Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
Huo utoto una edit upuuzi kama huo ndo nini?? Nigga you gay?!SITUMIAGI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo utoto una edit upuuzi kama huo ndo nini?? Nigga you gay?!SITUMIAGI
sawa mke wangu mtamHakuna hip hop ya kubana pua kama gwair hana tofauti na cliff mitindo
Una single Hata moja kiongozi? Au unaponda tu. Mziki siyo kunywa ujiHabari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Sawa mke wa marehemuUkifungua Uzi wa kumdiss ngwea utapata wachangiaji wengi kama hivi lengo la mtoa mada limetimia
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Mbona unapanic haraka sana kijanaSawa mke wa marehemu
Dah kumbe ngwea unamfaham kiundani hvyo ?Wakati Ngwea anaandika kiuno ya TID I was there, kila alichokuwa anafanya ni maajabu tu. Kuanzia idea ya beat, lyrics mpaka kumdirect mnyama.
Nafikiri wakati huo bado ulikuwa kwenu biharamulo unapalilia migomba.
Spidi 120 kwenye Kona shaa.....Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Dah Noorah (Haji Nura) my O level Classmate. Tupo tuna chati nae kila wakati. Ngwea na Mez B wote Marehemu ndio walikuwa mbele mwaka 1 kwetu"Dereva funga break tumeshafika kwenye party, ebwanaeeeh kumbe bonge la party!! Duh cheki mademu kibao utadhani kitchen party, Duh cheki lile aunt lililovaa skin tight
ebwanaeeeh liko safi sio mchezo babake unaweza ukaongea nae, aah wapi mtu ka-mi hanipati! usawa wenyewe huu wakulenga kwa manati"
ila mi pia sio kwamba ndo namkubali ileeeeee!! kimtindo yuko overhyped
Nilikua namkubaligi sana Noorah [emoji1] jamaa alikua kama mtu flani katoka leo mamtoni
Watu king stone km jamaicaNgwea alikua mkali wa flow but lyrically alikua kawaida sana niandikieni punch line yoyote ya ngwea niwape ten
Mpaka msiba unaudhuriwa na watu wengi means maisha yake yaliwagusa wengiNo alikua mkali mana aliachia hits kali sana. Sema kifo kilimuongezea ukubwa kutokana pia na msiba wake ulivyo hudhuriwa na watu wengi
Tena KR anasema verse ya ngwear ilifupishwa ila ingeachiwa zaidi ingekuwa ndefuKasikilize MSELA ya Ngwea, Nature na KR ndio utagundua ukali wa Ngwea