Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Kimistari hakuwa mkali kiviiile, ila kiflow kwangu alikuwa akiflow poa sana.

Ngoma ya msela, ndio verse yangu bora zaidi kutoka kwa marehemu ngwair.

Watu tumeshadata na hili ghetto Life style
Shati back (?) na u-Nelly wa X-Plastaz (What?)
Hey' Dark Master ntembezee chata
Kisha unipe kipaza nihubiri kama pastor
Ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta
Lakini' masela bado tunakomaa kutafuta
Bado tunazisaka' hata kwenye vichaka
Mtafutaji hachoki, akichoka ndo ameshapata
Japo sometimes kile kitu unachopata, Ni'
Tofauti kabisa na kile hata unachokitaka
Ila' Mwanaume lazima tu ujifunze kuridhika
Kwani ukichagua sana hukawii kutoka kapa
Duniani wote hatuwezi kuwa sawa
Na ndo maana wapinzani wa jadi mnapagawa (Yeah)
Kama nipo juu 'Ni juu (Uh-Huh)
Ningoje chini, au unifate juu uvunjike guu
Ma Supastaa tuna ng'aa kwa pamba tunazo vaa
Zina (?)
Ila tunapo kaa wengine nyumba ya udongo' nyasi
Mlango wa gunia (Uh-Huh)
Ndani hakuna kikombe, mwiko wala sufuria
Zaidi ya kiberiti tu na kipande cha mkeka
Na nikisha kula (..Ishh! ) 'mambo yangu naya weka
Wala sioni hatari kula Dona Dagaa
Siku nyingine hawajauona wanalala na njaa
Na usione tumepinda 'Migongo
Ukadhani' ni vibiongo
Pengine ni ufupi tu wa mlango
We endelea kula bia, Acha mi nkapate Gongo
Ili mradi wote tuwe stimu' ndio life ya kibongo
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Sembe
 
Jamaa kawa inspired na tweets za Wakazi inaonekana ni shabiki wa talentless Wakazi 😂😂😂
Katika mtu kiazi basi ni wakazi, mtu akishajiona ni ana akili saana basi huenda ndio akawa mjinga kupitiliza.
 
Kifo kiwe cha aibu au cha heshima,wote mnaliwa na funza tu
 
Before or after death baada ya CMG kumpa promo?
Kwa upande wangu jamaa nilikua namkubali sana even kabla ya kifo chake maana jamaa alikua na flows flani nzuri sana na swagger flani hivi akiwa ana rap na pia alikua na styles nyingi sana kwenye mziki wake....

Ingawa sio dhambi km ww hujavutiwa na muziki wake... Mdogo wangu kasikilize ngoma tatu za huyu jamaa. Kasikilize kwa makini kuna kitu uta note kwa huyu jamaa
1. SPEED 120
featuring Chid Benz

2. WEEKEND

3.BBM
Featuring Diamond platnumz & Mr Blue

NB: Huyu jamaa the way anavyo flow maneno anavoya pronounce unaenjoy sana... Kwa kizazi cha sasa hivi msanii ambaye navutiwa nae akiwa ana rap, anaflowz flan na ana pronounce maneno flan unyama basi ni huyu dogo YOUNG LUNYA....
 
Sikiliza mwimbo wake "Nipeni dili" halafu uje ukomenti tena au sikiliza mwimbo wake yupo na Mirror unaitwa "masikini wenzangu"
Hili goma MASKINI WENZANGU bonge la dude.... Halafu ni moja ya ngoma za mwisho mwisho kabla hajafariki...
 
Hi
Ngoja nikupe homework ukasikilize ngoma zake hizi uje unipe mrejesho wa flowz zake

Speed 120, weekend, BBM, Maskini wenzangu.
Hiyo BBM wengi hawaijui coz ilitoka wakati ngwea amefariki nazani, Ila balaaa lake humo ndani, blue na ngwea, platinum kwenye chorus uikute kwenye sound ya kueleweka, majani alifanya unyama mnoo kwenye beat
 
Kwenye hiyo ngoma jamaa wametembeza flowz sana... Ngoma kali beat kali. In short ile ngoma ni unyama sana...
 
Kwa alichoandika mtoa mada kuhusu ngwair, itoshe tu kusema tunamshukuru kwa matusi yake...na Kila la heri katika kusikiliza Sukari ya Zuchu...
 
Kipindi gwear anakufa ulikuwa na umri gani tuanzie hapo kwanza maana usikute ulikuwa bado ujaja mjini au ujaanza sikiliza mziki so huwezi muelewa gwear uwezo wake leo hii
 
As a long life fan of bongo hip hop music anybody may debate about lyricism of bongo rappers many of whom are literally hip hop artists ( bongo rap is literally hip hop beats laced with a little bongo flava )..... However when it comes to "flow" as in when we talk of "rap flow" Mangwair was a bongo flava rap flow god.....Nobody can touch him.....yes I said nobody when it comes to flow alone not even Proff jay
 
Ngoja kwanza nikasikilize "Nipeni dili masela". The song which was produced by Dunga then I'll come back to comment anything here.
Nishafanya deal zote naona hata hazilipi......nipeni dili ya kulala maskini na kuamka tajiri......
Nimemiss kula mapiza mabaga.
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Kasikilize "masikini mwenzangu" utarudi kusifia
 
As a long life fan of bongo hip hop music anybody may debate about lyricism of bongo rappers many of whom are literally hip hop artists ( bongo rap is literally hip hop beats laced with a little bongo flava )..... However when it comes to "flow" as in when we talk of "rap flow" Mangwair was a bongo flava rap flow god.....Nobody can touch him.....yes I said nobody when it comes to flow alone not even Proff jay
Alikua vizuri kwa flow ila wapo wamemzidi, mfano Chid benz kwangu anaflow kali kuliko ngwair
 
Chid mkali wa flow ila Kuna aina ya beats hawezi kuzidondokea kama Ngwair...sikiliza "clubbing" ya Ngwair
Hakuna beat chid anashindwa midondoko
Hiyo clubbin naijua vizuri, inaitwa "ndani ya club" kuflow kwenye wimbo wa copy sio kazi, alifatisha tu Marques Houston alivyokua anaflow
 
Hakuna beat chid anashindwa midondoko
Hiyo clubbin naijua vizuri, inaitwa "ndani ya club" kuflow kwenye wimbo wa copy sio kazi, alifatisha tu Marques Houston alivyokua anaflow
Haijalishi nyimbo ni remake au vipi, point ni kwamba kwa aina ya vocal yake ni rahisi kua versatile tofauti na chid,..Melodic Rap..by the way Kila mtu na mkali wake,Kuna mwamba anaitwa Noorah kavurugwa
 
Back
Top Bottom