (?)
Ila tunapo kaa wengine nyumba ya udongo' nyasi
Mlango wa gunia (Uh-Huh)
Ndani hakuna kikombe, mwiko wala sufuria
Zaidi ya kiberiti tu na kipande cha mkeka
Na nikisha kula (..Ishh! ) 'mambo yangu naya weka
Wala sioni hatari kula Dona Dagaa
Siku nyingine hawajauona wanalala na njaa
Na usione tumepinda 'Migongo
Ukadhani' ni vibiongo
Pengine ni ufupi tu wa mlango
We endelea kula bia, Acha mi nkapate Gongo
Ili mradi wote tuwe stimu' ndio life ya kibongo